×

Burudani

Tanzania Yatikisa Miss Grand International, Yaingia Top 3

Miss Grand wa Tanzania, Jihan Mohin Dimack amefanikiwa kuingia kwenye Top 3 ya mashindano ya Country’s Power of the Year...

READ MORE

Fahamu Maisha ya Wicknell Chivayo, Utoto, Biashara, Utajiri, Familia Hadi Kifo

HARARE, Zimbabwe – Jina la Wicknell Munodaani Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, lilikuwa miongoni mwa majina yaliyotajwa sana katika ulimwengu...

READ MORE

Moto wa Nations League: Nani Atatoka na Tabasamu?

Wakali wa ubashiri Tanzania wanazidi kukukumbusha kuwa pesa hapa hazikauki, unachotakiwa kufanya wewe ni kutengeneza jamvi lako la ushindi na...

READ MORE

Halloween Hii Samaki Wamegeuka Kitita Kwenye Big Bass Splash 1000

Halloween hii, ziwa limebadilika na kuwa uwanja wa kusaka ushindi. Meridianbet inakuletea Big Bass Halloween Splash 1000, mchezo wa kuvua...

READ MORE

Mr. Eazi Aibuka na Kishindo Kipya ‘Comfort’ Akimshirikisha Moliy

STAA wa muziki wa Afropop, Mr. Eazi, amerejea na kazi mpya ya muziki iitwayo “Comfort”, akimshirikisha mwanamuziki kutoka Ghana, Moliy,...

READ MORE

Harmonize Afika Basata, Apewa Mwezi Mmoja wa Uangalizi

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kuwa msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, amepewa mwezi mmoja wa uangalizi...

READ MORE

Kyle Simbwa Aibuka Msanii Mpya wa Apple Music Afrika Mashariki

KAMPUNI kubwa ya muziki duniani, Apple Music, imemtangaza mwanamuziki kutoka Uganda, Kyle Simbwa, kuwa msanii mpya wa programu yake ya...

READ MORE

Jihan Awashukuru Watanzania Baada ya Tanzania Kuingia Top 4

Mlimbwende wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2026, Jihan Mohin Dimack, amewashukuru Watanzania kwa kumpa sapoti kubwa iliyoiwezesha...

READ MORE

Paka na Panya Wapeleka Msisimko Mpya Kwenye Cat ’n’ Rat

Umeshawahi kuona mchezo ambao paka na panya wanaweza kufanya kila mzunguko uwe ya kusisimua? Sasa hilo limewezekana kupitia Cat ’n’...

READ MORE

Kifo Cha Chivayo na Mkewe: Fahamu Maswali 7 Yanayosubiri Majibu Kutoka kwa Wachunguzi

Kifo cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, mke wake na watu wengine kadhaa katika ajali ya helikopta Septemba 30,...

READ MORE

Jihan Aongoza Kura, Tanzania Yatawala Vipengele vya Miss Grand 2026

Mlimbwende wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2026, Jihan Mohin Dimack, ameendelea kuonyesha ushindani mkubwa baada ya kuongoza...

READ MORE

Kanye West Akumbana na Pigo Russia, Matamasha Yafutwa

MOSCOW, RUSSIA: Matamasha mawili ya mwanamuziki wa Marekani Kanye West, anayejulikana pia kama Ye, yaliyokuwa yamepangwa kufanyika nchini Russia mwezi...

READ MORE

Fahamu Safari ya Elimu ya Chivayo, Kutoka Form Two Hadi Biashara Kubwa

HARARE, ZIMBABWE: Maisha ya mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, yameendelea kuvuta hisia kutokana na safari yake kutoka katika mazingira...

READ MORE

Naomi Campbell Ashinda Kesi, Kuendelea Kuongoza Taasisi za Misaada

LONDON, UINGEREZA: Mwanamitindo maarufu duniani, Naomi Campbell, ameshinda kesi ya kupinga marufuku ya miaka mitano iliyokuwa imemzuia kuhudumu kama mdhamini...

READ MORE

Rick Ross Akamatwa Miami Kwa Mashtaka ya Unyanyasaji wa Mwili

Msanii wa muziki wa Marekani Rick Ross, ambaye jina lake halisi ni William Roberts II, amekamatwa jijini Miami, Florida, kwa...

READ MORE

Jihan Dimack Aendelea Kung’ara Miss Grand International 2026

Jihan Dimack ameendelea kufanya vizuri katika kipengele cha Country’s Power of the Year cha Miss Grand International 2026, baada ya Tanzania kufanikiwa kuingia Top 8. Kutoka Group A, Tanzania imeingia...

READ MORE

Mchezo Mpya Wafika Meridianbet Ingia Kwenye Jungle Temple

Msitu wa kale umefungua milango yake, na safari ya kutafuta hazina sasa imehamia Meridianbet. Wapenzi wa kasino mtandaoni wamepata burudani...

READ MORE

Diddy Apunguziwa Tena Muda wa Kifungo, Sasa Ataachiwa Januari 2028

Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, amewekewa tena tarehe mpya ya kuachiwa kutoka gerezani, huku rekodi za...

READ MORE

Safari Ya Dhahabu Yamgeuza Mfungwa Kuwa Shujaa Wa ‘The Weight’

Filamu mpya ya The Weight inamleta mwigizaji Ethan Hawke katika simulizi ya kusisimua inayochanganya uhalifu, mapambano ya maisha na safari...

READ MORE

Mfanyabiashara Chivayo na Mkewe Wafariki katika Ajali ya Helikopta – Video

MARONDERA, Zimbabwe — Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria...

READ MORE

Cheza, Panda Kwenye Msimamo na Ushinde Milioni 5

Burudani mpya imefika kwa wapenzi wa Kasino Meridianbet. Ni Cash Storm Tournament kutoka Expanse, mashindano yanayokupa wiki mbili za burudani...

READ MORE

Pauly D Amvisha Pete Nikki Hall Baada ya Miaka Sita ya Uchumba

LOS ANGELES: Mwanamuziki na nyota wa vipindi vya televisheni, Pauly D, amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu,...

READ MORE

Kifo cha Mcheza Mieleka Benjamin Satterley ‘Pac’ Chashitua Ulimwengu

CHICAGO, MAREKANI: Ulimwengu wa mieleka umeingia kwenye majonzi kufuatia kifo cha ghafla cha mwanamieleka maarufu wa Uingereza, Benjamin Satterley, anayefahamika...

READ MORE

Tanzania Yaingia Hatua ya Pili Miss Grand 2026, Mpigie Kura Jihan Dimack Hapa

Dar es Salaam – Tanzania, kupitia mrembo wake Jihan Dimack, Miss Grand Tanzania 2026, imefanikiwa kuingia katika hatua ya pili ya kipengele...

READ MORE

TRA Yabaini Utata wa G-Wagon ya Ommy Dimpoz, G350 Yageuka G63

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini tofauti kubwa kati ya taarifa za forodha na hali halisi ya gari aina...

READ MORE

Cheetah Wild Yafungua Safari ya Porini Ndani ya Meridianbet

Meridianbet inakuletea mchezo unaokupa ladha halisi ya porini. Cheetah Wild kutoka Pragmatic Play inakualika kwenye safari yenye wanyama, mizunguko ya...

READ MORE

Kajala Afunguka Kuhusu Harmonize, Aunty na Irene Uwoya Wamshauri

Dar es Salaam – Mambo ya mapenzi yameendelea kuteka mjadala katika ulimwengu wa mastaa wa Bongo, safari hii baada ya...

READ MORE

MTV VMAs 2026: Taylor Swift, Madonna na BTS Waandika Historia

Sherehe za MTV Video Music Awards (VMAs) 2026 zimefanyika Jumapili, Septemba 27, katika ukumbi wa Peacock Theater jijini Los Angeles,...

READ MORE

Sayari Ya Bahati Ya Planet Power Slots Yawasili Meridianbet

Kuna wakati bahati haiji yenyewe mlangoni, bali inahitaji uamue kuifuata. Sasa safari hiyo inaweza kuanza kupitia Planet Power Slots, mchezo...

READ MORE

Jazzma Kendrick Afichua Sababu ya Kuachana na Rick Ross

Siku chache tangu mwanamitindo mashuhuri nchini Marekani, Jazzma Kendrick atangaze rasmi kuvunja uhusiano wake wa kimapenzi na rapa mkongwe Rick...

READ MORE

Pirates Power Yaleta Msisimko Mpya kwa Wapenzi wa Kasino

Bahari imejaa siri, mawimbi yanapiga kwa kasi na jahazi limejiandaa kuanza safari ya kusaka hazina. Hii ndiyo dunia ya Pirates...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026 Yamalizika kwa Kishindo Mwanza, Mastaa wa Gospel Wakiwasha – Video

MWANZA — Septemba 26, 2026: Uwanja wa Furahisha, Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, ulikuwa kitovu cha ibada na burudani ya...

READ MORE

Mpigie Kura Godmuya, Kura Yako Ni Ushindi! – Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, Godfrey Nathan @godmuya ameteuliwa kuwania tuzo za Samia Kalamu Awards 2026. 👉 Piga kura kupitia:...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026: Suma Awaunganisha Vijana na Fursa za Maisha – Video

MWANZA — Mratibu Mkuu wa ibada ya kusifu na kuabudu ya Sifa Gospel Fest 2026, Suma Mwaitenda, amewataka vijana kufikiri...

READ MORE

Pelican Payday Yachangamsha Meridianbet, Safari Mpya Ya Mizunguko Yaanza

Burudani mpya imefika na safari ya kuelekea kwenye ulimwengu wa mizunguko ya kasino imeanza rasmi. Pelican Payday kutoka Pragmatic Play...

READ MORE

Basata Yatoa Adhabu Kwa Dudubaya na Mratibu wa Tamasha la Miaka 30 Bongo Flava -Video

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa adhabu kwa msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha...

READ MORE

Rayvanny Kutumbuiza Afro Nation Portugal 2027

    Msanii wa Tanzania, Rayvanny, ametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika tamasha kubwa la Afro Nation Portugal 2027,...

READ MORE

Diamond na Joel Lwaga Waungana Kwenye Wimbo Mpya “Nikumbuke”

Wasanii wakubwa kutoka Tanzania, Diamond Platnumz na Joel Lwaga, wameungana kwa mara ya kwanza katika wimbo mpya unaokwenda kwa jina...

READ MORE

Dansa wa Taylor Swift Aonyesha Nyumba Yake Mpya Baada ya Miaka 10 Marekani

Jan Ravnik, dansa aliyewahi kuwa sehemu ya kikosi cha Taylor Swift kwenye ziara yake ya Eras Tour, amefichua furaha yake...

READ MORE

Mwanamume Ampiga Risasi Ex-Wake Baada Ya Kudai Msaada wa Malezi

Mwanamume mwenye umri wa miaka 63 nchini Marekani, Darrell Long, amepatikana na hatia ya jaribio la kumuua kwa makusudi mke...

READ MORE