×

Habari

Pendo Msegu: Panya Magawa Mtegua Mabomu Yupo Single

Mkufunzi wa Panya Magawa Pendo Msegu, amesema panya huyo yupo single na hatakiwi kuwa kwenye mahusiano kwa sababu anatakiwa afanye...

READ MORE

Polisi: Tutakesha na Msafara wa Lissu

Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA), Tundu Lissu kwani...

READ MORE

Polisi Yasimulia Ilivyowakamata 5 Ofisini kwa Lema

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikiliwa watu watano, ambao liliwakamata wakiwa kwenye ofisi binafsi za mgombea ubunge jimbo la...

READ MORE

Taharuki! Mafuvu ya Watu 6 wa Familia Moja Yakutwa Mlimani

MABAKI ya mafuvu na miili ya watu sita wa familia moja wakazi wa Kijiji cha Kakese Mbugani wilaya ya Mpanda...

READ MORE

Kampuni ya Vodacom Yatoa Tuzo Kwa Global Publishers

Kampuni ya Global Publishers Limited imekabidhiwa tuzo na cheti cha heshima cha kutambua mchango wa ushirikiano kutoka Kampuni ya Vodacom...

READ MORE

Msafara wa Tundu Lissu Wazuiwa Pwani

Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kuchanja Mbuga Vijiji vya Buchosa

LICHA ya ratiba ya kampeni ya mgombea ubunge Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo...

READ MORE

TFS na Unesco Wasaini Mkataba Kuboresha na Kulinda Michoro ya Miambani Kondoa

Dar es Salaam: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS chini ya Wizara ya Maliasiili na Utalii, imesaini Mkataba...

READ MORE

Darasa la Saba Kuanza Mitihani ya Taifa Kesho

Jumla ya watahiniwa 1,024,700  wanatarajiwa kuanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kuanzia kesho, Oktoba 7 hadi Oktoba 8, 2020...

READ MORE

Breaking News: Zitto Kabwe Apata Ajali Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amepata ajali ya gari katika Kijiji cha Kalia, mkoani Kigoma, ...

READ MORE

Maajabu Mvuvi Aliyevua Samaki Albino

  MVUVI  nchini Uingereza amesema amepata bahati ya kuvua samaki aina ya papa mwenye albinism (zeruzeru)  akapiga naye picha kisha...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Huyu Hapa, Kupewa Mechi Tatu

HATIMAYE kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi ndiye ataisimamia timu hiyo kwenye mechi ya Simba na Yanga Agosti 18.  ...

READ MORE

Trump Aondoka Hospitali, Akazia Vita Dhidi ya Corona

RAIS  wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka kwenye hospitali ya kijeshi ya Walter Reed alikokuwa amelazwa kwa siku tatu akitibiwa...

READ MORE

Mwalimu Asimamishwa Kazi, Tattoo Zake Zawavuruga Watoto

MWALIMU mmoja nchini Ufaransa anayetambulika wa jina Sylvain Helaine mwenye umri wa miaka 35 amesimamishwa kuwafundisha watoto wa chekechea nchini...

READ MORE

Lipumba Aahidi Kuwalipa Fidia Wavuvi

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amewaahidi wavuvi wa eneo la Kayenzendogo wilaya ya Ilemela mkoani...

READ MORE

Shigongo: Maji ya Ziwa Lazima Yaje Hapa, Nitanunua Greda Langu – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesema iwapo atachaguliwa hatakubali wananchi wa Jimbo...

READ MORE

Shigongo Afariji Familia Mbili Zilizopoteza Ndugu Zao

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, licha ya kuwa na ratiba ya kampeni...

READ MORE

Ndugu wa Bilionea Laizer Waanika Mlinzi Alivyouawa

NDUGU na Meneja wa Bilionea Laizer aitwaye Kiria Laizer amethibitisha taarifa za kifo cha mlinzi wa mgodi wa bilionea huyo...

READ MORE

Kijana Amfanyia Sapraizi Shigongo Buchosa

KIPAJI ni mtaji, ipo siku kitakutoa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kijana Patric Ntambula mkazi wa Nyakaliro, Halmashauri ya...

READ MORE

Wolper Kasahau Kuumizwa Penzini

Staa wa filamu ambaye sasa hivi amegeukia kwenye upande wa kudizaini na kushona nguo mbalimbali, Jacqueline Wolper amesema kuwa anamshukuru...

READ MORE

JPM Amtumbua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dr. Ave Maria Semakafu....

READ MORE

Mama Adaiwa Kumchinja Mwanae wa Miaka 7

MTOTO wa miaka saba mwanafunzi wa dasara la tatu Shule ya Msingi Ihumwa ameuawa kwa kuchinjwa shingo na mtu anayedaiwa...

READ MORE

Benki ya NCBA Yafungua Matawi Mawili Mapya Mkoani Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella ameitaka Benki ya NCBA kusaidia kwenye pamba, uvuvi, madini, viwanda, nishati na...

READ MORE

Vodacom Yasherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja Ikitimiza Miaka 20

 Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom leo imesherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikitimiza miaka 20 tangu kuanza...

READ MORE

Tigo Ilivyozindua Wiki ya Huduma Kwa Wateja Utawapenda!

Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola (wapili kushoto) akizungumza. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo na...

READ MORE

Breaking: JPM Awapigia Simu Live Walimu “Hilo Agizo la Kipumbavu” – Video

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amefuta agizo lililotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwa Rais serikali imefuta mafunzo...

READ MORE

Uingereza Yaridhishwa Mchakato wa Uchaguzi TZ

NCHI  ya Uingereza imesema inaridhishwa na namna mchakato wa uchaguzi unavyoendelea hapa nchini.   Hayo yamebainishwa leo Oktoba 5, 2020,...

READ MORE

Serikali Yakanusha Mtaala Cheti cha Ualimu Awali, Msingi Kufutwa

  SERIKALI Imekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti...

READ MORE

Mapigano Kati ya Armenia na Azerbaijan Yapamba Moto

Vikosi vya Armenia na Azerbaijan vimeshambuliana kwa maroketi na makombora wakati ambapo mapigano yanazidi kwenye eneo la Nagorno-Karabach. Armenia imesema...

READ MORE

Hatimaye Hukumu Shambulio la Westgate Kutolewa

MAHAKAMA moja nchini Kenya inatarajiwa kutoa uamuzi wa kesi inayohusisha wanaume watatu walioshtakiwa kwa kuwasaidia wanamgambo wenye silaha kushambulia jengo...

READ MORE

Mwalimu Acharazwa Bakora na Afisa Elimu Kata

UONGOZI wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Mlele umelaani vikali kitendo cha Mwl. Jiyabo Ng’wanzalima kucharazwa viboko na...

READ MORE

Hofu Yatanda Hali ya Trump!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, anaendelea kupewa uangalizi wa karibu akiwa hospitali ambako anapokea matibabu ya Covid-19. Kuna tashwishi kuhusu...

READ MORE

Rais JPM Apokea Utambulisho wa Mabalozi – Video

RAIS John Magufuli, leo Jumatatu, Oktoba 5, 2020, amepokea hati za utambulisho wa mabalozi wa Marekani na Vietnam nchini.  ...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Ajali ya Daladala na Lori Dar – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyohusisha daladala na lori la mchanga katika...

READ MORE

Benki ya NMB Yaja na Huduma Tatu za Kibabe

Benki ya NMB imezindua huduma mpya tatu za kidigitali zenye lengo la kurahisisha mawasiliano kati yao na wateja na kuwapatia...

READ MORE

Fisi Aliyeua Mtoto, Kujeruhi Wawili Auawa

FISI aliyeua mtoto na kujeruhi watu wazima wawili jana, Septemba 4, 2020,  mchana katika Kijiji cha Mbogo, Wilaya ya Itilima...

READ MORE

Breaking: Pata Habari Popote Ulipo, Pakua Global App

  TUMEKURAHISISHIA KUPATA HABARI! Kupitia App etu mpya ya GLOBAL PUBLISHERS, inayopatikana kwenye Android na iOS, tumekurahisishia kupata Habari za...

READ MORE

Akiwa Hoi Anaumwa, Mzee Kiki Aongea kwa Tabu – Video

GLOBAL TV imemtembelea msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘Kitambaa Cheupe’, Mzee King...

READ MORE

Shigongo Asitisha Kampeni Baada ya Msiba Ghafla – Video

Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi, Eric Shigongo James amesitisha kampeni kwa muda wa saa kadhaa baada...

READ MORE