×

Habari

Beach Boy Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Gerezani kwa Kumbaka Mtoto Akimfundisha Kuogelea    

MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) kwa jina maarufu P squre, kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Mahakama Yasema Tume ya Uchaguzi (IEBC) Ilitumia Fomu ya Pili Matokeo ya Uchaguzi Kenya

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilitumia seti ya pili ya fomu za upeperushaji matokeo ambayo ilisuluhisha na vyama...

READ MORE

Bandari ya Karema Mkoani Katavi Yaanza Kazi, DC Atoa Wito Maalum kwa Mamlaka

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) zimetakiwa kushawishi na kuratibu Meli za kutoka Bandari za Congo, Zambia na Burundi...

READ MORE

Ubalozi wa Marekani Nchini Kenya Watoa Tahadhari Kwa Raia Wake

  UBALOZI  wa Marekani nchini Kenya umewataka raia wake kuchukua tahadhari kubwa nchini humo wakati huu ambapo, mahakama ya juu...

READ MORE

Benki ya CRDB na Selcom Zaungana Kurahisisha Huduma za Malipo

Dar es Salaam  Septemba 1, 2022 – Katika kufanikisha azma yakupanua wigo wahuduma za kifedha nakurahisisha malipo nchini, Benki ya...

READ MORE

Kinana: CCM Haitamvumilia Mwanachama Yeyote Anayetaka Uongozi Kwa Kutumia Udini,Ukabila Na Ukanda

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema Chama hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye anataka...

READ MORE

Rais Samia Afika Kuhani Msiba wa Mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 1, 2022 amefika nyumbani kwa marehemu, Chukwani...

READ MORE

NHIF Kuja na Mwarobaini wa Kuokoa Mfuko wa Bima, Waziri Ummy Atoa Maagizo

LEO Septemba 1, 2022 Waziri wa Wizara Afya Mh. Ummy Mwalimu ametoa ufafanuzi juu ya kutetereka kwa mfuko wa Taifa...

READ MORE

Video: Waziri Mwigulu Atoa Ufafanuzi wa Tozo za Miamala ya Simu na Benki

 Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Tozo hii si kodi ya Biashara wala si kodi inayotokana na faida ya...

READ MORE

Moto Uliozuka Mwanza Hotel Wazimwa Huku Chanzo cha moto bado kikiwa hakijafahamika

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amesema kuwa moto uliozuka na kuunguza Club ya Dallas iliyo ndani ya Mwanza...

READ MORE

Wakili wa IEBC: ‘Tume ya Uchaguzi Haina Kasoro, Wafula Chebukati Hana Kosa’-Live

MAWAKILI wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC wameanza kutoa mawasilisho ya kupinga kesi ya kutaka matokeo...

READ MORE

Je Wajua Faida za Kunywa Chai ya Majani ya Mchaichai? Zisome Katika Makala Hii

    INASAIDIA kuondoa wasiwasi. Watu wengi huona kunywea chai ya moto kuwa kuburudisha, lakini chai ya mchaichai inaweza kutoa...

READ MORE

Okiya Omtatah: Wapiga Kura Hewa Nusu Milioni Walipiga Kura Katika Uchaguzi wa Kenya

SENETA mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano Agosti 31, 2022 alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Nchi ya Kwanza kwa Uzuri Afrika, ya Nne Duniani

TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani na ya kwanza kwa Bara la Afrika kwa mujibu wa utafiti...

READ MORE

Watu 18 Wauawa kwa Kupigwa Risasi, 34 Wajeruhiwa na 9 Mahututi Madagascar

WATU 18 wameuawa na wengine 34 kujeruhiwa huku 9 wakiwa mahututi, baada ya Polisi kufyatua risasi kwa ajili ya kuwatawanya...

READ MORE

Meridianbet Wawatembelea Sober House ya Pillimissana Foundation, Kigamboni Dar

Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na...

READ MORE

Julie Soweto: ‘Kura 4,463 Zilipunguzwa Kutoka kwa Raila na Kupewa Ruto’ -Video

Mawakili wa timu ya wanasheria wanaomtetea Raila Odinga, wakiongozwa na Julie Soweto, wamedai kura 4,463 zilitolewa kutoka kwa mteja wake...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma -Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 31...

READ MORE

Afisa Mifugo Makete Apiga Marufuku Kuchinja, Kula Kitimoto, Atoa Sababu Maalum

AFISA MIFUGO na Uvuvi Wilayani Makete mkoani njombe, Aldo Mwapinga amepiga marufuku kuchinja au kula nguruwe kutokana na uwepo wa...

READ MORE

Urusi Yakubaliana na Taliban Kupeleka Bidhaa Afghanistan, Baada ya Kuwekewa Vikwazo vya Kimataifa

MUDA sio mrefu kutokea sasa Urusi itaingia makubaliano na uongozi wa Taliban nchini Afghanistan juu ya uagizaji wa ngano,mafuta na...

READ MORE

Odinga Na Ruto Mpaka Kieleweke Kwenye Matokeo ya Uchaguzi, Mahakama Yaamuru Kura Kuhesabiwa Upya.

MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imeamuru tume ya uchaguzi ya Kenya IEBC kumpa fursa mlalamikaji Bw.Raila Odinga Kuhakikisha data za...

READ MORE

Rais wa Mwisho wa Urusi Mikhiel Gorbachev Aaga Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 91

  Mikhail Gorbachev, aliyekuwa rais wa Urusi, ambaye alimaliza vita baridi bila kumwaga damu lakini akashindwa kuzuia kusambaratika kwa Muungano...

READ MORE

Gondwe Aipongeza Vodacom kwa Maendeleo ya Technolojia na Kusaidia Jamii

MKUU wa wlilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele katika kuleta...

READ MORE

Rais Samia Ataja Sababu Zinazofanya Jeshi la Polisi Kuwa Legelege

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametaja sababu zinazofanya Jeshi la Polisi kuwa legelege kuwa ni...

READ MORE

Tajiri Kijana Aliyewekeza Kwenye Bitcoin na Akaamua Kuishi Ndani ya Gari

KUTANA na kijana Ben Yu kutoka nchi ya marekani mwenye miaka 26, Ben Yu aliakuwa akisoma katika chuo cha Harvard,...

READ MORE

Rais wa Afrika Kusini Ahojiwa na Wabunge Kuhusu Wizi wa Fedha Kwenye Shamba Lake

  RAIS wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne Amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na...

READ MORE

NMB Yatangaza Ushirikiano na Kituo cha Radio cha EFM na TVE, Mbio za NMB Marathon

  Benki ya NMB imetangaza ushirikiano na kituo cha Radio cha EFM na TVE kama washiriki wenza katika mbio za...

READ MORE

Rais Samia Amwagiza DCI kufanya Upelelezi Kabla ya Kumweka Mtu Mahabusu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Agosti 30, 2022 amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai...

READ MORE

Wagombea wa Muungano wa Azimio Washinda Ugavana Mombasa na Kakamega

MGOMBEA wa chama cha ODM Fernandes Odinga Barasa ameshinda kinyang’anyiro cha kuwania kiti cha Ugavana katika kaunti ya Kakamega nchini...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Upelelezi Ufanyike Kabla Ya Kuwekwa Mahabusu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa...

READ MORE

Ushirikina Wampeleka Jela Mzee wa Miaka 60, Mahakama Yatoa Adhabu Kama Fundisho

KATIKA kutoa fundisho na kukomesha vitendo vya kishirikina vinavyobabisha migogoro ya kifamilia na Jamii na kupelekea mauaji mwendesha mashtaka wa...

READ MORE

Maajabu ya Samaki mwenye Uwezo wa Kuzalisha Umeme Kutoka Msitu wa Amazon

SAMAKI anayejulikana kwa jina la kingereza Electric Eel anayepatikana katika mto wa Amazon barani Amerika kusini ni moja ya Samaki...

READ MORE

Askali Polisi Achomwa Mshale na Mtu Mmoja Aliyegoma Kuhesabiwa Sensa Mkoani Dodoma

ASKARI polisi wa kituo cha Mrijo wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Konstebo William Werema amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...

READ MORE

Majaliwa-Tanzania Yawasilisha Miradi Minane Ticad, Barabara na Kilimo Yapewa Kipaumbele

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika...

READ MORE

Bado Hatujamaliza Ndio Kwanza Ligi Zimeanza, Mikeka Yako Inasomaje? Wiki Hii

Ligi mbalimbali zinaendelea tena wiki hii, na meridianbettz bado kuna pesa za kutosha kukupatia wewe mshindi.   EPL bado ni...

READ MORE

DC Gondwe: VODACOM Kinara Kwenye Mapinduzi ya Teknolojia Nchini

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya Simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye...

READ MORE

Mahakama ya Juu Kenya Kufanya Kikao cha Mikakati Kesi ya Kupinga Matokeo ya Urais

MAHAKAMA  ya juu zaidi nchini kenya imepangiwa kufanya kikao cha kutathmini masuala yatakayoibuka kwenye kesi tisa zilizowasilishwa katika kupinga kutangazwa...

READ MORE

Serikali Yazindua Mpango wa “Silicon Zanzibar” kwa kushirikiana na Wasoko

  Mji wa Fumba, Zanzibar, 30 Agosti 2022—Serikali ya Zanzibar jana imetangaza uzinduzi wa Silicon Zanzibar, mpango mpya wa kuvutia...

READ MORE

RC Kilimanjaro Azindua ATM Ya Nmb ya Kubadili Fedha za Kigeni Uwanja wa KIA

  Benki ya NMB leo imezindua rasmi mashine ya kubadilisha fedha (Forex – ATM) katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

READ MORE