×

Habari

Amuua Mpenzi Wake Kisha Kujiua Kisa Penzi

KIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Paschal (24) anadaiwa kumuua Rosemary Gallus (34) kwa kumchoma kisu kisha na yeye kujichoma...

READ MORE

‘Mgombea’ Azikwa, Baba’ke Akataa Ripoti ya Polisi

MAMIA  ya wakazi wa mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamejitokeza kwa wingi kumzika mkazi wa jijini Arusha,...

READ MORE

Bodi Ya Filamu Yawashushia Rungu Wawekea Picha Za Ngono Kwa Abiria

Bodi ya Filamu Tanzania leo imetangaza kuchukua hatua kali kwa wenye vyombo vya usafiri kama vile mabasi ya abiria na...

READ MORE

JPM: Mnataka CCTV ya Bil. 8? Mambo ya Ndani Hamjanielewa- Video

RAIS John Magufuli leo Novemba 25, 2019 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi makao makuu ya Uhamiaji katika...

READ MORE

Mhadhiri NIT Ahukumiwa Jela kwa Kumuomba Penzi Mwanafunzi – Video

MHADHIRI wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda...

READ MORE

Vijana Chadema Wamchukulia Fomu Mbowe – Video

VIJANA ambao ni wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa,...

READ MORE

Waliofariki Ajali ya Ndege DRC Wafikia 24

IDADI ya watu waliofariki baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Nunua Ijumaa Wikienda: Shangwe…. Wema, Wolper Kupata Watoto

Kupata nakala yako bonyeza >> HAPA <<Kupata nakala yako bonyeza >> HAPA <<  

READ MORE

BREAKING: Jafo Atangaza Matokeo Uchaguzi S/Mitaa – Video

WAZIRI  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo,  ametangaza matokeo ya uchaguzi wa serikali...

READ MORE

Bocco: Mimi na Kagere tutawafunga sana

WAKATI akitarajia kuanza kucheza katika kikosi cha kwanza muda wowote kutoka sasa, straika na nahodha wa Simba, John Bocco, ameweka...

READ MORE

Mrema ‘Amvaa’ Anna Mgwhira….. ‘Mnanihujumu’ – Video

MWENYEKITI  wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Lyatonga Mrema, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali...

READ MORE

Mvua Yaua Watu Tisa Sengerema Mwanza

WATU tisa wa familia mbili, wakiwa ni wanawake wanne  na watoto watano, wamefariki katika Kata  ya Nyatukala wilayani Sengerema, mkoani...

READ MORE

Wanne wa Familia Moja Wafariki Moto Ukiteketeza Nyumba

WAKAZI wa Makueni, Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wamefariki...

READ MORE

Nyalandu Apitishwa Kugombea Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa...

READ MORE

28 Wafariki Ndege Ikianguka Kwenye Makazi ya Watu

WATU ishirini na nane wamefariki mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kutokana na ajali ya ndege iliyoanguka katika...

READ MORE

Binti Mlemavu Anayeandikia Ulimi Asimulia Alivyopata Mchumba – Video

Kwa kumbukumbu, ilikuwa ni Februari 3, 2012 siku ambayo walikuwa na mahafali ya kumaliza kidato cha sita katika Shule ya...

READ MORE

Mgombea Ujumbe Serikali ya Mtaa Adaiwa Kuuawa

ALIYEKUWA mgombea wa Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mnara wa Voda jijini Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Naibu Waziri ‘Ahamia’ Rasmi Shamba – Pichaz

NAIBU Waziri wa wa Kilimo, Omary Mgumba,  amewahamasisha wakulima wote nchini kuzitumia vizuri mvua zinazoendelea kunyesha kwa kupanda mazao mbalimbali...

READ MORE

RC Gambo: Nimekoma Kusweka Watumishi Ndani

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  amekumbushia tukio alilolifanya mwaka 2015/16 akiwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma...

READ MORE

Tanzania, Zenji kundi moja Cecafa

TIMU ya Taifa Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, na ile ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, zimepangwa kundi moja, kuelekea katika Mashindano ya...

READ MORE

Rais Magufuli Achangia Mil 10 Parokia ya Mt. Maria Imaculata Dodoma (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli leo Novemba 24, 2019...

READ MORE

Video: RC Makonda Awaapisha Viongozi Wa Mabaraza Ya Ardhi Leo

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaapisha wajumbe wa mabaraza ya ardhi, nyumba na wilaya, leo Novemba...

READ MORE

JPM Atoa Siku 60 Kwa Mashirika na Taasisi Yasiyotoa Gawio – Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 24, 2019 amepokea gawio, michango...

READ MORE

Wakala Wa Benki Ya NMB Wapigwa Msasa

    MAWAKALA wa Benki ya NMB Halimashauri za Ubungo na Kinondoni jijini Dar es Salaam wamepigwa msasa katika Semina...

READ MORE

Zaidi Ya Watu 36 Wafariki Kwa Maporomoko Kenya

Watu zaidi ya 36 wamefariki dunia baada ya maporomoko ya udongo kutokea eneo la Pokot Magharibi mwa nchi ya Kenya....

READ MORE

AJALI: Lori la Mafuta Laua Watatu Mlimani City Dar – Video

     WATU watatu amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori la mafuta mali ya Kampuni ya...

READ MORE

Akamatwa na Kadi 23 za Benki Tofauti, Azisokomezea Ukeni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Bi Halima Juma (23) Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za...

READ MORE

Kitabu cha Utafiti wa Nishati ya Gesi, Madini Chazinduliwa

  TAASISI ya Repoa na Wizara ya Nishati na Madini kwa kushirikiana na Ubalozi wa Norway jana wamezindua kitabu kinachohusu...

READ MORE

Breaking: Aliyekamata Airbus ya ATCL Sauz, Akamata Tena Bombardier Canada – Video

NDEGE nyingine ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier ambayo ilikuwa ikijiandaa kuja Tanzania imekamatwa nchini Canada, ambapo...

READ MORE

Utata Kijana Aliyefia Mikononi mwa Polisi

ARUSHA: Utata umeibuka kwenye tukio la kifo cha kijana Gerald Mesiyaki (22) mkazi wa Sekei mkoani Arusha anayedaiwa kufariki dunia...

READ MORE

Uhangaika Kutafuta Bando Kubwa la Bei Nafuu? Soma Hapa

phoneUKISIKIA nyumbani kumenoga, maana yake kumenoga kweli, fanya urudi fasta! Unaambiwa kampuni mama ya simu nchini TTCL, imetambulisha mchongo mpya...

READ MORE

Mchungaji wa Kutetema…. Viongozi wa Dini Wapongeza Serikali

SIKU chache baada ya Serikali kupiga marufuku ibada zinazoendeshwa na kiongozi wa kanisa la Mfalme Zumaridi lililoko mtaa wa Iseni...

READ MORE

Shamimu Mwasha, Mumewe Warudishwa Segerea Tena – Video

UPANDE wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Blogger, Shamim Mwasha (41) na mumewe,...

READ MORE

“Watuhumiwa Wizi Komputa za DPP Wameachiwa, Tunampeleza Idris”

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amekiri kuwa washukiwa wa wizi wa Computer za...

READ MORE

Bukoba: Mkandarasi Manispaa, Mkuu wa Shule Mbaroni

Mkuu wa mkoa Kagera Brigedia Marco Elisha Gaguti amemuagiza Kamanda wa polisi mkoani humo Revocatus Malimi kuwakamata na kuwaweka ndani...

READ MORE

‘Biblia’ ya Maajabu Iliyoandikwa na Shetani, Ukiisoma Hulali – Video

Ifahamu Biblia iliyoandikwa na Shetani, ikiwa ni kitabu kikubwa kuliko kitabu chochote kuwahi kutokea duniani, inaaminika kuwa kitabu hiki kiliandikwa...

READ MORE

Mradi wa Maziwa Mkombozi wa Wafugaji

TANZANIA kwa kushirikiana na taasisi ya kimataifa ya uwezeshaji mifugo ya maziwa ya Land o’Lakes imezindua mradi wa miaka minne...

READ MORE

JPM: “Muroto Nilikupa Pesa Zangu, Sirro Ningeteua IGP Wangu”- Video

   Rais Dk. John Magufuli leo Novemba 22, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za...

READ MORE