The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

MAUAJI

A-Z Mume Kuua Mke kwa Risasi 7

Tukio la mauaji ya mwanamke aitwaye Swalha ambaye alikuwa akijishughulisha na masuala ya urembo (make-up artist) kuuawa na mumewe aliyetambulika kwa jina la Said linazidi kuibua mambo mengi na mzito. Usiku wa kuamkia jana…

Mke Ataka Kumtoa Uhai Mumewe

Mwanamke aitwae Zainabu Mahomoka 35 ambaye ni Mkulima kutoka kijiji cha Makonjiganga Wilayani Liwale mkoa wa Lindi amenusurika kushitakiwa Mahakamani kwa kosa la kumjeruhi Mumewe aitwae Hemedi Nyanyweleka kwa kumpiga na chuma kichwani.…

Akamatwa kwa kuoa wanawake 17

JESHI la Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India limemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Ramesh Chandra Swain, mwenye umri wa miaka…

Auawa Kisa Kuchoma Qur-an

Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema, katika tukio la hivi karibuni la vurugu zinazohusiana na kukufuru ama kukashifu dini nchini humo. Polisi…