The House of Favourite Newspapers

Rucky Baby aibuka kama Farao

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ anayetamba na ngoma ya Give Me Some More, wikiendi iliyopita alizua gumzo kwenye uzinduzi wa Video ya Wimbo wa Lupela wa Msanii Ali Kiba baada ya kuibuka na vazi kama la Farao…

MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza kujua mpaka wakujuze, hivi ndivyo Risasi Jumamosi lilivyochimba na kubaini…