×

Habari

RC Makonda Kutengeneza Magari ya Wananchi Bure

Katika kuelekea Msimu wa Sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda...

READ MORE

Wanafunzi Laki 7 Wachaguliwa Kujiunga Form One

WANAFUNZI 701, 038 sawa na asilimia 92.2 waliomaliza darasa la saba wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za serikali...

READ MORE

Ajifungua Mapacha Wenye Vichwa Viwili, Miguu Mitatu

MWANAMKE mmoja ka­tika mji wa Parkinson nchini India amejifungua mapacha adimu duniani walioun­gana ambao wana vich­wa viwili, mwili mmoja na...

READ MORE

Chameleone Anavyotibuana na Rais Museveni

HIVI karibuni nchini Uganda kwenye uwanja wa siasa, Waganda wamelipokea jina jipya kutoka katika tasnia ya burudani, safari hii ni...

READ MORE

Ulimwengu Kwisha! Aoa Mkwewe Awa Mke wa Pili

MWANAUME mmoja, Vvashko Sande wa Zimbabwe alishangaza kijiji chake alipoamua kuoa mkwewe na kumfanya mke wa pili.   Mwanamume huyo...

READ MORE

Mwanamke Afariki Akijaribu Kumuokoa Mwanaume

Mwanamke mmoja Nchini Kenya, aliyetambulika kwa jina la Anna Nduku amefariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko baada ya kumuokoa...

READ MORE

Bocco Kimeleweka, Wasauzi Wamruhusu Kuwavaa Yanga Sc

LABDA Seleman Matola amnyime tu jezi, lakini madaktari wa Afrika Kusini wamewaambia Simba kwamba, John Bocco ruksa kurejea uwanjani dhidi...

READ MORE

Kabendera Atakiwa Kwenda ‘Kubageini’ na DPP

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuambia upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi,...

READ MORE

Frederick Sumaye Atajwa Mahakamani – Video

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye,  ametajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa usikilizwaji wa kesi inayowakabili viongozi tisa...

READ MORE

TCRA Yawataka Kwenda Shule Kabla ya 2022 – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  mawasiliano Tanzania TCRA,  Mhandisi James Kilaba amewataka waandishi wa habari kote nchini kuhakikisha wanajiendeleza kielimu...

READ MORE

Akamatwa kwa Kutaka Kumuuza Mwanaye

MWANAMKE mmoja nchini Kenya amekamatwa na polisi katika kituo cha Siaya  kwa kosa la kutaka kumuuza mwanaye wa kiume.  ...

READ MORE

Viongozi wa Dini Walia na ‘Vimini’ vya Wadada

KASI ya matukio ya ubakaji nchini yamesababisha Baraza la mahusiano ya dini mbalimbali kwa ajili ya amani nchini kutoa wito...

READ MORE

Zitto Kabwe Amjibu Sumaye

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe,  amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,  ambaye leo mchana...

READ MORE

Jafo Ambana Mkurugenzi, Azirai Papo Hapo! – Video

MKURUGENZI wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya...

READ MORE

DC Chongolo Kutoa Tuzo Kwa Mitaa Misafi

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni,  Daniel Chongolo,  ameanzisha kampeni ya utoaji tuzo kwa mitaa itakayofanya vizuri kwenye suala la...

READ MORE

Wadau Wa Internet Wapigwa Msasa

Wadau na wanachama wa chama cha Internet Societ (ISOC) wamepigwa msasa na Meneja wa Kanda ya Afrika, Bwana Victor Ndonnang...

READ MORE

Ratiba ya Kombe la FA Ipo Hapa, Yanga Na Simba Zimebaki Dar

Droo ya FA imechezwa leo Desemba 4, 2019 ikiwa ni hatua ya 64 bora mechi zinatarajiwa kuchezwa kuanzia Desemba 20-22....

READ MORE

Betika Lazidi Kutusua Mtaani

  MAPEMA leo Jumatano, Desemba 4, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers mapema leo imetembelea maeneo ya Changanyikeni...

READ MORE

Mkwasa Afumua Fowadi Yanga

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa ‘Master’ amekiri kikosi chake kuwa na upungufu huku akiahidi kukifanyia maboresho kwa kusajili...

READ MORE

Watu 30 Wahofiwa Kufariki kwa Matope ya Mafuriko

ZAIDI ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa iliyopo Uganda Mashariki wamehofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na...

READ MORE

Mshindi ‘Public Speaking’ Kupewa Tsh Milioni 10

KAMPUNI ya Global Group imetangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa vijana wa Kitanzania wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Sheva: Ubingwa ni Mali ya Simba SC

MIRAJI Athuman ‘Sheva’ nyota wa Simba amesema kuwa Simba ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu. Sheva ambaye ukali...

READ MORE

Tanga: Kijana Akatwa Jembe Shingoni, Auawa

MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Breaking News: Sumaye Abwaga Manyanga, Ajiondoa Chadema – Video

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.  leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujitoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  ...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kuropoka Atamuua Rais Magufuli

MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili...

READ MORE

Mchungaji Asakwa kwa Kuwapa Mimba Wanafunzi 20

MAOFISA Usalama wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya, wanamsaka mhubiri mmoja (jina halikutajwa) anayedaiwa kuwahadaa na kuwapa ujauzito wasichana wadogo...

READ MORE

Wanakijiji Wamkataa Mwenyekiti Aliyepita Bila Kupingwa

IKIWA ni wiki moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi...

READ MORE

Nabii Anayekanyaga Waumini Aibua Taharuki

TUNAAMBIWA kwenye vitabu vitakatifu kuwa, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari mno, tena zilizo ngumu kushughulika nazo....

READ MORE

Kijana Miaka 19 Abaka Mtoto wa Miaka 3, Apigwa Maisha Jela

AMEENDA na maji! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya kumhukumu kifungo cha maisha jela, Erasto Jailos...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Polisi Kortini kwa Mauaji ya Mwandishi wa Habari

 OFISA Mkuu wa Polisi, Bi. Sabina Kerubo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya Mwandishi wa Habari wa The Star, Bw. Eric...

READ MORE

Tanasha Afungasha Virago, Asepa Kwao, Mama Dangote Atajwa

AMKENI… amkeni… amkeni… njooni huku! Habari ikufikie kuwa, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha...

READ MORE

Shiboub; Mtaalam wa IT Anayefanya Kweli Simba

MWANZONI mwa msimu huu, timu ya Simba ilifanikiwa kumsajili kiungo wa kimataifa kutoka nchini Sudan kwa ajili ya kuja kuiongezea...

READ MORE

Kesi ya Zitto Kabwe Mahakama Kusikiliza CD

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi wa ama kupokea kielelezo cha CD iliyohifadhiwa video iliyorekodiwa wakati wa...

READ MORE

Mpambano Mkali… Waasi 80 Wauawa Congo

JESHI la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema, limewauwa waasi zaidi ya 80 wa ADF Nalu Wilayani Beni, katika operesheni...

READ MORE

Miaka 1,400: Hatimaye Wazungu Warudisha Ubao wa Yesu Bethlehem

  KIPANDE cha ubao kinachoaminiwa kuwa kilitolewa sehemu Yesu alipozaliwa kimerejeshwa mjini Bethlehem katika mji wa Jerusalem nchini Palestina baada ya...

READ MORE

Kamera Kuwanasa Watumia Simu Barabarani

AUSTRALIA imekuwa nchi ya kwanza kuzindua mfumo wa kamera za barabarani (za roboti) ili kuwanasa madereva wanaotumia simu wakati wakiwa...

READ MORE

Lukuvi Atumbua Mtu Iringa – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,  amemwondoa katika nafasi yake  Mkuu wa Idara ya Ardhi katika...

READ MORE