Mwanaume Nchini Marekani Afariki kwa Kung’atwa na Nyoka Aliowafuga Mwenyewe
MWANAUME aliyetambulika kwa jina la David Riston (49), mkazi wa Maryland nchini Marekani, amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa anawafuga ambapo maafisa wa wanyama pori wamekuta nyoka 124 wa aina mbalimbali ndani ya nyumba ya…