×

Habari

Kikwete Atoa Ujumbe Mzito kwa Wanaume Kuhusu Saratani ya Tezi Dume

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wanaume kujenga utamaduni wa kupima afya ya tezi dume...

READ MORE

Mpiga Picha Mkongwe na Mwanzilishi wa ITV, Mzee Abdalah Haji Afariki Dunia

  MPIGA picha mkongwe na mmoja wa waajiriwa waanzilishi wa ITV, Mzee Abdalah Haji, amefariki dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Carrymastory Aibua Siri ya Kesi ya Milioni 600 Anayodai Kufunguliwa na Hamisa

Mtayarishaji wa maudhui mtandaoni anayefahamika kwa jina la Carrymastory ameeleza kushtushwa na hatua ya kisheria anayodai kuchukuliwa dhidi yake na...

READ MORE

Safari Mpya ya Burudani Yaanza Meridianbet Kupitia Chicago Gold 2

Wapenzi wa burudani za kasino, safari mpya imeanza rasmi Meridianbet. Mchezo mpya kabisa wa Chicago Gold 2 kutoka Games Global...

READ MORE

Zidane Aanza Rasmi Era Mpya ya Timu ya Taifa ya Ufaransa

KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinédine Zidane, ameanza rasmi ukurasa mpya baada ya kuchukua nafasi ya Didier...

READ MORE

Viumbe 10 Vyenye Sura ya Kustaajabisha Zaidi Duniani Lakini Wenye Uwezo wa Ajabu

Dunia ina mamilioni ya viumbe tofauti, na si wote wana mwonekano unaovutia kwa macho ya binadamu. Baadhi yao wana sura...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Lexus LX 600, SUV ya Kifahari Yenye Bei ya Mamilioni – Video

Lexus LX 600 ni moja ya SUV za kifahari zinazochanganya nguvu, teknolojia ya kisasa na uwezo mkubwa wa kuendesha kwenye...

READ MORE

Nmb Yatoa Sh47.6 Milioni Kupunguza Uhaba wa Vifaa Shuleni Kondoa, Chemba

  Juhudi za kupunguza uhaba wa madawati na vifaa vya kujifunzia katika Wilaya za Kondoa na Chemba, mkoani Dodoma, zimepata...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 18, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Azungumza na Rais Wa CAF, Patrice Motsepe jijini Dar

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dkt....

READ MORE

ACT Wazalendo Yafanya Uteuzi wa Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo imefanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kuwa Makamu wa Kwanza...

READ MORE

Betis, Getafe Kukutana Leo la Liga, Haya Ndio Yanayotarajiwa

Real Betis itakuwa mwenyeji wa Getafe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania LaLiga utakaopigwa leo Alhamisi, Septemba 17, 2026,...

READ MORE

Nyota Bigi Msimu wa Pili Yarudi, Kusaka Vipaji Vipya Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania — Septemba 17, 2026: Serengeti Lite, kwa kushirikiana na KUNTA Africa, imetangaza rasmi kurejea kwa Nyota...

READ MORE

Pablo Franco Atoa Somo Morocco, Atwaa Tuzo Ya Kocha Bora

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC ya Tanzania na AmaZulu ya Afrika Kusini, raia wa Hispania, Pablo Franco...

READ MORE

Mchora Katuni Kinyagulo Tuzo ‘King Kinya’ Afariki Dunia Morogoro

Mchora katuni maarufu nchini, Kinyagulo Tuzo almaarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi...

READ MORE

Kikwete Ahimiza Wanaume Kupima Saratani ya Tezi Dume

  RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amewataka wanaume kujenga utamaduni wa kupima tezi dume mara kwa mara...

READ MORE

Mitungi 600 ya Gesi Kwa Wananchi, Oryx Gas Yaunga Mkono Nishati Safi

KAMPUNI ya Oryx Gas imekabidhi mitungi ya gesi 600 na vifaa vyake kwa wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma...

READ MORE

Magic Wheel: Gurudumu la Bahati Lenye Mizunguko Ya Msisimko

Bahati ni kitu kisichotabirika, lakini kwenye Magic Wheel unaweza kuiona ikizunguka mbele ya macho yako. Meridianbet imekuja na mchezo unaoleka...

READ MORE

TOL Gases Yafungua Toleo la Hisa za Haki Stahiki la Shilingi Bilioni 8.17

Dar es Salaam, Tanzania, Alhamisi tarehe 17 Septemba 2026: TOL Gases PLC imefungua Toleo la Hisa za Haki Stahiki lenye...

READ MORE

Fahamu Safari ya Louis Vuitton, Kijana Maskini wa Kijijini Aliyejenga Chapa Yenye Thamani Kubwa Duniani

Louis Vuitton alikuwa mmoja wa watu muhimu katika historia ya mitindo ya kifahari duniani. Jina lake limeendelea kuwa alama ya...

READ MORE

Ajira Mpya Dar: Supervisor – Mshahara Tsh 700,000 Tuma Maombi Yako Sasa!

Location: Dar es Salaam, Tanzania Salary: TSh 700,000 kwa mwezi Kampuni inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye uwezo, uwajibikaji na...

READ MORE

NMB Kuongeza Ufadhili Sekta Binafsi Kuharakisha Dira 2050

Benki ya NMB imejipanga kupanua ufadhili kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuongeza upatikanaji wa mitaji na kuharakisha utekelezaji wa Dira...

READ MORE

Mixx, Zangof Waunganisha Nguvu Kuwezesha Asasi Za Kiraia Zanzibar

Zanzibar, Septemba 16, 2026 – Asasi za kiraia Zanzibar zitapata fursa ya kutumia huduma za kifedha za kidijitali kusimamia malipo,...

READ MORE

Jinsi ya Kusikia Sauti Halisi ya Video za YouTube Badala ya Tafsiri ya AI

YouTube imeanza kutumia teknolojia ya kutafsiri sauti kwa kutumia Akili Bandia (AI Dubbing) kwenye baadhi ya video, hali inayowafanya baadhi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 17, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Chanuo Nchakali Afunguka Kiki ya Ndoa na YJ Kiboko – Video

Msanii wa filamu Bongo, Chanuo Nchakali, amefunguka kuhusu sakata la kiki ya ndoa kati yake na msanii wa Bongofleva, YJ...

READ MORE

Wafanyabiashara 150 Mwanza Wapatiwa Mafunzo ya Kuimarisha Biashara

Zaidi ya wafanyabiashara 150 jijini Mwanza wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa biashara, usimamizi wa fedha na matumizi ya teknolojia, kupitia...

READ MORE

DCI Kingai Kutinga Ijumaa Hii Kutoa Ushahidi Kesi ya Lissu, Heche Amaliza..

Mshtakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amemaliza kumuuliza maswali ya re-examination shahidi wake, Makamu...

READ MORE

Saudi Arabia Yatungua Drone ya Houthi Iliyolenga Anga ya Makkah

RIYADH, Saudi Arabia — Mfumo wa ulinzi wa anga wa Saudi Arabia umefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani (drone) iliyokuwa...

READ MORE

Meridianbet Yaja na Zawadi za Samsung Galaxy A26 kwa Washindi Watatu

Mashabiki wa michezo, Meridianbet imeleta sababu nyingine ya kuongeza msisimko kwenye burudani yako. Safari hii zawadi ni simu tatu mpya...

READ MORE

Binti wa Miaka 24 Afariki Akidaiwa Kuamulia Ugomvi wa Rafiki Zake Arusha – Video

Arusha. Binti mwenye umri wa miaka 24, Irene Mallya, mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara jijini Arusha, amefariki...

READ MORE

Baada ya Miaka 6, Céline Dion Aitingisha Ufaransa kwa Shoo ya Kihistoria

NANTERRE, UFARANSA — Mwanamuziki mashuhuri wa Canada, Céline Dion, amerejea jukwaani kwa kishindo baada ya zaidi ya miaka sita bila...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Lissu Ataka Kukutana na IGP Wambura, CDF Mkunda na Kingai Kupanga Mkakati wa Ushahdi wa Kesi

Dar es Salaam. Tundu Lissu ameiambia Mahakama kuwa John Heche ndiye shahidi wake wa mwisho kutoka miongoni mwa mashahidi raia, akieleza...

READ MORE

Tanzania Yaweka Lengo la Kuwa Kitovu cha Tiba ya Saratani Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika kinga, uchunguzi na...

READ MORE

Watuhumiwa 37 Wahukumiwa Kwa Makosa Mbalimbali Ya Jinai Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linaendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja...

READ MORE

Ajira Mpya 678 Serikalini, Madaktari na Walimu, Mwisho wa Maombi Sept 17, 2026

Dodoma, Septemba 3, 2026 — Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya Tangazo hilo lenye Kumb....

READ MORE

Wakati wa Kuzungumza Kuhusu Menopauzi na Andropauzi, Golden Jubilee Oktoba 31, 2026

Peri-menopauzi, menopauzi na mabadiliko yanayohusishwa na andropauzi yanaweza kuathiri afya, mahusiano, kujiamini, tija na mazingira ya kazi. Pamoja na hayo, mada...

READ MORE

Heche: Lissu Hakutupa Maelekezo ya Kuzuia Uchaguzi wala Kuhamasisha Uasi

Dar es Salaam. Shahidi John Heche ameiambia mahakama kuwa Tundu Lissu hakuwahi kuwapa maelekezo ya namna ya kuzuia Uchaguzi Mkuu,...

READ MORE

Sokabet Yatumia Sh44.7 Bilioni Kuwazawadia Washindi Wa Mwezi Agosti

Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sokabet imetumia jumla ya Sh44, 658,787,637 kuwazawasia washindi mbalimbali kwa mwezi...

READ MORE