The House of Favourite Newspapers

Spika Job Ndugai Ajiuzulu – Video

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alhamisi, Januri 6, 2022 kutokana na fukuto la kisiasa linaoendelea kufuatia kauli yake aliyoitoa kuhusu Rais Samia Suluhu kukopa Tsh trilioni 1.3.

Ndugai amechukua maamuzi hayo kwa hiari na kwa kuzingatia na kujali maslahi mapana zaidi ya Taifa, serikali na chama cha CCM.

Aidha Ndugai ametoa shukrani za dhati kwa Wabunge, Rais Samia Suluhu Hassan wananchi wa jimbo la Kongwa na watanzania kwa ujumla.

Leave A Reply