The House of Favourite Newspapers

 Ebitoke: Ben Pol Amenipotezea

MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka kando. Akizungumza na Full Shangwe, Ebitoke alisema hajawahi kuachana na…

Barnaba Kuibuka na Ben Pol

MKALI wa Bongo Fleva, Elias Barnaba amefunguka kuhusu kufanya kolabo la maana na msanii mwenzake Ben Pol, mwakani 2018. Akizungumza na Full Shangwe, Barnaba alisema kuwa, Mungu akibariki, watafanya kolabo moja ya ukweli mwakani.…

Ruby: 2018 Naanza Rasmi Kupambana!

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, sexy lady kunako Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefunguka kuwa, katika mwaka ujao wa 2018 amejipanga kupambana katika gemu. Ruby alisema kuwa, alikuwa kimya kwa sababu ya kujipanga na mwakani…

Barnaba Aajiri Bodigadi

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva nchini, Barnaba Elias, ‘Barnaba Classic’ ameamua kuajiri bodigadi wa kumlinda kwa ajili ya kujiongezea thamani. Barnaba akizungumza na Showbiz alisema kuwa, ameamua kuongeza ‘value’ kwenye kazi zake na…

Denti Atwangwa Risasi Dar

DAR ES SALAAM: Hii haikubaliki! Denti aliyehitimu kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Idd Niachieni (23) mkazi wa Mtaa wa Madenge, Buguruni jijini Dar, hivi karibuni alitwangwa risasi kichwani na majambazi.…

Jokate Amtamani Rihanna!

MWANAMITINDO Jokate Mwegelo amefunguka kuwa pamoja na kukutana na wanamuziki mashuhuri, Shawn Carter ‘Jay Z’, Beyonce Knowles na mchezaji Thiery Henry, mwingine anayetamani kukutana naye maishani ni mwanamuziki Robyn Fenty ‘Rihanna’…

Gigy Money Aanika Kilichompukutisha

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya mashabiki wake kumnanga na kuwa na maswali mengi juu ya nini kinachompukutisha mwili na kuwa mwembamba kupindukia tofauti na alivyokuwa mwanzo, video queen maarufu Bongo,…

Tundu Lissu Aibeza ACT-Wazalendo

GABRIEL NG’OSHA |AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekibeza Chama cha ACT Wazalendo kwa kudai kuwa kuteuliwa kwa viongozi wake katika Serikali ya Rais Dk John…