The House of Favourite Newspapers

Diamond na Tanasha Waonyesha Mahaba Stejini -( Picha +Video)

0
Diamond Platnumz akijiachia na mama mtoto wake, Tanasha Donna Oketch usiku wa kuamkia leo kwenye steji ya ‘Pre Party’ ya Wasafi Tumewasha.

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na mama mtoto wake, Tanasha Donna Oketch usiku wa kuamkia leo Januari 24, 2021 walipanda kwenye steji ya ‘Pre Party’ ya Wasafi Tumewasha iliyofanyika kwenye ukumbi wa Elements Masaki jijini Dar es Salaam na kucheza pamoja huku wakikumbatiana na kushikana viuno.

Mashabiki waliokuwepo kwenye ukumbi huo walionekana kuvutiwa na ukaribu wa Tanasha na Diamond huku wakiwaomba wawili hao kurudiana.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Tanasha akiongea jambo na mashabiki.

Leave A Reply