Waziri Mwigulu Awazuia Prof. Muhongo, Andrew Chenge na Wahusika Wengine Kutoka Nje ya Mipaka ya Tanzania
Agizo hili limekuja ikiwa ni saa chache tangu Rais Magufuli alipoagiza kuwa, viongozi wote na watumishi mbalimbali waliohusika katika kusaini mikataba mibovu na kushiriki kwa namna yoyote ile, wahojiwe.