×

Mikasa

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-28

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas aliposema kufuatia mwanaye kufariki dunia alivyotumia muda mwingi kulia na kusababisha usiku huo...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 8

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Kwema kabisa,” nilimjibu nikikaa huku nikitamani kumwambia ukweli kuhusu hisia zangu kwake. Nilimpiga jicho moja la hasira,...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Niache kaka Cheni…nimesema niache.” Nilimsukuma, akaangukia huko, nikasimama na kukimbilia chumbani kwangu. Akanifuata. Nilijitupa kitandani, akaja na...

READ MORE

Rigwaride Ra afande-14

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Bwana mimi naogopa peke yangu.” “Hivi husikii wewe. Unadhani nani atakuja kujibanza hapa kwa maafande, hajipendi?” Nikatoka...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!-3

ILIPOISHIA: “Sasa pale si walikuwa wawili? Huyo mwingine ni nani?” “Si yule mwalimu wenu, Mwashambwa?” “Mwalimu wetu Mwashambwa anayetufundisha hesabu...

READ MORE

Chongo!-19

Ilipoishia wiki iliyopita. Ufunguaji wa mlango na jinsi Jerry alivyoingia uliwafanya waamini kabisa pale ndipo alipokuwa anaishi. Nao wakageuza pikipiki...

READ MORE

Ooh…madam martha!-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Nitashukuru ila na wewe jiandae kwa sapraizi zangu vilevile,” John alimwambia Madam Martha.“Sapraizi gani?” Madam Martha alimwuliza.SASA...

READ MORE

Tulivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 3

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilianza kutetemeka wakati ardhi ikizidi kuzama, ilikuwa kama tupo kwenye lifti na tunashushwa chini kutoka ghorofani, swali...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 44

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Baada ya kuzungumza kwa kirefu, Faiza aliwaleta ndugu zake katika wodi niliyokuwa nimelazwa.Faiza aliwatambulisha kwangu na wote...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-22

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale binti wa kishua Doreen alipopanga kumpatia simu sharobaro Nelly aliyejua kumpa raha na kujisemea...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-34

ILIPOISHIA IJUMAA: Niliposema hivyo ndiyo nilimpandisha. “Kama ule ndiyo uchawi wa kwenu, hutaki viondoke mle chumbani, nakwenda kuutupa ule mkoba...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande-13

ILIPOISHIA RISAJI JUMATANO: “Usijali afande Mwira bwana. Kawaida sana, mimi nakushukuru kwa kila kitu, umenifaa maana nilikuwa sina kitu,” alijibu...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani-5

ILIPOISHIA: Baada ya kusafishiwa gari niliongozana na Bantu kuelekea nyumbani kwangu. Moyoni niliona kwa mtindo ule siwezi kuwekewa mipaka hata...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa-39

ILIPOISHIA: Matukio waliyokuwa wanafanya Kundi la WAB yalikuwa yanatisha kiasi kwamba kila kona wakawa gumzo, walishaua watu wengi mno, azma...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-11

ILIPOISHIA GAZETI LA WIKIENDA: “Yetu ninayotaka kuendelea na wewe ni kukuomba twende tukachukue chumba hotelini japo kwa leo tu, naami...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-35

ILIPOISHIA WIKIENDA Nilipofika hapo hoteli nikakutana na rafiki yangu mmoja ambaye si tu nilisoma naye Chuo Kikuu cha Mlimani bali...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-27

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas alipoeleza kwamba wakati akiwa kule kijijini alikuwa akienda kuhudhuria kliniki alikopimwa na kuelezwa...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kilichonifanya nimwangalie sana ni kwamba, huo wimbo aliosema aliwekewa na mume wangu, Bubu Hutaka Kusema mume wangu...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-0

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na ikitokea umetoka kwa kuiba, ole wako,” alidakia mama ili asije akaonekana hana kauli kwa mtoto… “Umenielewa?”...

READ MORE

Rigwaride Ra afande-12

ILIPOISHIA RISAJI JUMAMOSI: “Kwanza utakuwa mke wa nani humu ndani sasa?” aliniuliza kwa sauti ya chini, nikatabasamu… “Wewe hapo,” nilisema...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!-2

ILIPOISHIA: “Wale ni wachawi wanaosumbua watu kijijini kwetu, naona wametangaza vita na mimi, hawanijui hawa,” alisema baba na kama ilivyotokea...

READ MORE

Ndoa na Shetani-4

ILIPOISHIA: Japokuwa mwanzo nilikuwa mgumu lakini nilijikuta nakubali ofa za wanaume, lakini nilichagua wanaume wenye pesa kutokana na umbile na...

READ MORE

Chongo!-13

Ilipoishia wiki iliyopita Akainuka kutoka katika kiti alichokalia akaingia ndani ya kontena, akaitega vizuri simu yake kabla ya kumpiga picha...

READ MORE

Tulivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Alitokea mzee mmoja ambaye alikuwa chotara, alikuwa na ndevu nyingi nyeupe na karibu kichwa chake chote kilikuwa...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 43

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Wewe ulimuona kwa macho yako huyo jini?” “Ndiyo nilimuona” “Yukoje?” “Ni kama binadamu lakini anatisha.” “Unajua ninakuuliza...

READ MORE

Ooh…madam martha!-5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ilipoishia wiki iliyopita: Kila upande ukawa unashambulia kwa zamu, lakini tahadhari ya kutoruhusu goli mapema. Kila John...

READ MORE

Jeraha Lililojeruhiwa Nchini Ethiopia

MACHO ya Mr Johnson, mtafiti wa miamba madini na mafuta yalitulia katika darubini kwa muda na kusahau alichokikusudia kwa wakati...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-21

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Haruni aliyeshangazwa na tabia ya usharobaro wa Nelly alipomwambia Zakayo kwamba alihisi Nelly alikwishakuwa...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-34

ILIPOISHIA IJUMAA: “Amejifungua salama?” “Amejifungua salama.” “Ni sasa hivi au ni muda uleule mliofika?” “Tulipofika hakukaa sana, akaingizwa kizimbani.” “Kuna...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-10

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Eti anakuuliza wewe nani?” aliuliza yule abiria akiwa ameinama kidogo ili amuone vizuri yule abiria… “Anasema...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 3

ILIPOISHIA: Maisha yaliendelea, nakumbuka siku moja tukiwa tumelala majira ya saa saba usiku nyumba yetu ilivamiwa na maaskari. Emma Mo...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 38

ILIPOISHIA: Destiny ameshafuzu kuwa mwandishi wa habari, yuko Kenya akitokea Marekani alikokuwa kimasomo tayari kuzianza harakati zake za kumbadilisha Mtima...

READ MORE

Rigwaride Ra Afande

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “We baba wewe…unasema binti yangu aliondoka muda uleule wakati nimemsikia sasa hivi ameshtuka hapo, sijui umemtekenya!” alisema...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-33

ILIPOISHIA WIKIENDA Siku ile sikutoka tena nyumbani. Ilipofika usiku mke wangu alimpigia mama yake aliyekuwa akiishi Kinondoni. Akazungumza naye na...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-9

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Ghafla, baba Pilima akatokea kutoka chumbani akiwa ndani ya nguo za kulalia… “Mbona kama nasikia...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-8

ILIPOISHHIA WIKI ILIYOPITA: Mara, kaka alitoka akisema anawahi mahali. Wakati anasema, nikamwita… “Kaka Cheni…” “Nini?” “Njoo,” nilimwita kwa sauti ya...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na kama unasema hivyo kwa sababu ya Daniel kuja nyumbani usiku jana na yule aliyesema amekurithi. Yule...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-26

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama yake mdogo wa Dorcas alipomfahamisha kwamba siku iliyofuata angeondoka pale kijijini na kurudi...

READ MORE

Mkuki moyoni mwangu 18

Catarina amelazwa hospitali ya Ocean Road akisumbuliwa na saratani ya damu, ugonjwa ulioibuka ghafla wakati akifuatilia afya ya Kevin, kijana...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!

Jina langu naitwa Togolai Mahimba ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa...

READ MORE