×

Habari

Marekani Haijapata Uthibitisho wa Vyombo Ilivyotungua ni vya Ujasusi

Serikali ya Marekani, Jumanne imesema kwamba mpaka sasa haina uthibitisho kwamba vyombo vinne vilivyotunguliwa angani wiki iliyopita katika anga la...

READ MORE

CTI Yaomba Malighafi Zinazoingia Tanzania Zisitozwe Kodi

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limeiomba serikali kupunguza au kuondoa  kodi kwa malighafi zinazotoka nje ya nchi kwaajili ya...

READ MORE

GGML Yagawa Tani 23 Mbegu za Alizeti kwa Wakulima Geita

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited. (GGML) imesambaza tani 23 za alizeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Halmashauri...

READ MORE

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

  Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba...

READ MORE

Siku ya Redio Duniani Meridianbet Yapiga Hodi ITV & Radio One

Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo...

READ MORE

TEMESA Yataka Nauli za Vivuko Zipandishwe Hazienani na bei ya Soko

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema changamoto kubwa zinazoikabili kwa sasa ni nauli za vivuko ambazo zimepitwa na...

READ MORE

Mshindi Wa Tzs 20m Meridianbet Aeleza Mbinu Alizotumia

Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja,...

READ MORE

Tetemeko La Ardhi Uturuki: Mtoto Wa Miaka Mitano Aokolewa Baada Ya Saa 105 Kwenye Vifusi Vya Tetemeko

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 ameokolewa kutoka vifusi vya tetemeko la ardhi la Uturki saa 105 baada ya mkasa...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wauawa Kwa Kupigwa Risasi, Wengine Watano Wajeruhiwa

  Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya mwanaume mwenye silaha kuvamia Chuo Kikuu cha Michigan, Marekani...

READ MORE

Equatorial Guinea Yathibitisha Kuzuka kwa Virusi vya Marburg

Mamlaka nchini Equatorial Guinea siku ya Jumatatu ilisema nchi hiyo iliripoti mlipuko wake wa kwanza wa virusi vya Marburg, ugonjwa...

READ MORE

Ndugu wa Mume Walinikejeli Sana Kisa Sina Mtoto, Sasa Nimewafunga Midomo!

  Ukweli ni kwamba tamaduni za Kiafrika kwa kiasi fulani zinawakandamiza sana wanawake pale ambapo wanaolewa na kukaa muda mrefu...

READ MORE

King Perryy Aachia EP Yake Akiwashirikisha Tekno, Victony Na 1Da Banton

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, King Perry ameachia EP yake aliyoipa jina la Continental Playlist...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aanza Ziara Mkoani Songwe, Azindua Hospitali

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2023 ameanza siara ya siku tatu mkoani Songwe ambapo anatarajiwa kukagua na...

READ MORE

Taharuki Kubwa Yazuka Ikidaiwa Watu 10 Wamefariki Dunia kwa Ajali ya Ndege

  Asubuhi ya leo, taharuki kubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii, ikieleza kwamba watu 10 wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa...

READ MORE

Rihanna Atangaza Kupata Ujauzito wa Pili Wakati Akipiga Shoo ya Super Bowl

  Mwanadada Robyn Fenty ‘Rihanna’ ameweka wazi kuwa ana ujauzito wa mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye pia ni...

READ MORE

DCB Yapongezwa Kwa Mchango Wake Kuinua Sekta ya Fedha Nchini

BENKI ya Biashara ya DCB imepongezwa kwa mchango wake unaoendelea kuchangia maendeleo ya sekta ya fedha nchini. Hayo yamebainika katika...

READ MORE

Kili Marathon Yatangaza Ratiba Ya Ugawaji Namba Za Wakimbiaji

Waandaaji wa Kilimanjaro Premium Lager International Marathon wametangaza utaratibu wa uchukuaji namba na vesti za kukimbilia kwa waliojisajili. Hatua hii...

READ MORE

Gavana Wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Tutuba Apongeza Mabadiiliko Ya Kidijitali

Dar es Salaam: Ijumaa, Februari 10 2023.Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba amepongeza juhudi zinazofanywa na sekta ya...

READ MORE

Benki ya Dunia Yataja Mafanikio Matatu ya Uchumi wa Tanzania  Nchini ya Rais Samia Suluhu Hassan

Benki ya dunia yataja mafanikio matatu ya Uchumi wa Tanzania  nchini ya Rais Samia Suluhu Hassan 1. Tanzania ina mfumuko...

READ MORE

Sloti ya Pirates Power Ndani ya Meridianbet Ushindi ni Rahisi!

Hii hapa nyingine kutoka kwa wakali wa michezo ya kasino mtandaoni Meridianbet, ni Pirates Power sloti bomba na nzuri isiyochosha...

READ MORE

Vodacom Mr Price Na KFC Walivyozindua Ofa Valentine

Dar es Salaam 12 Februari 2023: Kampuni ya  mtandao wa simu za mkononi ya inayoongoza hapa nchini, Vodacom kwa kushirikiana...

READ MORE

Updates Tetemeko La Ardhi: Idadi ya Vifo Uturuki na Syria Yaongezeka Zaidi ya 26,000

  Wakati zoezi la uokoaji likiingia siku ya 7, idadi ya vifo inazidi kuongezeka. Kwa upande wa Syria kuna vifo...

READ MORE

Wafaransa Waandamana Kupinga Mipango ya Kurekebisha Mfumo wa Pensheni

Polisi walijotokeza mitaani kote nchini Ufaransa Jumamosi wakati waandamanaji wakifanya duru ya nne ya maandamano ya kitaifa kupinga mipango ya...

READ MORE

Gari Lenye Abiria Latumbukia Kwenye Korongo, Watu 20 Wajeruhiwa Vibaya, Mmoja Afariki… Video

Mtu mmoja (Dereva) amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika Kata ya Sigino Wilayani Babati Mkoani Manyara baada ya gari...

READ MORE

Namna Unavyoweza Kuwavutia Wateja Katika Biashara Yako na Kufanikiwa

KILA mfanyabiashara lengo lake kuu ni kufanya mauzo makubwa na kutengeneza faida na baadaye kutanua wigo wa biashara yake, kinyume...

READ MORE

Rais Samia Aongeza Kiwango cha Mkopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu – (Video+Picha)

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza kiwango cha mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu maarufu kama ‘boom’ hadi kufikia...

READ MORE

Engen And Vivo Energy To Combine To Create A Pan-African Energy Champion

Cape Town, South Africa. 9 February 2023: Engen and Vivo Energy are pleased to announce a combination of their respective...

READ MORE

Pilsner Ya ‘Kapu La Wana’ Yafanya Droo Ya Kwanza

Dar es Salaam, Jumatatu Februari 13, 2023: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Pilsner Lager imefanya...

READ MORE

Shafa Mills Yapania Kuwakomboa Wafugaji Nchini, Yazindua Lishe Bora Ya Mifugo

Dar es Salaam 11 Februari 2023: Kampuni ya Shafa Mills inayojishughulisha na kilimo na ufugaji imedhamiria kuikomboa sekta ya ufugaji...

READ MORE

Tigo Pesa Wamwaga Zawadi Na Mamilioni Ya Pesa Kwa Mawakala Wake Wakishua

Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania kupitia Huduma yake ya mfumo wa pesa Kidigitali...

READ MORE

Msanii Maarufu nchini Afrika kusini, Kiernan Jarryd Forbes ‘AKA’ Afariki Dunia

Msanii maarufu kutokea nchini Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes ‘AKA’ ameripotiwa kufariki dunia kwa kupigwa risasi tano yeye pamoja na...

READ MORE

Walimu, Wazazi Wakutana Kupongezana Mafanikio Ya Sekondari Ya Wasichana Ya John The Baptist

Dar es Salaam 11 Februari 2023: Wazazi na walezi waaswa kuwekeza kwenye elimu ili kuvuna matunda mazuri kwenye elimu kwa...

READ MORE

GGML, Geita Wajivunia Nyankumbu Sekondari Kung’ara Matokeo Kidato cha Nne

  WAKATI wakuu wa mikoa na wilaya wakihaha kuhamasisha wazazi wawapeleke watoto wao shule kujiunga na kidato cha kwanza, kwa...

READ MORE

Mtoto Mchanga na Mama Waokolewa Baada ya Siku nne chini ya Vifusi

Mtoto mchanga na mama yake wameokolewa kutoka kwenye vifusi nchini Uturuki, karibu saa 90 baada ya tetemeko la ardhi la...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Nguo Kwa Bodaboda Jiji la Dar Es Salaam

Bodaboda ni moja ya usafiri unaotumiwa sana na wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam, Mkoa wenye idadi kubwa ya...

READ MORE

Tundu Lissu Atinga Kituo Cha Polisi Dodoma Kufuatilia Gari Lake – “Nataka Kulipeleka Makumbusho”-Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametinga katika Ofisi ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma,...

READ MORE

Rais Ramaphosa Atangaza Janga la Kitaifa Kufuatia Uhaba Mkubwa wa Umeme nchini Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi alitangaza janga la kitaifa katika hatua ya kuharakisha juhudi za kukabiliana na rekodi...

READ MORE

MBUNGE David Kihenzile Ashinda Tena Kwa Kishindo Kuongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge

MBUNGE wa Mufindi Kusini, David Kihenzile ameshinda kwa kishindo kwa mara ya pili kuongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Maelfu Wataka Kumuasili Mtoto Mchanga Aliyezaliwa chini ya Vifusi vya Tetemeko la Ardhi Uturuki

Maelfu ya watu wamejitokeza kutaka kumuasili mtoto wa kike aliyezaliwa chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka kaskazini-magharibi mwa Syria, kufuatia...

READ MORE

Mfumuko wa Bei kwa Mwezi Desemba/Januari 2023 Kwa Baadhi ya Nchi:

Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244%...

READ MORE