×

Habari

Fahamu Majabu 7 Usiyoyajua ya Papai kwa Afya ya Binadamu

PAPAI ni tunda linalopendwa na watu wengi kutokana na ladha yake tamu na faida zake nyingi kiafya. Tunda hili hupatikana...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Amtembelea John Malecela Dodoma

Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, akiwa ameambatana na mkewe, Bi. Neema Nchemba, wamemtembelea Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela, nyumbani kwake jijini...

READ MORE

Video: Shamsa Ford Azua Gumzo Baada ya Kuonekana Akilia na Kudai Talaka

Staa wa filamu za Bongo Movie, Shamsa Ford, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kusambaza video inayomuonyesha akiwa katika hali...

READ MORE

Watu 17 Wajeruhiwa Katika Shambulio la Ukraine Moscow

Jiji kuu la Urusi, Moscow, limekumbwa na kile kinachotajwa kuwa moja ya mashambulizi makubwa zaidi tangu kuanza kwa vita kati...

READ MORE

Trump Atetea Kuachiliwa kwa Mali za Iran Zilizozuiwa Nje ya Nchi

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametetea mpango wa kuachia sehemu ya mali za Iran zilizozuiwa nje ya nchi, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Trump na Rais wa Iran Wasaini Makubaliano ya Kusitisha Mvutano

Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Iran Masoud Pezeshkian wamesaini Hati ya Makubaliano ya Maelewano (MOU) inayolenga kupunguza...

READ MORE

Wakili wa Besigye Ashtakiwa kwa Kosa la Uhaini Uganda

Meya wa zamani wa Kampala na wakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, Erias Lukwago, amefikishwa mahakamani na...

READ MORE

Mwigulu: Hakuna Ubaguzi wa Huduma za Afya Kati ya Bara na Zanzibar – Video

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema huduma za afya zinazotolewa nchini hazibagui wananchi kwa kuzingatia upande wa Muungano wanaotoka,...

READ MORE

Arnold Schwarzenegger Aibuka na Mpenzi Wake Baada ya Miaka 14 ya Mahusiano

Mwigizaji maarufu wa filamu, Arnold Schwarzenegger na mpenzi wake wa muda mrefu Heather Milligan wameonekana pamoja hadharani katika tukio nadra...

READ MORE

Waziri Sangu Awahimiza Waajiri Nchini Kutoa Mikataba ya Ajira kwa Wafanyakazi Wao

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu, amepongeza waajiri nchini wanaotekeleza wajibu wao...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Benki Kuuza Mali za Marehemu Hans Poppe Kulipa Deni la Bilioni 7.4 za

Kitengo cha Biashara cha Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam kimeruhusu Benki ya Biashara Tanzania (TCB) kuendelea na...

READ MORE

Mexico na South Korea Kukutana Katika Vita ya Kuongoza wa Kundi A

Mchezo wa mashindano ya Dunia 2026 kati ya Mexico na South Korea utakaochezwa usiku wa kuamkia Juni 19 saa 04:00...

READ MORE

Waitara: Viongozi Wanaowagawa Wananchi Wachukuliwe Hatua – Video

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara, ametoa wito kwa viongozi nchini kuwa waangalifu na kauli...

READ MORE

G7 Yarejea Kujadili Vita vya Ukraine Baada ya Mgogoro wa Iran

Donald Trump amesema Marekani inaweza kurejesha vikwazo dhidi ya usafirishaji wa mafuta ya Russia katika siku za karibu, huku viongozi...

READ MORE

Mbunge Shadya Akemea Mijadala ya Muungano Inayoweza Kuligawa Taifa

Mbunge wa Viti Maalum Kaskazini Unguja kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shadya Haji Omar, leo Juni 17, 2026, amechangia mjadala...

READ MORE

TAKUKURU Yawafikisha Mahakamani Watumishi 9 Geita Tuhuma za Ubadhirifu Milioni 90

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewafikisha mahakamani watumishi tisa wa umma kwa tuhuma za...

READ MORE

Rais wa Equatorial Guinea Avunja Serikali Yake Baada ya Kushindwa Kufikia Malengo

Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ameivunja Serikali yake baada ya kubaini kuwa imeshindwa kutekeleza majukumu yake na...

READ MORE

Video: Wachina Wanaodaiwa Kumteka Mwenzao Wafikishwa Mahakamani

Wafanyabiashara Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Deng Qiang, wamekosa kusomewa mashtaka yao katika...

READ MORE

Trump: Mlango wa Hormuz Kufunguliwa Kikamilifu Ndani ya Siku Mbili

Rais wa Marekani, Donald Trump leo Juni 17, 2026 amesema anatarajia njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, katika mlango...

READ MORE

Muhimbili Yaandika Historia Baada ya Mama Kujifungua Watoto Watano kwa Wakati Mmoja – Video

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeandika historia nyingine baada ya kufanikisha salama uzazi wa watoto watano kwa wakati mmoja kwa...

READ MORE

Real Madrid Yamnasa Bernardo Silva kwa Mkataba wa Miaka Miwili

Klabu ya Real Madrid imethibitisha kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ureno, Bernardo Silva, kwa mkataba wa miaka miwili baada ya...

READ MORE

Mbeto Afunguka Athari za Kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinadaiwa kuwasaliti waTanzania kwa kususia uchaguzi mkuu uliopita 2025 jambo linalofanya michango ya maoni...

READ MORE

Iran Kupata Uwekezaji wa Trilioni 788 Baada ya Makubaliano na Marekani

Mfuko maalumu wa uwekezaji wa sekta binafsi wenye thamani ya dola bilioni 300 za Marekani (Sawa na Shilingi Trilioni 788.1...

READ MORE

Wafikishwa Mahakamani Kisutu Kwa Tuhuma za Wizi wa Mafuta Ghafi

MSIMAMIZI wa tanki Kassim Kongwa na wenzake, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa shataka la wizi wa lita 2,800 za mafuta ya ghafi...

READ MORE

Tanzania Kupitia Tantrade Yafungua Fursa za Biashara Urusi

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeendelea kutangaza bidhaa na huduma za Tanzania katika soko la kimataifa kupitia ushiriki...

READ MORE

Diddy Apunguziwa Kifungo kwa Mara Nyingine, Kuachiwa 2028

Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema zaidi baada ya tarehe yake...

READ MORE

Nafasi Mpya za Kazi Zatangazwa Sekta ya Afya na Utawala

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs imetangaza nafasi 95 za kazi kwa Watanzania...

READ MORE

Trump: Iran Haitaruhusiwa Kumiliki Silaha za Nyuklia, Afunguka Akiwa Ufaransa

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali (memorandum of understanding) yanayosisitiza kuwa Iran...

READ MORE

Bulaya Aibua Hoja Nzito Kuhusu Matumizi ya Serikali, Atoa Somo la Nidhamu – Video

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema Tanzania inaweza kufikia lengo la kujitegemea kiuchumi iwapo kutakuwa na nidhamu ya hali...

READ MORE

Fahamu Maajabu 15 Ya Dawa Ya Meno Usiyoyajua

KWA kawaida tunazifahamu dawa za meno na tunatumia majumbani lakini pia zimezoeleka kuitwa kama dawa ya mswaki. Njia kuu moja...

READ MORE

Musukuma Amwomba Rais Mwinyi Kudhibiti Kauli za Kibaguzi kati ya Uzanzibar na Utanganyika – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma amemwomba Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi kuchukua hatua dhidi ya kauli zinazotolewa na...

READ MORE

Brenda Rupia Afafanua Hoja ya Katiba Mpya Nchini “Ni Matakwa ya Wananchi” – Video

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Brenda Rupia amesema kuwa suala la katiba mpya halipaswi kuonekana...

READ MORE

Goal Strike Frenzy: Mchezo Mpya wa Meridianbet Unaotikisa Mashabiki wa Soka

Meridianbet imezindua Goal Strike Frenzy, mchezo mpya unaowaletea mashabiki wa soka burudani ya kiwango kingine. Ukiwa umejaa msisimko wa kandanda...

READ MORE

Makamu wa Rais JD Vance Afichua Masharti Ya Makubaliano na Iran

Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amesema Rais wa Marekani, Donald Trump, huenda akayatoa hadharani makubaliano yaliyofikiwa kati ya...

READ MORE

Mwili Goodluck Silayo Kuzikwa Babati leo Baada Ya Kufariki Katika Ajali Dodoma

Mwili wa Meneja wa Mipango na Fedha wa kampuni ya MATI Super Brands Limited, Goodluck Didas Silayo, utaagwa leo Juni...

READ MORE

Ofisi Ya Dkt. Kikwete Yakanusha Kuhusishwa Na Mradi Wa Uwekezaji Wa Ai

Ofisi ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, inapinga na kukanusha vikali taarifa ya...

READ MORE

Vitu Muhimu vya Kuzingatia Unaponunua Matairi Mapya ya Gari

Kununua matairi mapya ya gari ni uamuzi muhimu unaogusa moja kwa moja usalama, matumizi ya mafuta, uimara wa gari na...

READ MORE

Mtoto wa Malkia wa Norway Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Makosa ya Ubakaji

Marius Borg Høiby, mtoto wa miaka 29 wa Malkia wa Norway, Mette-Marit, amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani baada ya...

READ MORE

Jenerali wa Zamani wa Jeshi la Nigeria Afariki Baada ya Kutekwa

Jeshi la Nigeria limethibitisha kifo cha Meja Jenerali mstaafu Rabe Abubakar, aliyekuwa msemaji wa jeshi kati ya mwaka 2015 na...

READ MORE

Aliyetimuliwa Man Utd Kuwa Kocha Mpya AC Milan ya Italia

Kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim, anatarajiwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Italia, AC Milan, baada ya kukubaliana...

READ MORE