The House of Favourite Newspapers

Waziri Nape Jukwaani na Ray C, Leaders Kwenye Shoo Usiku (+VIDEO)

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nauye kuonyesha kweli anausapoti muziki wa Bongo fleva ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha sanaa na kuwahamasisha vijana wajiajiri kupitia sanaa, Nape alipanda jukwaani kuimba pamoja na Ray c.

Ni katika tamasha lilofanyika  Leaders Club ambako kulikuwa na shoo baab kubwa iliyokuwa ikiwakutanisha vinara wa RnB hapa Bongo, ambao ni Juma Jux, Ben Pol pamoja na Barakah da Prince.

 

 

 

NIMEKUWEKEA VIDEO  HAPA CHINI

Picha  na MUSSA MATEJA

Comments are closed.