Zuchu: Niliogopa Bosi Akanilazimisha Mpaka Nikahara, Kina Mbosso Walinibembeleza
MSANII wa Bongo Fleva, Zuchu ametoa experience yake ya shoo ambayo aliwahi kuogopa zaidi katika maisha yake ya muziki ambayo ameitaja kuwa ni shoo ya #IamZuchu launching aliyofanya katika Ukumbi wa Mlimani City wakati akitambulishwa…