The House of Favourite Newspapers

AMWOKOA MBWA WAKE ASIMEZWE NA CHATU!

MARK CHAPMAN, mkazi wa Kiels Mountain, Queensland, Australia, aliamka na kugundua asubuhi moja mbwa wake alikuwa amenaswa na kuanza kuzingirwa na bonge la chatu likijitayarisha kummeza. Chatu huyo alikuwa tayari amemng’ata mbwa huyo…

WAJUE WAREMBO WENYE MIGUU MIKUBWA

JARIDA la fasheni la Woman nchini Russia limechapishwa baadhi ya mamodo maarufu nchini humo wanaosemekana wana miguu (makanyagio) mikubwa zaidi duniani, wakiwemo Anastasia Reshetova,  Aiza Anokhima na baadhi ya wake za wanasoka…

WANAWAKE WASAGANAJI WA GHANA WAOANA UHOLANZI

KINYUME na matarajio na utamaduni wa Afrika, ndoa za jinsia moja ambazo ni jambo linaloshutumiwa kwa kiwango kikubwa barani Afrika, zinaonekana kuwanyemelea watu wa bara hili.  Pamoja na kupingwa karibu sehemu zote, tabia …

RAY C AWATOLEA UVIVU MAVIDEO VIXEN

Mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila Ray C amewafungukia mavideo Vixen ambao wamekuwa wakitokea kwenye video mbalimbali za muziki huku sehemu ya miili yao ikiwa nusu utupu. Akipiga stori na Mikito Nusunusu Ray…