Browsing Category
Latest News
Barbara Apigwa Faini ya Laki Tano
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara TBLP katika kikao chake cha Desemba 30, 2021 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali na kufanya maamuzi yafuatayo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba…
Polisi: Hamza Alikuwa ni Gaidi wa Kujitoa Mhanga – Video
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amesema, uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed aliyewaua askari watatu wa Jeshi la Polisi na na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha naye…
Rais wa Zamani wa Zambia Alazwa
RAIS wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amelazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yanayomsumbua kwa siku kadhaa sasa.
Taarifa iliyotolewa na ikulu ya nchi hiyo, imeeleza kwamba jopo la madaktari…
Dias Mchezaji Bora wa Epl
BEKI wa klabu ya Manchester City Ruben Dias ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu 2020/2021.
Dias ameshakusanya tuzo mbili mpaka sasa ile ya mchezaji bora wa mwaka wa waandishi wa…
Deal Done Zimbwe Aongeza Mkataba Msimbazi
NAHODHA msaidizi wa Simba Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr', leo Aprili 28 ameongeza mkataba wa kuendelea kukipiga kwenye timu hiyo.
Kupitia ukurasa wa Simba kwenye mtandao wa Instagram wamethibitisha beki huyo kuongeza mkataba. Na…
Watu 15 Wafariki kwa Ajali ya Moto
WATU 15 wamefariki baada ya moto kuzuka kutokana na mitungi ya gesi ya Oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn al-Khatib Baghdad nchini Iraq ambayo inahudumioa wagonjwa wa Covid 19.
Vikosi vya zimamoto, walikimbia kuuzima…
India Yarekodi Visa Zaidi 200,000 Katika Saa 24
INDIA imeingia kwenye rekodi baada ya kurekodi visa zaidi ya 200,000 vya ugonjwa wa Covid 19, ndani ya masaa 24, idadi kubwa zaidi kuwahi kutokea tangu ugonjwa huo kuingia nchini humo.
Taifa hilo linakabiliwa na wimbi…
EU Yaitupia Lawama WHO Kuchelewa Kufuatili Corona
NCHI za Umoja wa Ulaya na Marekani na Japan, zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona.
Aidha, wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa…
Bayern Kuwavaa PSG, Real Madrid Dhidi ya Liverpool Uefa
DROO ya Robo Fainali ya ligi ya Mabingwa Ulaya (Uefa Champions League) ipangwa mchana wa leo Machi 19.
Ratiba hiyo inaonyesha Manchester City ya England, itavaa Borussia Dortmund ya Ujerumani, wakati Fc Porto ya Ureno…
Tanzia: Christian Longomba Afariki Dunia
MSANII wa Kundi maarufu la 'Longombas' kutoka Kenya Christian Longomba amefariki, imeripoti kuwa katika Hospitali Los Angeles Marekani akipatiwa matibabu.
Kaka yake aitwae Lovy amethibitisha kifo cha mdogo wake na kuandika…
Karia Ajitoa Kugombea Ujumbe FIFA
RAIS wa TFF Wallace Karia amethibitisha kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea Ujumbe wa Baraza la FIFA kuwakilisha nchi zinazozungumza lugha ya kiingereza.
“Ni kweli, nafasi za kuingia kutoka Afrika zinagombewa…
Tetemeko la Ardhi Lapita Mara
Majira ya saa 10:47 alfajiri, usiku wa kuamkia leo Machi 11, Mkoa wa Mara na maeneo jirani ya Kanda ya Ziwa yamepitiwa na tetemeko la ardhi.
Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.7 kwa kipimo cha richa, lilianzia Butiama na kufika…
Bosi wa Mamelodi Atajwa Kumrithi Ahmad CAF
RAIS wa klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Patrice Motsepe, anatajwa kuwa Rais Mpya wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya Ahmad Ahmad, katika kuelekea uchaguzi mkuu wa CAF March 12 2021 nchini Morocco.
Inaripotiwa na…
Afrika Kusini Yasitisha Utoaji wa Chanjo ya Corona
TAIFA la Afrika Kusini jana Februari 6, limesitisha kuanza utoaji chanjo ya AstraZenecana Oxford baada ya utafiti kuonesha chanjo hizo hazina ufanisi katika kuzuia magonjwa mepesi na ya wastani kutoka kwenye aina mpya ya virusi.…
Marekani Yasitisha Mpango wa Chanjo kwa Wafungwa
WIZARA ya ulinzi ya Marekani imesema itasimamisha mpango wake wa kuwapa chanjo dhidi ya COVID-19 wafungwa wa makosa ya ugaidi wanaozuiwa kwenye kambi ya Guantanamo kufuatia kuongezeka kwa malalamiko katika wakati ambapo nchi hiyo…
Yanga Wapokea Rasimu ya Mabadiliko
KAMATI ya Utendaji ya klabu ya Yanga leo Desemba 2, 2020, imepokea ripoti kwa ajili ya mabadiliko ya uendeshwaji wa kisasa baada ya ushauri wa La Liga.
Wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao pia ni…
Watano Rasmi Wasaini Yanga
JUNI 27, 2019 uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza kambi rasmi ya mazoezi Jumapili ijayo mjini Morogoro.…
Marioo aitambulisha Inatosha Global, asimulia Dully alivyompa 500,000
HITMAKER wa Ngoma ya Chibonge, Omar Mwangaza ‘Marioo’ ametimba katika studio za +255 Global Radio ndani ya Global Group, Sinza Mori jijini Dar na kueleza ujio wake wa kishindo kupitia Ngoma ya Inatosha na Chibonge ambazo…
UNA UHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI?-2
KATIKA mada hii ambayo imeanza wiki iliyopita, tunajifunza namna ya kumtambua mwenzi ambaye amepoteza uwezo wa kupenda. Tayari tumeshaona dalili za awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii. Sasa tunamalizia vipengele vilivyosalia.…
Tigo Business yatoa simu 247 na miavuli 100 kwa wamachinga Arusha
Kupitia Chama Cha Wamachinga Mkoa wa Arusha, Juni, 2019 kampuni ya Tigo kupiti kitengo chake cha Tigo Business imetoa simu 247 pamoja wa miavuli 100 kwa wateja wake ambao ni wanachama wa umoja huo wa
wafanya biashara wadogo…
Mazembe Yawafuata Fei Toto, Tshabalala Dar
KIGOGO wa TP Mazembe yupo Jijini Dar es Salaam kufanya mazungumzo ya awali na Simba na Yanga. Si hao tu pia wanazungumza na wakala wa straika wa Serengeti Boys, Kelvin John ‘Mbappe’.
Habari za uhakika ambazo Spoti Xtra…
TBL Yazindua Kampeni ya Friji ya Ushindi
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya…
Kala Jeremiah Alivyopata Tabu Kufuga ‘Mwembe’ Huu – Video
RAPA Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni ameachia ngoma zake mbili #NISAMEHE na #AMERICA, amefunguka na kusema kuwa alipata wakati mgumu kubadilisha mwonekano wake ikiwemo kufuga nywele na kidevu kama 'Osama' ili kutengeneza uhalisia wa…
TECNO YAZINDUA BODA LA SPARK 3
Kampuni ya simu ya TECNO mobile inawakaribisha wateja wake kununua simu mpya iliyozinduliwa hivi karibuni aina ya TECNO SPARK 3 na kujishindia zawadi kemkem ikiwemo pikipiki mpya.
Promotion hiyo iliyopewa jina la boda la…
Familia Yarejesha ‘Uhai’ wa Captain Komba, Yamuombea Msamaha – Video
FAMILIA ya aliyekuwa gwiji wa sanaa nchini, Kapteni Jonh Komba, inatarajia kuzindua taasisi ya kumbukumbu ya kuenzi sanaa yake na kuanzisha bendi ya muziki itakayoimba sauti ya Kapteni Komba, familia hiyo imeipa taasisi hiyo jina la The…
BETIKA NA IDD EL FITRI NDANI YA GOBA , MAKONGO JUU
IKIWA leo Jumatano Waislamu duniani wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri, kama kawaida Gazeti la Betika halikuwa nyuma katika kuwafikia wasomaji wake.
Betika ambalo huingia sokoni kila Jumatano, hii ni wiki ya 17 ambapo bado umaarufu…
Kada wa CCM Arusha Mbaroni kwa Ujambazi
JESHI la polisi mkoani Arusha linamshikilia mtuhumiwa sugu wa ujambazi, Jumanne Mjuzi (J4) mkazi wa Ngarenaro jijini Arusha ambaye pia ni kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kosa la kuvunja na kuiba vitu mbalimbali ikiwemo…
Rais Magufuli Akabidhiwa Mtaa wa Nyerere Nchini Namibia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS…
Waziri Mkuu Aongoza Mazishi ya Askofu Mmole Mtwara – Video
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wote wamuenzi marehemu Askofu Mstaafu Gaberiel Mmole (80) wa Jimbo Katoliki Mtwara kwa wema, upole na utumishi mwema aliouonesha wakati wote wa maisha yake.
Ametoa wito…
NMB YAFUTURISHA WATEJA WAKE MKOANI TANGA
BENKI ya NMB imeombwa kuangalia uwezekano wakuongeza matawi ya vituo vya kutolea fedha ATM ili kuhakikisha inasogeza huduma zake za kibenki karibu na wananchi katika Jiji la Tanga.
Hayo…
KAJALA ATIA NENO MWEZ I WA RAMADHANI
KAJALASTAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kutoa neno kwa mastaa wenzake kuhusiana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, ambapo amewaasa kufanya matendo mema.
Akizungumza na mwandishi wetu, Kajala alisema kuwa anatamani…
Tanzia: CCM Yapata Pigo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya kuondokewa mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Hamisi Mnegero, aliyefariki dunia alfajiri ya jana Alhamisi, Mei 9, 2019, akiwa msikitini.
Taarifa ya Umoja…
Simba Yaweka Rekodi Mpya Ligi Kuu
SIMBA, juzi ilifanikiwa kuweka rekodi mpya katika Ligi Kuu Bara baada ya ushindi dhidi ya Coastal Union ya Tanga na kujikita kileleni mwa ligi hiyo. Ushindi wa juzi wa mabao 8-1 dhidi ya Coastal ulifanya timu hiyo kujiwekea rekodi mpya…
SHIGONGO AUANGANA NA MAMIA KUMUAGA DKT. MENGI
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amewasili Moshi na kuungana na mamia ya waombolezaji kumsindikiza mzee wetu, Dkt. Reginald Mengi katika makazi yake ya milele leo Mei 9, 2019.
"Mzee Mengi…
Bobi Wine, Besigye Waungana Kukisambaratisha Chama cha Museveni
MBUNGE wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ameungana na mwanaharakati wa kisiasa Dkt. Kizza Besigye ili kukiondoa madarakani chama tawala cha National Resistance Movement…
Mtoto wa Sheikh Yahya aahidi makubwa Yanga
MTOTO wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye anawania nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, amesema akipata nafasi hiyo, kwa kushirikiana na viongozi wengine, atahakikisha timu yao haishindwi…
Wambura augua, akwama kufi ka mahakamani
KESI inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura, jana Alhamisi ilishindwa kuendelea baada ya mtuhumiwa huyo kushindwa kutokea mahakamani kutokana na kuugua.
Hakimu Mfawidhi…
Yanga Yapoteza Mamilioni ligi kuu
LICHA ya Klabu ya Yanga kuwa katika mchakato wa kusaka fedha kwa kufanya mchakato wa kutembeza bakuli kwa mashabiki wake, lakini imejikuta ikipoteza zaidi ya shilingi milioni 18 ‘kizembe’ kwa makosa ya nidhamu ya kukiuka taratibu za…