The House of Favourite Newspapers

Waliofunga CCTV Camera Iliyoonesha Ajali Moshi, Wafunguka – Video

0

 

BAADA ya watu 15 kunusurika kifo baada ya basi la abiria la Kampuni ya Harambee kufeli breki na kusababisha basi hilo kupoteza uelekeo na kuyagonga magari mengine katika raound about ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, waliofunga kamera zilizonasa tukio wamefunguka ilivyokuwa.

 

Leave A Reply