Young Dee: Simkubali Stamina Hata Kidogo
Rapa Young Dee ameelezea hisia zake kwa rapa mwenzie Stamina, akisema hamkubali Stamina na anadhani ndio chanzo cha kundi la 'Mtu Chee' kuvunjika.
"Mimi Stamina simkubali, hatuongei na sio mshkaji wangu. Halafu nadhani ndio…