
Browsing Category
Soccer
Kocha Fadlu Afafanua Mustakabali wa Ladack Chasambi
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ametoa msimamo wake wazi juu ya kiungo mshambuliaji, Ladack Chasambi, akibainisha kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao.
Inaelezwa kuwa Fadlu hana mpango wa Chasambi katika nafasi ya winga,…
Ruto Aahidi TSh 48 Milioni kwa Kila Mchezaji Harambee Stars Wakishinda Zambia
Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho ya Kundi A ya michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Zambia, itakayopigwa Jumapili katika Uwanja wa Kasarani.
Ruto…
Nani Bingwa wa LALIGA 2025/26?
Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa leo hii unaweza ukabashiri nani anaweza kuwa bingwa wa Laliga. Kila timu imepewa ODDS nzuri inayoweza kukupatia pesa za maana. Jiunge sasa na Meridianbet uanze safari yako ya ushindi hapa.…
CAF Yatangaza Vilabu 75 Bora Afrika 2025, Klabu 3 za Tanzania Zatamba
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa orodha ya vilabu 75 bora kwa mwaka 2025, ikizingatia viwango na alama walizokusanya kutokana na ushiriki wao katika mashindano ya CAF na michuano mingine mikubwa barani.
Kwa…
Mfungaji Namba 1 Aondoka? Ahoua Apigwa Bei Nzuri na JS Kabylie
Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ahoua kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa ajili ya msimu ujao wa 2025/26.
Kwa mujibu wa chanzo cha Habari kutoka ndani ya Simba SC…
Hato Akamilisha Dili Na Chelsea Majira Haya
Kiungo wa kati wa klabu ya AFC Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi, Jorrel Hato, amekamilisha usajili wake na kujiunga rasmi na klabu ya Chelsea katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi 2025.
Hato, mwenye miaka 18, amesaini…
Wachezaji wa Liverpool Wafanya Maandalizi ya Kiroho Kabla ya Msimu Mpya Nchini Tokyo
Tokyo, Japan – Katika tukio lisilo la kawaida kwenye kalenda ya maandalizi ya timu, wachezaji wa Liverpool wameanza siku yao leo asubuhi kwa kufanya zoezi la meditasheni katika hekalu la Ekōin jijini Tokyo. Zoezi hilo ni sehemu ya…
“Yanga Yamnasa Nahodha wa Simba?” – Ali Kamwe Afunguka Suala la Zimbwe Jr
WAKATI Yanga SC wakitajwa kukamilisha kwa asilimia 100 dili la Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyekuwa beki wa Simba SC na nahodha msimu wa 2024/25, Ofisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe amefungukia suala la nyota huyo.
Zimbwe Jr aliwaaga…
Arsenal Yamnasa Viktor Gyökeres kwa Dau la Bilioni 300
Klabu ya Arsenal mbioni kufanikisha azma yake ya muda mrefu, ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari kutoka Sweden, Viktor Gyökeres, kutoka klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Arsenal italipa euro…
Zimbwe Jr Atoa Ishara Za Kuondoka Simba, Yanga Waingia Mitaani!
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25.
Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa…
Vita ya Yanga na Simba Kumsaka Offen Chikola Yafika Ukingoni
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufikia makubalian mazuri.
Tetesiz za hivi karibuni…
Ancelotti Ahukumiwa Mwaka 1 Gerezani Na Faini Ya Billioni 1
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na kutozwa faini ya €386,000 (zaidi ya TSh 1.1 bilioni) na Mahakama ya Mkoa wa Madrid kwa kosa la kukwepa kodi mwaka 2014 alipokuwa katika…
Job na Yanga Mambo ni Moto! Hatima Yake Kusubiriwa
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga SC wamefanya mazungumzo na beki wa Yanga SC, Dickson Job kuhusu kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuwa mali ya Wananchi.
Job alikuwa chaguo la kwanza msimu wa 2024/25. Wakati Yanga SC ikitwaa ubingwa wa…
Fainali ya Yanga, Singida Black Stars Kupigwa New Amaan
FAINALI ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Amaan huko Unguja, Zanzibar.
Mchezo unatarajiwa kupigwa Juni 28, mwaka huu huko Zanzibar ambako timu hizo mara ya…
Kocha Yanga Aiweka Kando Kariakoo Dabi Ligi Kuu Bara
KOCHA Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema kuwa haufahamu mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao wa Kariakoo Dabi badala yake anaifahamu michezo miwili dhidi ya Tanzania Prisons na Dodoma Jiji.
Miloud alisema kuwa maandalizi yake ya michezo ya…
Mashabiki Wa PSG Waunga Mkono Palestina Katika Mechi Ya Fainali Ya Klabu Bingwa Ulaya
Mashabiki wa PSG waunga mkono Palestina katika mechi ya fainali ya klabu bingwa Ulaya
Mashabiki wa timu ya soka ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa Palestina.
Katika mechi ya jana ya fainali…
Fiston Mayele Aandika Historia: Aipa Pyramids FC Taji La Kwanza La Ligi ya Mabingwa Afrika
Cairo, Misri – Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka DR Congo, Fiston Kalala Mayele, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni miongoni mwa wakali barani Afrika baada ya kufunga bao muhimu katika ushindi wa Pyramids FC wa mabao 2-1 dhidi ya…
Meneja Wa Manchester United, Ruben Amorim Atangaza Vita Kuelekea Msimu Ujao
Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema kuwa yeye na wachezaji wake wanatazamia kumaliza msimu huu wa 2024/25 uliojaa changamoto. Klabu hiyo imeishia katika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Premier League, ikiwa ni nafasi yao…
Beki Wa Kazi Yanga Deni Lake Limekia Hapa
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa ni 11 ili kufanikisha malengo aliyokuwa nayo msimu wa 2024/25.
Beki huyo mwanzo wa msimu baada ya kufungua…
Baada ya Kufikia Makubaliano, Graham Potter Akubali Kuinoa Chelsea
MMILIKI wa Chelsea Todd Boehly alikutana na Potter katikati mwa London Jumatano alasiri kwa kile kilichoelezwa kuwa "mazungumzo chanya" kuhusu meneja huyo wa Brighton kujiunga na klabu yake ya Chelsea huko Stamford Bridge pamoja…
Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa
Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
iOS : https://apple.co/38HjiCx
Android : http://bit.ly/38Lluc8
Nunua ::Gazeti la SpotiXtra
AU
NUNUA: SpotiXtra
Taifa Stars Yaelekea Benin
LEO Oktoba 8 Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, imeondoka leo Ijumaa, Oktoba 8, 2021 majira ya saa 6 mchana kuelekea nchini Benin kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia.
Jana, Oktoba 7, Uwanja wa Mkapa, Taifa…
Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa
Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
iOS https://apple.co/38HjiCx
Android http://bit.ly/38Lluc8
Nunua Gazeti la SpotiXtra
AU
NUNUA SpotiXtra
Share this:…
Kibwana Amfungukia Shaban Djuma
BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa AS Vita, Shaban Djuma, beki wa kulia wa Yanga, Kibwana Shomari ameufungukia usajili huo, huku akimkaribisha ndani ya klabu hiyo.
Kibwana na Djuma wote…
Mourinho Atimuliwa Tottenham
Tottenham imemfuta kazi Jose Mourinho kutokana na timu hiyo kutokuwa na nafasi ya kushiriki Champions League msimu huu.
Mourinho, mwenye miaka 58, alichukua mikoba ya Mauricio Pochettino Novemba 2019 ila…
Real Madrid Yaitungua Barcelona 2-1
TIMU ya Real Madrid imepaa hadi kileleni mwa msimamo wa La Liga, na kuweka hai matumaini ya ubingwa baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid.
Mabao ya Real…
Kufuzu Fainali Kombe la Dunia 2022, Messi Kibaruani Leo
Mataifa ya Amerika yanaendelea na harakati za kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022. Michezo ya Kufuzu CONMEBOL inaendelea tena wiki hii, Peru wakiwakaribisha Argentina siku ya Jumatano. Huu ni mchezo wa aina yake katika…
Samatta Uso Kwa Uso Na Van Dijk
STRAIKA Mtanzania anayecheza Aston Villa, Mbwana Samatta, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakacho pambana na mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool ambao ukuta wao unaongozwa na Virgil van Dijk.
Katikamchezo…
Tetesi za Soka Ulaya July 05 2020
Inter Milan imeanza mazungumzo na Chelsea ya kumnunua beki wa kushoto wa Italia Emerson Palmieri, 25, kutoka klabu ya Stamford Bridge.
Chelsea imeanza tena mazungumzo kuhusu makubaliano mapya na mshambuliaji wa Brazil Willian,…
Liverpool vs Man United… Ngoma Nzito Hii
KESHO Jumapili, Liverpool itakuwa mwenyeji wa Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England utakaochezwa kwenye Uwanja wa Anfield kuanzia saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Huu ni mchezo ambao unaonekana kama…
Tanzia: Yanga Yapata Pigo
KLABU ya Soka ya Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani na Taifa Sstars, Hassan Goebles 'Gobbos' ambaye amefariki dunia leo Alhamisi, Januari 17, 2019, asubuhi.
Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu,…
Ballon d’Or: Modric Amaliza Ufalme wa Messi, Ronaldo
Kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa la Croatia, Luka Modric, ameshinda tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2018, na kuwa mchezaji wa kwanza baada ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kushinda tuzo hiyo baada ya miaka 10.
Modric, 33,…
Amunike kaa mguu sawa, sisi Watanzania ni Wabrazili
MWAKA 2001, timu ya taifa ya Brazil ilikuwa kwenye hatikati ya kukosa michuano ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kutokana na mwenendo wa kusuasua wa timu hiyo.
Inajulikana wazi kati ya nchi yenye presha kubwa katika mchezo wa soka…
FULL TIME: TAIFA STARS 2-0 CAPE VERDE, KUFUZU AFCON
FULL TIME
Mchezo umemalizika, Taifa Stars inapata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cape Verde.
Dk ya 95: Stars wanafanya mabadiliko, anatoka Samatta anaingia Rashidi Mandawa.
Dk ya 93: Stars wanatengeneza shambulizi…
Familia ya Ronaldo Yashutumu Madai ya Ubakaji Dhidi Yake
FAMILIA ya mwanasoka raia wa Ureno na klabu ya Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo, imeshutumu vikali madai dhidi yake, ambapo dada yake, Katia Aveiro, na mama yake, Dolores Aveiro, wame-post picha yake na ujumbe mbalimbali…
Salah, Mane, Ronaldo, Messi, Wengine 26 Kuwania 2018 Ballon d’Or
Shirikisho la Soka la Ufaransa limetoa majina 30 ya wachezaji soka watakaowania tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka 2018. Wachezaji wawili wa Afrika katika orodha hiyo ni Mohamed Salah wa Misri na Sadio Mane wa Senegal, wote wakichezea…
POGBA KAPANIA KWENDA BARCELONA AACHANE NA MOURINHO
MWANASOKA Mfaransa, Paul Pogba anataka kuondoka Manchester United ya Uingereza na kwenda Barcelona ya Hispania hata kama ugomvi wake na kocha/meneja wake, Jose Mourinho ukimalizika.
Ili kumpoza mchezaji huyo, Mourinho alimpa…
Tambwe Abeza Kambi Ya Kimba Uturuki
AMISSI Tambwe ambaye msimu uliopita hakufanya lolote ndani ya Yanga, amedai kwamba hatishwi na kambi ya Simba huko Uturuki wala uzoefu wa mastaa waliowasajili.
Tambwe ambaye habari zinadai amenusurika kutemwa na Yanga…
Lionel Messi Kumfata Cristiano Ronaldo
VITA kali ya mafanikio kati ya mahasimu wa soka duniani, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa barcelona haijafika kikomo baada ya wawili hao kutajwa kurudi kwenye ligi moja ya Italia 'Seria A'
Ronaldo ambaye hivi…
Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme
MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi hiyo iliyobeba Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya kuishinda timu ya Croatia.
Mapokezi hayo…