×

Habari

Coronavirus: Serikali Kutengeneza Sanitizer Zenye Kilevi na Kuzigawa Bure

Katika barua iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Umma, kwenda kwa Wanachama wa MAT (Multi Agency Team) imesema...

READ MORE

Janeth Magufuli Atoa Misaada Vituo Vya Watoto Dodoma

JANETH MAGUFULI, mke wa Rais John Magufuli, ametoa wito kwa taasisi mbalimbali, mashirika, wafanyabiashara na watu wenye mapenzi mema kujitolea...

READ MORE

Breaking: Kisa Corona, Spika Azuia Wageni, Wabunge Nao… -Video

 BUNGE  limesitisha utaratibu wa kupokea wageni mbalimbali wakiwamo wanafunzi wanaokwenda kujifunza shughuli za bunge. Spika wa Bunge, Job Ndugai, ...

READ MORE

NECTA Yaahirisha Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu

Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, mwaka huu...

READ MORE

Zitto Anashtakiwa kwa Kuwasemea Wananchi – Shahidi

SHAHIDI wa tatu katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo,...

READ MORE

Dereva Aliyembeba Mgonjwa, Wengine 27 Arusha Hawana Corona

 WATU 27 waliofanyiwa uchunguzi kama wameambukizwa ugonjwa wa virusi vya Corona, akiwemo dereva wa teksi aliyembeba mgonjwa wa kwanza...

READ MORE

Video: AJALI Mbaya ILIVYOUA WATU IRINGA, MASHUHUDA, DC Wasimulia – “MAJERUHI 10”

 Usiku wa kuamkia leo watu saba wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea mkoani Iringa baada ya magari kugongana uso kwa...

READ MORE

Magereza Yasitisha Kutembelea Wafungwa

Jeshi la Magereza Tanzania limesitisha huduma za kutembelea wafungwa na mahabusu ikiwamo huduma ya kuwapelekea chakula mahabusu, hadi pale itakavyoelekezwa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 6

WIZARA ya Afya imesema wagonjwa wapya wawili Watanzania wamethibitika kuwa na virusi vya Corona (COVID-19) jijini Dar es Salaam, na...

READ MORE

Noti za Tanzania Hazitunzi Virusi vya Corona – BoT

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema noti zake zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti.   Katika...

READ MORE

Corona Yaua Mtu wa Kwanza Burkina Faso

BURKINA FASO imetangaza kifo cha kwanza cha mtu aliyekuwa na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini humo, hii ikiwa ni...

READ MORE

Mgonjwa wa Corona Atoroka Hospitali, Mtandao Wake Wasakwa

SERIKALI ya  Kenya inawasaka watu 85 wanaohofiwa kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kuambatana na mgonjwa wa virusi hivyo katika...

READ MORE

TTCL yawezesha Mkutano Wa SADC Kufanyika Kwa ‘Video Conferece’

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Masiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea namna...

READ MORE

Maajabu! Mtoto Alivyonusurika Ajali ya Moto wa Gesi

  HAKIKA Mungu ni mwema, ndivyo unavyoweza kutafsiri baada ya mtoto Ayubu Mohamed (2) aliyekuwa ameuchapa usingizi kunusurika na kifo...

READ MORE

NMB: Huduma ya Bima Kupitia Benki Hukuza Biashara Endelevu

Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business...

READ MORE

Ummy: Wananchi 26 Wanashukiwa Kuwa na Corona Arusha

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko zaidi la wagonjwa wa Corona na...

READ MORE

NBC Yazindua Klabu ya Biashara Mtwara,Yatoa Mafunzo ya Biashara

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea na mkakati wao wa kuzindua NBC Biashara Club katika maeneo mbali mbali...

READ MORE

Mama Amfanyia Mbaya Mwanaye

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Emakulata amemfanyia kitu mbaya mtoto wake wa miezi miwili kwa kumtoroka usiku wa...

READ MORE

Wizara ya Afya: Uvaaji Holela wa Mask ni Hatari kwa Afya – Video

WIZARA ya Afya imesema kuwa kuwa si kila mtu anatakiwa kuvaa kifaa cha kuziba uso ‘mask’ ili kujikinga na homa...

READ MORE

Serikali Yataja Sababu Sampuli za Corona Kupimwa Dar

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kuwa sampuli za washukiwa wa virusi vya Corona zinapimwa...

READ MORE

Wenye Corona Kenya Wafika 7

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.  ...

READ MORE

Maalim: Hatutasusia Uchaguzi Mwaka Huu (Picha + Video)

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamadi amesema licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu...

READ MORE

Alipopita Dereva Aliyembeba Isabella wa Corona Pajulikana

MAPITO ya dereva wa teksi ambaye alimbeba mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Corona, Isabela Mwampamba (46) yamefuatiliwa katika Jiji...

READ MORE

Zitto Aishauri Serikali Kuokoa Uchumi Wakati wa Corona

KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameishauri serikali mambo matatu ambayo itatakiwa...

READ MORE

Corona: Mufti wa Tanzania Aagiza Madrasa Zote Zifungwe

MUFTI  wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi,  amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote hadi utakapotangazwa utaratibu mpya. Aidha amewataka waumini...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Aongea Laivu ‘Nipo Fiti’ – Video

Mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya,...

READ MORE

EU Wafunga Mipaka Kudhibiti Corona

MUUNGANO wa Ulaya umepiga marufuku wasafiri kutoka nje ya muungano huo kwa siku 30 katika hatua ambayo haikutarajiwa ya kufunga...

READ MORE

Video: Hotuba Ya Waziri Mkuu Kwenye Mkutano Wa SADC Dar Leo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Machi 18, amefunguka mkutano wa baraza la mawaziri wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa mikutano...

READ MORE

#BREAKING: Wagonjwa wa Corona Nchini Wafikia Watatu – Waziri Mkuu

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuwepo wagonjwa wengine wawili wa virusi vya Corona nchini Tanzania, ambao mmoja ni raia...

READ MORE

Ndugu Wadhibitiwa Kuwaona Wagonjwa, Kisa Corona – Video

KUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, Hospitali ya KCMC imezuia ndugu wa wagonjwa kulundikana hospitali na badala yake mtu...

READ MORE

Zitto Aanza Kujitetea Kesi ya Uchochezi – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameanza kujitetea katika kesi yake ya uchochezi...

READ MORE

Mwanamke Awekewa Virusi vya Corona, Ajitoa Muhanga -Video

Mwanamke mmoja nchini Marekani, Jeniffer Haller mwenye umri wa miaka 43 leo Machi 17, 2020 amekubali kufanyiwa majaribio ya dawa...

READ MORE

 Hawa Ndio Majaji wa Public Speaking na Timu Zao

MAJAJI wa Shindano la National Public Speaking tayari wameshagawana washiriki 30 katika makundi matatu kwa ajili ya mafunzo yatakayotolewa kambini....

READ MORE

Shule Zafungwa Nchini, Michezo Yasitishwa Kisa Corona -Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Machi 17, 2020, ametangaza kufungwa kwa shule zote kuanzia za awali mpaka kidato cha sita...

READ MORE

Achomwa Moto Akituhumiwa Kuiba Mahindi Shambani

POLISI mkoani Shinyanga linafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwanamme anayekadiriwa kuwa na umri wa 25-30 ambaye hajafahamika jina...

READ MORE

Video: Dereva Aliyembeba Mama Mwenye Corona Apatikana, Rc Gambo Athibitisha..

 MKUU wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo Macji 17, amethibitisha kupatikana kwa dereva aliyembeba mama Isabella, ambaye ni...

READ MORE

Vodacom yaandaa semina ya wabunifu wa Teknolojia

Mkurugenzi wa Huduma za Kidijitali wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya...

READ MORE

Dereva Aliembeba Mgonjwa wa Corona Apatikana

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Dereva tax aliyembeba mgonjwa wa Corona amepatikana na kuchukuliwa sampuli kwa ajili...

READ MORE

‘Chomoka na Gari Mpya’ ya Championi, Spoti Xtra Yatikisa Mwanza

AMA kweli wanasema hayawi hayawi sasa yamekuwa!  Ile  promosheni namba moja kwa sasa hapa Tanzania  ya bahati nasibu ya Chomoka...

READ MORE

Kisa Corona, DC Sabaya: Tutafunga Bar, Supermarket Zote – Video

WAKATI kisa cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya Corona kikiripotiwa rasmi nchini Tanzania, juhudi mbalimbali zimeanza kuchukuliwa na serikali...

READ MORE