Ma – Young na Ma – Dogo Mpaka Lini
1993 rapa mdogo machachari kutoka Unyamwezini, Shad Moss alipewa jina la Lil Bow Wow na mkongwe wa Hip Hop, Snoop Dogg. Licha ya kutamba na jina hilo kwa miaka kadhaa, 2002 aliamua kulibadilisha na kujiita Bow Wow kwa sababu aliyosema…