×

Habari

Ubunge wa Harmonize Tandahimba Njia Panda

Oktoba 15, 2019, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ alitamka kuwa anatamani staa wa...

READ MORE

Waziri Lukuvi: “Rais Magufuli Amenituma Huyu Bibi Apewe Kiwanja Chake”-Video

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi Juni 21, 2020 amerudisha shamba la Bibi aliyelalamika wiki...

READ MORE

Mkemi wa Yanga Ashikiliwa na TAKUKURU

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Abdallah Mkemi anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Jecha ‘Hasimu’ wa Maalim Seif, Ajitosa Mbio za urais Zanzibar

JECHA Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), leo Juni 20, 2020 amechukua fomu ya kugombea urais...

READ MORE

Shehe Sharief: Magufuli Atavunja Rekodi Kupigiwa Kura – Video

SHEHE Sharifu Majini leo Juni 20,2020 ametabiri kuwa Rais John Magufuli atavunja rekodi kwa kupigiwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Video: Wabunge 21, Madiwani 9 wa CUF Wajiunga ACT-Wazalendo

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza baada ya wabunge 21 na madiwani tisa wa...

READ MORE

Aliyeendesha Kesi Dhidi ya Washirika wa Trump Ajiuzulu

MWANASHERIA aliyesimamia mashitaka dhidi ya washirika wa karibu wa Rais Donald Trump wa Marekani, na uchunguzi dhidi ya wakili wake...

READ MORE

Rais Shein Avunja Baraza la Wawakilishi la Zanzibar – Video

 Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ali Mohamed Shein anavunja baraza la wawakilishi wa zanzibar. Akihutubia wakati anavunja shughuli...

READ MORE

Kenyatta Akwepa Uwezekano Kenya Kuwa na Waziri Mkuu

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amekataa kufutilia mbali uwezekano kwamba wadhifa wa waziri mkuu huenda ukabuniwa katika kura ya maoni...

READ MORE

BREAKING: MAGUFULI ‘AMTUMBUA’ RC GAMBO, DC WAKE na MKURUGENZI

Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Siku za Msomaji wa Championi Kuibuka na Ndinga sasa Zinahesabika

Ofisa Masoko wa Global, Songolo Bilal (katikati) akiwaelekeza namna ya kujaza kuponi za kushiriki bahati nasibu ya shinda gari. Zikiwa...

READ MORE

Rais Magufuli Azungumza Na Wananchi Wa Ubungo -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Juni 19, 2020 amezungumza na Wananchi wa Ubungo...

READ MORE

Ummy: Waganga Wakuu Wasimamie Wagonjwa wa Sikoseli -Video

 WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Juni 19, 2020 amewaagiza waganga wakuu wa mikoa wahakikishe wanasimamia huduma za wagonjwa...

READ MORE

VIDEO: Exclusive Nandy Azungumzia Ngoma Yake Na Harmonize

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Faustina Mfinanga (Nandy) amefanya Exclusive Intervie Kupitia kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia Global...

READ MORE

Video: Polisi Wafunguka Sakata La Mbowe Kuvamiwa- Front Page

Jeshi la Polisi Tanzania limezungumzia sakata la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kushambuliwa nyumbani kwake...

READ MORE

Breaking: Prof Mbarawa Achukua Fomu Urais Zanzibar – Video

WAZIRI wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa, amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar akiwa...

READ MORE

NMB Yatoa Mkopo wa Shilingi Bilioni 3 kwa Wakulima wa Muhogo Handeni

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi ( wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya...

READ MORE

Darasa – Jinsi Ya Kubadilisha Wazo Kuwa Biashara -Video

 Jishindie Simu Janja (Smart Phone) kwa kutazama kipindi bora cha *DARASA LA SHIGONGO* kupitia Global TV Online, kinachorushwa kila...

READ MORE

DC Chongol Ataji Miradi Iliyotekelezwa Kwa Kipindi Cha Miaka Mitano ya JPM

  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Dkt. John...

READ MORE

STAMICO Yasaini Kandarasi Mafunzo kwa Wachimbaji Wadogo

KATIKA kuwajengea uwezo wachimbaji wadogo wa madini, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini na kukabidhi mkataba wa makubaliano ya...

READ MORE

Rais Orlando Alazwa Kwa Covid-19

Rais wa HONDURAS, Juan Orlando Hernández ambaye pia anaugua #COVID19, amelazwa akipatiwa tiba ya Homa ya Mapafu (Pneumonia). Rais Hernández...

READ MORE

Mwanyika Aachiwa Baada Kumalizana na DPP

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewaachia huru aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea North Mara, Exploration na...

READ MORE

Kijana Mwenye Jinsia Mbili Apata Wakati Mgumu

KILA  anapofikiria kutangamana na watu wanaoifahamu hali yake, Sidney Etemesi huwa anaanza kuishiwa na nguvu na ujasiri hata wa kutembea...

READ MORE

Rais Burundi Kuapishwa Leo, Mama Samia Kuhudhuria!

EVARISTE NDAYISHIMIYE Rais mteule wa Burundi anatarajiwa kuapishwa leo Alhamisi, Juni 18, 2020, badala ya Agosti 2020 kama ilivyopangwa hapo...

READ MORE

Zaidi Ya Bil 800 Zatumika Kukarabati Miundombinu Chuo Cha Ualimu Bustani

  Zaidi ya sh milioni 800 zimetumika kukarabati Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Halmashauri ya Mji Kondoa mkoani Dodoma.  ...

READ MORE

Huduma ya M-Pesa ya Vodacom Sasa Ulimwengu Mzima

  Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini kupitia huduma ya kifedha ya Vodacom M-Pesa  imetangaza kuongezeka kwa mfuko...

READ MORE

Msuva Awaaga Difaa El Jadida

MSHAMBULIAJIwa Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva, anatarajia kuipa mkono wa kwa heri timu hiyo baada ya mkataba...

READ MORE

PM Majaliwa Aomboleza Kifo cha Rais Nkurunziza

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2020 ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Dkt. Hussein Mwinyi Achukua Fomu ya Urais

Mbunge wa Jimbo la Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi amechukua fomu ya...

READ MORE

Bosi Amzalisha Denti, Atoweka!

  MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Hassani Katundu, ambaye ametajwa kama bosi kwenye miradi yake, anadaiwa kumpa mimba na kumzalisha...

READ MORE

Prof. Ndalichako Atangaza Ratiba za Mitihani, Masomo

  BAADA ya Rais  John Magufuli jana kutangaza kufungua shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na...

READ MORE

Njemba Atupwa Jela Baada ya Kukojolea Jiwe

MWANAUME mmoja mwenye miaka 28, ametupwa jela siku 14 baada ya kukamatwa akikojolea kibao cha kumbukumbu ya Ofisa wa polisi...

READ MORE

Manyama Naye Ajitosa Urais

Mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimezidi kuchukua kasi ambapo mkazi wa Wazo Hill Dar, Leonard...

READ MORE

DC Chongolo Awaahidi Neema Wakazi wa Nakasangwe

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, jana (Jumanne) aliwaahidi wakazi wa Nakasangwe Kata ya Wazo Hill, Dar es Salaam,...

READ MORE

Gari ya TANAPA Yadaiwa Kugonga na Kuua Watatu Babati

WATU watatu wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara.   Akitoa taarifa jana...

READ MORE

Korea Kaskazini Yalipua Ofisi ya Pamoja na Korea Kusini

  KOREA Kaskazini imesema inaliweka jeshi lake katika hali ya tahadhari ya kivita, ikiwa ni muda mfupi baada ya kulipua...

READ MORE

Breaking: Magufuli Achukua Fomu Kuwania Urais 2020 – Video

RAIS  John Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano ya Juni, 17, 2020, amechukua fomu...

READ MORE

Katika Kudhimisha Mtoto Wa Afrika, Itel Yawakumbuka Watoto

Kampuni ya simu za mkononi ya Itel imetembelea kituo cha watoto yatima cha  CHakuwama kilichopo Sinza Mori jijini Dar es...

READ MORE

Video: Darasa – Namna Ya Kutengeneza Tija | Shigongo & Rodrick

 Jishindie Simu Janja (Smart Phone) kwa kutazama kipindi bora cha *DARASA LA SHIGONGO* kupitia Global TV Online, kinachorushwa kila...

READ MORE

JPM: Shule Zote Zifunguliwe Juni 29, Aruhusu Harusi – Video

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020 baada ya kuwepo kwa...

READ MORE