×

Habari

Mjumbe wa Waziri Mkuu wa Uingereza Atembelea SBL

MJUMBE wa biashara kutoka ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney  ametembelea kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd’s...

READ MORE

Inasikitisha: Mtoto wa Miaka Sita Aingiliwa Kimwili na ‘Baba Mdogo’

KATIKA hali ya kustaajabisha, mtoto wa miaka sita (jina linahifadhiwa) katika Kata ya Nyombo, Manispaa ya Njombe amebainika kuingiliwa kimwili...

READ MORE

Mtoto wa Siku 5 Aokolewa na Paka Kwenye Shimo

Mtoto wa kike wa siku tano, ambaye aliokolewa kutoka kwenye shimo la maji taka alimokuwa ametupwa jijini Mumbai, India anaendelea...

READ MORE

Serikali Yagoma Kutoa Zawadi ya Bil 1 kwa Waliofichua Magaidi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amezungumzia kuhusu zawadi ambayo serikali ilikuwa imeahidi kutoa zaidi ya kiasi...

READ MORE

NMB, Selcom Zaunganisha Nguvu Kuimarisha Malipo Kidijitali

    Kuifanya Tanzania kuwa taifa la uchumi wa kidijitali lenye matumizi madogo ya pesa taslimu kunahitaji ushirikiano wa karibu...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaanza kwa Pingamizi

Upande wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyella...

READ MORE

Buchosa: Shigongo Awatahadharisha Watakaotafuna Fedha za Uviko 19

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amewatahadharisha watendaji wa Serikali kutothubutu kula fedha za Uviko 19 zinazojenga vyumba...

READ MORE

Diwani Ataka Wauza Chipsi Watozwe Ushuru

Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Morogoro imetupilia mbali hoja ambayo imewasilishwa na mmoja wa madiwani hao kuwa wauza chipsi...

READ MORE

Serikali Kuipatia Bugando Bilioni 4 ya Vifaatiba – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kanda ya Bugando, Dk Fabian Massaga amesema hospitali hiyo inatarajia kupokea Sh4.2 bilioni kwa ajili...

READ MORE

Watuhumiwa Watatu wa Ugaidi Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

Msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika Gereza la Kamiti nchini Kenya, umezaa matunda baada ya watuhumiwa...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Tafiti za Saratani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufanyika kwa utafiti wa kina kuhusu ongezeko la...

READ MORE

Rais Samia Avunja Ukimya Sakata la Mgao wa Maji Dar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa ufafanuzi wa adha inayoikumba taifa jumla kwa sasa...

READ MORE

Pablo Aleta Balaa Jipya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, amekuja kivingine katika kikosi chake akimtaka kila mchezaji kufanya mazoezi binafsi. Hiyo ni...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua mashine ya kupima magonjwa mbalimbali (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...

READ MORE

NBC Yazindua Bima ya Kilimo kwa Wakulima, Wafugaji na Wavuvi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance wamezindua huduma ya bima maalum...

READ MORE

Rufaa ya Sabaya Kuunguruma Desemba 13

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo Philip anatarajiwa kuanza kusikiliza rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai...

READ MORE

Mchoro wa “Diego and I” Wauzwa kwa Bilioni 80

Mchoro wa picha ya wanandoa wawili inayojulika kwa jina la “Diego and I” iliyochorwa na mchoraji maarufu kutoka Amerika Kusini,...

READ MORE

Aweso Atinga Dawasa Usiku.. Atoa Maagizo Mazito Kwa Menejimenti

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) usiku wa kuamkia leo Novemba 18, 2021 ametinga kwenye Ofisi za DAWASA kuwekea msisitizo...

READ MORE

Bayport Yakabidhi Bodaboda kwa Mtumishi wa Muhimbili

  TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services, imekabidhi bodaboda mpya aina ya Hunter kwa mtumishi wa Hospital ya Taifa...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Kufukiwa na Kifusi Sikonge

WATU watatu wamefariki dunia wakiwemo watoto wawili na mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi majengo wilaya ya sikonge mkoani Tabora...

READ MORE

Pingamizi la Sabaya Lakataliwa, Ushahidi wa Benki Wapokelewa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepokea vielelezo vya shahidi wa tisa wa upande wa Jamhuri, Marry Mayoka Kimasa chini ya...

READ MORE

Mmoja Akwama Ardhini Mwanza

Mtu mmoja amekwama ardhini kwa zaidi ya siku tano baada ya kifusi cha mabaki ya machimbo ya dhahabu kushuka na...

READ MORE

Pingamizi la Mbowe Kuhusu Diary ya Shahidi Lapigwa Chini

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi kumkataa shahidi...

READ MORE

Kati ya Umeme na Maji Bora Nini?

  Msanii Jay Moe aliwahi kuwauliza mashabiki wake katika moja ya ngoma yake “Kati ya mvua na Jua Bora Nini?”...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku moja ya kikazi Novemba...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Ole Sabaya Aanika Alivyoidhinisha Tsh mil 90

SHAHIDI wa tisa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya (34) na...

READ MORE

Nchi10 Ulaya Zafuzu Kombe la Dunia 2022

Mataifa 10 ya Ulaya yaliyoongoza makundi ya kufuzu kombe la Dunia mwaka 2022 na kukata tiketi ya kushiriki moja kwa...

READ MORE

Mwanafunzi Ampiga Mwalimu Hadi Kupoteza Fahamu

JESHI la Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike....

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua Abiria wa Bodaboda Kibaha

AJALI mbaya imetokea usiku huu katika eneo la Kwa Mathias wilayani Kibaha, mkoani Pwani wakati basi lenye namba za usajili...

READ MORE

Eti, Madalali Siyo Watu Wazuri?

  WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi amewashukia madalali kote nchini na kuwaambia ni marufuku kuchukua kodi ya mwezi kwa wapangaji....

READ MORE

Waliofariki kwa Mlipuko Uganda Wafikia Sita – Pichaz

Watu 6 wamethibitika kufariki dunia mpaka sasa huku wawili kati yao wakiwa maafisa polisi, kufuatia milipuko miwili kutokea jijini Kampala...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Kiwanda cha Vifaa vya Kisasa vya Ujenzi

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo amezindua Kampuni ya Kutengeneza Vifaa vya kisasa vya Ujenzi pamoja na kujishughulisha na...

READ MORE

Milipuko Iliyotokea Kampala Ni Mabomu Ya Kujitoa Muhanga- Polisi

Jeshi la polisi nchini Uganda limeeleza kuwa milipuko miwili iliyotokea asubuhi ya leo, Novemba 16, 2021 kwenye kizuizi cha barabarani...

READ MORE

Ukikamata Wafungwa Hawa Unapewa Zawadi ya Bilioni 1.23

MAMLAKA nchini Kenya imetangaza zawadi kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidai kukamatwa kwa wafungwa “hatari” waliotoroka jela walimokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma zinazohusiana...

READ MORE

Nguruwe Abakwa Akisubiri Kuchinjwa

MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe ambaye jina lake halijafahamika anashikiliwa na Jeshi...

READ MORE

TECNO Camon 18 Kuja na Gimbal Kamera

Kuelekea mwisho wa mwaka 2021 kampuni ya simu za mkononi TECNO yenye mashabiki wengi hasa upande wa simu janja inatarajiwa...

READ MORE

Breaking: Milipuko Miwili Yaua Tena Uganda

BREAKING NEWS: Milipuko miwili imetokea katika Mji mkuu wa Kampala nchini Uganda, mapema leo Jumanne, Novemba 16, 2021 huku watu...

READ MORE

Breaking: Maduka 43 Yateketea kwa Moto Tunduma

MADUKA 43 yameteketea alfajiri ya leo Jumanne, Novemba 16, 2021 baada ya jengo moja ndani ya Soko la Manzese, wilayani...

READ MORE

Simbachawene Aipongeza LSF Kuzindua Mpango Mkakati Mpya 2022/2026

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada...

READ MORE