The House of Favourite Newspapers

MBASHA AFUNGUKA KUTOKUOA TENA

STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa. Akistorisha na Star Mix,…

Chuchu Ataja Anachotaka Ray

BAADA ya kumzalia mtoto wa kiume na kuwa gumzo mitandaoni, muigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Chuchu Hans amefungukia zawadi aitakayo kutoka kwa mzazi mwenziye ambaye naye ni msanii, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa ni busu tu. …

Nisha Abadili ‘Gia Angani’

KUTOKANA na kile alichosema amechoshwa kuibiwa wanaume wake anaokuwa nao kwenye uhusiano, staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameamua kubadili gia angani ambapo kwa sasa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume wa kawaida…

Jennifer wa Kanumba Akacha Kuigiza

MSANII ‘mtoto’ katika tasnia ya uigizaji nchini, Hanifa Daudi ‘Jennifer’ amesema hana mpango wa kuifanya kazi ya uigizaji kama tegemeo la kujikimu kimaisha na ndiyo maana kwa sasa ameamua kujikita kikamilifu katika masomo. Katika…