Katika kuelekea Msimu wa Sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda...
READ MOREWANAFUNZI 701, 038 sawa na asilimia 92.2 waliomaliza darasa la saba wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za serikali...
READ MOREMWANAMKE mmoja katika mji wa Parkinson nchini India amejifungua mapacha adimu duniani walioungana ambao wana vichwa viwili, mwili mmoja na...
READ MOREHIVI karibuni nchini Uganda kwenye uwanja wa siasa, Waganda wamelipokea jina jipya kutoka katika tasnia ya burudani, safari hii ni...
READ MOREMWANAUME mmoja, Vvashko Sande wa Zimbabwe alishangaza kijiji chake alipoamua kuoa mkwewe na kumfanya mke wa pili. Mwanamume huyo...
READ MOREMwanamke mmoja Nchini Kenya, aliyetambulika kwa jina la Anna Nduku amefariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko baada ya kumuokoa...
READ MORELABDA Seleman Matola amnyime tu jezi, lakini madaktari wa Afrika Kusini wamewaambia Simba kwamba, John Bocco ruksa kurejea uwanjani dhidi...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuambia upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi,...
READ MOREWAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, ametajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa usikilizwaji wa kesi inayowakabili viongozi tisa...
READ MOREMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, Mhandisi James Kilaba amewataka waandishi wa habari kote nchini kuhakikisha wanajiendeleza kielimu...
READ MOREMWANAMKE mmoja nchini Kenya amekamatwa na polisi katika kituo cha Siaya kwa kosa la kutaka kumuuza mwanaye wa kiume. ...
READ MOREKASI ya matukio ya ubakaji nchini yamesababisha Baraza la mahusiano ya dini mbalimbali kwa ajili ya amani nchini kutoa wito...
READ MOREKIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ambaye leo mchana...
READ MOREMKURUGENZI wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, ameanzisha kampeni ya utoaji tuzo kwa mitaa itakayofanya vizuri kwenye suala la...
READ MOREWadau na wanachama wa chama cha Internet Societ (ISOC) wamepigwa msasa na Meneja wa Kanda ya Afrika, Bwana Victor Ndonnang...
READ MOREDroo ya FA imechezwa leo Desemba 4, 2019 ikiwa ni hatua ya 64 bora mechi zinatarajiwa kuchezwa kuanzia Desemba 20-22....
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Desemba 4, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers mapema leo imetembelea maeneo ya Changanyikeni...
READ MOREKAIMU Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa ‘Master’ amekiri kikosi chake kuwa na upungufu huku akiahidi kukifanyia maboresho kwa kusajili...
READ MOREZAIDI ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa iliyopo Uganda Mashariki wamehofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na...
READ MOREKAMPUNI ya Global Group imetangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa vijana wa Kitanzania wenye umri wa kati ya miaka...
READ MOREMIRAJI Athuman ‘Sheva’ nyota wa Simba amesema kuwa Simba ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu. Sheva ambaye ukali...
READ MOREMTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni. Tukio hilo limetokea...
READ MOREWAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye. leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujitoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). ...
READ MOREMAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili...
READ MOREMAOFISA Usalama wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya, wanamsaka mhubiri mmoja (jina halikutajwa) anayedaiwa kuwahadaa na kuwapa ujauzito wasichana wadogo...
READ MOREIKIWA ni wiki moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi...
READ MORETUNAAMBIWA kwenye vitabu vitakatifu kuwa, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari mno, tena zilizo ngumu kushughulika nazo....
READ MOREAMEENDA na maji! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya kumhukumu kifungo cha maisha jela, Erasto Jailos...
READ MOREOFISA Mkuu wa Polisi, Bi. Sabina Kerubo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya Mwandishi wa Habari wa The Star, Bw. Eric...
READ MOREAMKENI… amkeni… amkeni… njooni huku! Habari ikufikie kuwa, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha...
READ MOREMWANZONI mwa msimu huu, timu ya Simba ilifanikiwa kumsajili kiungo wa kimataifa kutoka nchini Sudan kwa ajili ya kuja kuiongezea...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi wa ama kupokea kielelezo cha CD iliyohifadhiwa video iliyorekodiwa wakati wa...
READ MOREJESHI la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema, limewauwa waasi zaidi ya 80 wa ADF Nalu Wilayani Beni, katika operesheni...
READ MOREKIPANDE cha ubao kinachoaminiwa kuwa kilitolewa sehemu Yesu alipozaliwa kimerejeshwa mjini Bethlehem katika mji wa Jerusalem nchini Palestina baada ya...
READ MOREAUSTRALIA imekuwa nchi ya kwanza kuzindua mfumo wa kamera za barabarani (za roboti) ili kuwanasa madereva wanaotumia simu wakati wakiwa...
READ MOREWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemwondoa katika nafasi yake Mkuu wa Idara ya Ardhi katika...
READ MORE