The House of Favourite Newspapers

Hukumu ya Yusuf Manji Oktoba 6

MAHAKAMA ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa  hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Yusuf Manji (41). Uamuzi huo umetolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha, baada ya wakili…

Manji Amwaga Mabilioni Yanga

MWENYEKITI wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji ni kati ya majina manne yanayotajwa kuwa tayari kuwekeza mabilioni ya shilingi katika klabu hiyo kubwa Afrika. Yanga hivi sasa ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa…

GSM, Manji Waongeza Mzuka Yanga

WADHAMINI wa Yanga Kampuni ya GSM rasmi imekubali kufanya kazi pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji katika kuelekea msimu ujao. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Manji ahudhurie katika mkutano mkuu wa klabu hiyo wa…

MANJI AKUTANA NA KOCHA YANGA

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amewahakikishia mashabiki wa Yanga kwamba amezungumza na Yusuf Manji uso kwa uso kwa mara nne na uwezekano wa kurejea Jangwani ni mkubwa. Zahera ambaye ni Kocha wa Yanga mwenye uraia wa DR…

Wabunge Yanga SC waanza na Manji

WAJUMBE wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga ambao miongoni mwao ni wabunge wenye ushawishi, wanasikia kwa mbaali nyayo za Yusuf Manji akirejea klabuni hapo. Ingawa wanafanya mambo yao kwa siri sana lakini Championi Jumamosi linajua kwamba…

Manji noma, awajibu TFF kibabe

WAKATI sakata la Yusuf Manji likiendelea kuwaumiza vichwa wengi juu ya nafasi yake ndani ya klabu hiyo, hatimaye mwenyewe amewajibu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa staili ambayo unaweza kuiita ni ya kibabe. Kwa muda mrefu tangu…

Yanga yamng’ang’ania Manji

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unatambua Yusuf Manji bado mwenyekiti wao hadi pale watakapopokea barua kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya maagizo ya kuitisha uchaguzi mkuu. BMT,…

Manji arejea na Ally Mayay Yanga

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji atarejea klabuni hapo muda wowote kuanzia sasa lakini sura ya kwanza atakayoitambulisha kwenye uongozi wake ni mwanamichezo msomi, Ally Mayay Tembele. Lakini Mayay mwenyewe ambaye inadaiwa…

Wazee Yanga wampitisha Manji

MTAKOMA! Ndivyo unaweza kusema baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe na Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji, kumaliza utata uliokuwa umeibuka juu ya muundo wa uchaguzi wa klabu hiyo kwa kuwataka…

Manji Atangaza Yanga Mpya

KWA mujibu wa Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam, Boas Ikupilika, mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji amewaahidi kuisuka Yanga mpya kwenye dirisha dogo la Novemba. Manji pia ameahidi kumpa sapoti kubwa Kocha…

Manji Abadilisha Kambi Yanga

MAISHA yamebadi­lika ndani ya Yanga, ikiwa leo ni siku ya nne tu tangu Mwenyekiti Yusuf Manji arejee rasmi kwenye uongozi Jumapili iliyopita. Manji ambaye ni mtaalam wa biashara, aliibuka Ju­mapili na kuzungumza na…

Zahera: Manji Atatupa Ubingwa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuwa waondoe hofu kabisa kutokana na kurejea kwenye timu mwenyekiti wao, Yusufu Manji kwani malengo yake ni kuipa ubingwa mapema na kuitengeneza…