Breaking News: Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017
Simbachawene ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi ws habari na kusema kuwa ufaulu kwa mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 3.75 ukilinganisha na matokeo ya mwaka 2015.