Trump: Mgogoro Wa DRC, Rwanda Ni Tatizo Kubwa
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro unaoendelea kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni tatizo kubwa.
Akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu ajali ya ndege jijini…