×

Kimataifa

Watu 28 Wafariki Katika Kimbunga Nchini Bangladesh, Mamilioni Wakosa Umeme

IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na Kimbunga cha Sitrang nchini Bangladesh imeongezeka na kufikia 28 huku mamilioni ya watu...

READ MORE

Anayeshikilia Rekodi ya Kuwa Mchafu Zaidi Duniani Afariki Dunia

MWANAUME wa Iran, Amou Haji ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ni mtu mchafu zaidi duniani kwa muda wa nusu karne...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na Kitabu cha Utalii Tanzania

WAZIRI MKUU mpya wa Uingereza, Rishi Sunak ameonekana katika picha akiwa ameshika kitabu cha utaliii kinachoeleza kuhusu masuala ya Wanyapori...

READ MORE

Mwandishi wa Habari wa Pakistan Auawa kwa Kupigwa Risasi

MWANDISHI wa Habari wa Pakistan, Arshad Sharif ameuawa usiku wa Jumapili katika Jimbo la Kajiado lililopo katika Mji Mkuu wa...

READ MORE

Watu 220 Wauawa Kwenye Mapigano ya Kikabila Nchini Sudan Kusini

WATU 220 wameuawa kwenye mapigano ya kikabila yaliyotokea nchini Sudani Kusini na kutajwa kuwa hayo ni miongoni mwa mapigano mabaya...

READ MORE

Takribani Watu 60 Wauawa Akiwemo Mwandishi wa Habari Katika Maandamano ya Chad

TAKRIBANI watu 60 wameuawa katika maandamano ya kupinga serikali ya Chad ambapo kulitokea vurugu baada ya vikosi vya usalama kufyatua...

READ MORE

Kilima Chenye Maajabu Kiendacho kinyume na Sheria za Mvutano

KILIMA hiki cha mvutano ni kilima kinachofahamika kuwa cha ajabu, kwa kuwa kinatengeneza kiini macho kupelekea watu kuhisi kama vile...

READ MORE

Timu ya Kampuni ya Simu ya Google Pixel Wakamatwa Wakitumia Iphone Kujibu Tweet

KUNA makampuni mengi ya teknolojia ya simu yanayofahamika duniani ikiwemo Google Pixel, Apple na Samsung, Kampuni hizi zipo katika mashindano...

READ MORE

Muigizaji wa Filamu ya Moon Knight Aongea na Marvel Kuhusu Kurudi Kwake

MSANII wa maigizo Oscar Isaac aliyechaguliwa kufanya katika filamu ya Moon Knight msimu wake wa kwanza kwa sasa yupo katika...

READ MORE

Maisha ya Kusikitisha ya Tracy Edward Mtu Pekee Aliyenusurika Kuuawa na Jeffrey Dahmer

TRACY EDWARD ni mtu pekee aliyefanikiwa kumtoroka muuaji Jeffrey Dahmer na kuwasaidia Polisi kumkamata baada ya kukutwa mtaani akikimbia na...

READ MORE

Mapacha Wawili Wazaliwa Wakiwa Tofauti Kwenye Macho na Ngozi

MARA nyingi imezoeleka kuona mapacha wakifanana kila kitu kwa sababu ya kutoka kwenye yai moja lakini hii imekuwa ni tofauti...

READ MORE

Taharuki! Rais Amteua Marehemu Kuwa Kamanda Jeshini

HALI ya sintofahamu imejitokeza Katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya Rais Félix Tshisekedi kumteua Jenerali...

READ MORE

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU Kukubaliana Kufundisha Askari 15000 wa Ukraine

MAKUBALIANO ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazounda Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kukubaliana kutoa mafunzo kwa askari 15000...

READ MORE

Mafuriko Yasababisha Vifo vya Watu Zaidi ya 600 Nchini Nigeria

NCHI ya Nigeria imekumbwa na mafuriko ambayo yamevunja historia kwa nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 ambayo yamesababisha vifo...

READ MORE

Mwamba Auza Figo Yake Ili Kumnunuliza Mpenzi Wake Iphone 14

MWANAFUNZI mmoja wa Nigeria amevuma kwenye mitandao ya kijamii baada kubainika kuwa aliuza figo yake moja ili tu amnunulie mpenzi...

READ MORE

Seli za Ubongo Zilotengenezwa Kwenye Maabara Zinacheza Ping Pong

WANASAYANSI wamezifunza seli za ubongo kucheza mchezo uitwao ping pong ambapo wachezaji wawili hutumia kasia kuupiga mpira mbele na nyuma...

READ MORE

Aibiwa Figo Yake Akiwa Amelazwa Hospitali, Polisi Yatoa Tamko

NI RAHISI mno kusikia habari za watu kupoteza mali, pesa, marafiki au hata wapenzi wao, lakini ni jambo la kustaajabisha...

READ MORE

Tim Cook Afichua Sifa Nne za Kuajiriwa na Kufanya Kazi na Kampuni ya Apple

MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Apple akiwepo katika chuo cha Naples Federico ll huko Italy awaambia wahitimu kuwa kampuni ya...

READ MORE

Mchungaji Awataka Wenye Ndoa Wafanye Tendo la Ndoa Mara Nyingi

MCHUNGAJI Tolu Odukoya-Ijogun ambaye ni mtoto wa kwanza wa mchungaji Bimbo Odukoya wa kanisa nchini Nigeria amewaambia wenye ndoa wafanye...

READ MORE

Rais Biden: Rais Putin Amepiga Vibaya Mahesabu Yake ya Kuichukua Ukraine

RAIS wa Marekani Joe Biden amesema kuwa Vladimir Putin ni mtu mwenye busara ambaye amehukumu vibaya matarajio yake ya kuichukua...

READ MORE

Muigizaji wa Sinema ya Deadpool Amesema Hatofanya Kazi na Ryan Reynolds Tena

MUIGIZAJI wa sinema Todd Joseph Miller ambaye hucheza kama Weasel amesema hawezi kufanya kazi na muongozaji filamu ya Deadpool Ryan...

READ MORE

Rais wa Angola Afanya Mazungumzo na Rais wa Ukraine Kuhusu Vita Dhidi ya Urusi

RAIS wa Angola Joao Lourenco siku ya Jumatatu amefanya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa njia ya simu...

READ MORE

Kutana na Cassie Roboti Anayekimbia Sawa na Usain Bolt

CASSIE ni roboti aliyetengenezwa kwa muda wa miaka mitano na watafiti wa uhandisi na mafunzo ya mashine (machine learning) katika...

READ MORE

Watu 76 Wafariki Dunia Katika Ajali ya Boti Nchini Nigeria

WATU 76 wameuawa kati ya 85 waliokuwepo kwenye Boti iliyopata ajali nchini Nigeria na kwamba taarifa hiyo imethibitishwa na wafanyakazi...

READ MORE

Putin Aishushia Lawama Ukraine kwa Uharibifu wa Miundombinu ya Daraja la Crimea

RAIS wa Urusi Vladimir Putin ameishusia lawama nchini ya Ukraine kwa kuvamia na kuharibu miundombinu ya daraja la Kerch linalounganisha...

READ MORE

Biden Aitahadharisha Dunia Juu ya Matumizi ya Nyuklia, Adai Putin Hatanii

RAIS wa Marekani Joe Biden ameitahadharisha dunia ikiwemo Umoja wa Ulaya pamoja na Marekani kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin...

READ MORE

Watu 34 Wauawa Katika Shambulizi Lililotokea Shule ya Chekechea

WATU 34 wameuawa leo katika shambulizi la kutumia bunduki na kisu lililotokea katika shule ya chekechea nchini Thailand.   Taarifa...

READ MORE

Safari ya Afrika Yamsaidia Lewis Hamilton Kujihisi Amani, Azigusia Tanzania, Kenya na Namibia

BINGWA wa mashindano ya magari ya formula 1 Lewis Hamilton ambaye ana rekodi ya kuchukua ubingwa wa Dunia mara saba...

READ MORE

Wanafunzi Zaidi ya Milioni Mbili Wakosa Kwenda Shule Nchini Sudan

NCHI ya Sudan imekuwa ikipitia majanga mbali mbali kama vile mafuriko, uvamizi wa kivita na njaa kiujumla na hii kupelekea...

READ MORE

Rais Museveni Aiomba Msamaha Kenya na Afrika Mashariki Kwa Niaba ya Mwanaye

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewaomba radhi wananchi wa Kenya na Wana-Afrika Mashariki kwa ujumla kufuatia mtoto wake Jenerali Muhoozi...

READ MORE

Mwanamke Aolewa na Wanaume Wawili, Azaa Nao ‘Tunalala Wote Kitanda Kimoja Kwa Amani’

MWANAMKE mmoja raia wa Congo ambaye aliolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra...

READ MORE

Jamaa Raia wa Marekani Atupwa Jela Miaka Minne kwa Kumpiga Teke Afisa wa Polisi

MAHAKAMA moja katika mji wa magharibi mwa Russia ya Voronezh, Jumanne imemuhukumu raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 28...

READ MORE

Mtoto Auawa Katika Jaribio la Kuzuia Risasi kwa Kutumia Hirizi

Mtoto mwenye umri wa miaka 12, anayefahamika kwa jina la Yusuph Abubakari ameuawa baada ya kaka yake, Abubakari Abubakari kujaribu...

READ MORE

Bilionea Musk Amshukia Zelensky Amtaka Atafute Suluhu ya Vita Dhidi ya Urusi

BILIONEA namba moja Duniani Elon Musk amemkingia kifua Rais wa Urusi Vladimir Putin na kumshutumu vikali Rais wa Ukraine Volodymyr...

READ MORE

Mke Aliyekufa Ajalini Akimfukuza Mume na Mchepuko, Mumewe Naye Afariki

WIKI mbili zilizopita kulikuwa na habari za tanzia kuhusu mwanamke mmoja aliyefariki dunia katika ajali ya barabara alipokuwa akimkimbiza mumewe,...

READ MORE

Watu 92 Wauawa Katika Maandamano Nchini Iran, Mashirika ya Haki za Binadamu Yabainisha

TAKRIBANI watu 92 wameuawa kwa madai ya ukandamizaji unaofanywa nchini Iran wa kutuliza maandamano yaliyochochewa na kifo cha mwanamke anayefahamika...

READ MORE

Watu 19 Wafariki Baada ya Kutokea Shambulio la Kujitoa Muhanga

TAKRIBANI watu 19 wamefariki baada ya kutokea shambulio la kujitoa muhanga kwenye Chuo Kikuu kilichopo katika Mji wa Kabul nchini...

READ MORE

Maafisa wa Jeshi Wafanya Mapinduzi ya Kuung’oa Utawala wa Kijeshi Nchini Burkina Faso

MAAFISA wa Jeshi wa Burkina Faso wamefanya mapinduzi ya kumtoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Luteni Kanali Paul-Henry Damiba...

READ MORE

Biden: Putin Hawezi Kuitisha Marekani na NATO kwa Mikwara Yake

RAIS wa Marekani Joe Biden ameibuka na kudai kuwa Marekani haiwezi kutishwa na mikwara ambayo haina kichwa wala miguu inayotolewa...

READ MORE

Sweden Yabaini Sehemu Nyingine Ambapo Bomba la Mafuta la Urusi Linavuja

Walinzi wa pwani ya Uswidi wamesema kuwa wamegundua sehemu nyingine ya uvujaji wa bomba la gesi la Nord Stream na...

READ MORE