MSANII wa filamu Bongo Jacqueline Wolper hivi karibuni amesema kuwa sbabu kubwa inayomfanya awe Mbogo kwenye uhusiano wake wa kimapenzi pindi anapogundua mwanaume wake amemsaliti huwa ni yeye kuwa mwaminifu.
Akichezesha…
MWANADADA anayekiwasha kunako Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ambaye ni mjasiriamali mkubwa amechimba mkwara mzito.Wolper ametoa onyo kali kwa wale wanawawake wanaopenda kuchukua wanaume za watu.
Akizungumza na…
SARAH Michelotti, aliyekuwa mke wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amemrusha rohoo laivu jamaa huyo kwa kujinunulia gari la kifahari aina ya Ferrari; siku chache baada ya kumuanika kuwa aliachana naye kwa sababu ya skendo…
Staa wa filamu ambaye sasa hivi amegeukia kwenye upande wa kudizaini na kushona nguo mbalimbali, Jacqueline Wolper amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa amesehau habari za kuumizwa kimapenzi.
Akizungumza na amani, Wolper…
MKALImwingine kutoka uwanda wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe amesema, hakuna pesa zenye mikosi kama za kuhongwa na mwanaume.
Wolper amesema pesa za dizaini hiyo huwa zina mikosi mingi na mtu huwezi kuzifanyia kitu cha…
STAA wa filamu Bongo,Jacquline Wolper ameamua kutoa la moyoni na kusema kuwa kama uzuri ndiyo ungekuwa ni sura na kumfanya mtu aolewe basi hata yeye tayari angekuwa mke wa mtu. Akipiga papaso na Za Motomoto ya Risasi, Wolper alisema…
WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo, lakini kwa staili ya tofauti. Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Wolper alisema amewahi…
MUIGIZAJI mwenye mashine zake za kushona nguo mjini, Jacqueline Wolper ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kamwe hawezi kutoa penzi kwa mwanaume masikini au mshamba kwani wao ndiyo waliomuumiza na kutaja dau la shilingi milioni…
MKali wa sinema kunako Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ametoa povu kwa wale wanaosubiria kwenye peji yake ya instagram kuona kama atamposti mpenzi wake wa sasa na kusema hao wamefeli.
Wolper aliliambia Gazeti la…
STAA wa filamu ambaye hivi sasa amegeukia ufundi cherehani, Jacqueline Wolper, amefunguka kuwa dharau zake zilimfanya asiwe tajiri wa kike (boss lady) kwa kuwapotezea mapedeshee na watu wenye pesa zao. Akipiga stori na paparazi wetu,…
Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amesema kuwa kama mwanachama wa Yanga hapaswi kusukumwa kuchangia timu yako unapaswa ujitoe kwa hali na mali ili timu isonge mbele.
KWELI au anazuga? Mkali wa sinema za Kibongo ambaye amegeukia kwenye ubunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa sasa hivi amesahau maumivu ya mapenzi.
Wolper ameliambia gazeti hili bora la mastaa la Ijumaa…
WENGI wetu tulipozaliwa, tuliwakuta wazazi wetu wakiwa na dini zao. Tulichokifanya sisi ni kufuata imani zao. Leo hii ukiniuliza kwa nini ni Muislam, nitakuambia ni kwa sababu wazazi wangu ni Waislam.
Kinachofanyika ni…
Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life Club Mwenge ambapo sherehe ilinogeshwa zaidi na uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake Harmonize ambaye aliweka wazi…
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, amekubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hatimaye kuamua kuwekeza nguvu zake kwenye upande ushonaji ambao amekuwa akifanya kama sehemu yake nyingine kujiongezea kipato.
Katika…
STAA wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe kwenye mapenzi, Jacqueline Wolper, ndiYo staa anayeongoza kutupia picha kali kwenye mtandao wa Instagram, huku mashabiki zake wakiendelea kumpongeza kwa picha hizo.
uchunguzi…
MPENZI mpya wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanas Sanga ‘Engine’, ameachia video yake ya wimbo wa Ulingo.
Engine ameachia wimbo huo ikiwa ni siku chache baada ya kujitambulisha rasmi nyumbani kwa wazazi wa…
HAKUNA mpenzi wa filamu za Kibongo ambaye hamjui Jacqueline Wolper, hii ni kwa sababu ya kujituma kwake kwenye kazi, hasa kuanzia kipindi kile tasnia ya Bongo Movie ilipokuwa juu, enzi za akina marehemu Kanumba mpaka leo.
…
JACQUELINE Massawe ndilo jina alilopewa na wazazi wake alipozaliwa kule kwao Moshi mkoani Kilimanjaro, lakini umma wa Watanzania na wadau wa filamu Afrika Mashariki wanamtambua kama Jacqueline Wolper.
Ni muigizaji…
BAADA ya picha za mpenzi wa Jacqueline Wolper anayejulikana kwa jina la Brown zinazomuonesha akiwa kimahaba na mwanamke mwingine kuzagaa mitandaoni kitendo kinachoonesha kuwa ni usaliti, msanii huyo amepata kigugumizi na kushindwa…
UKUMBI wa Buckets, uliopo Masaki jijini Dar, jana usiku ulilipuka kwa shamra kibao pale muigizaji Jackline Wolper alipokuwa akisherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa pamoja na mashabiki wake.
Katika…
STAA wa Bongo Movies, Jacquline Wolper amesema kuwa mastaa wengi hawapendi kupeana ‘sapoti’, kiasi kwamba hata kama staa mwenzao akiwa na biashara yake wapo radhi kununua kwingine lakini si kwake, ili tu wamkomoe.
Akichonga…
NINA kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema na fadhila zake kwangu, lakini nisiwe mchoyo kumshukuru kwa niaba yako wewe msomaji wangu, hasa kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa safu hii ya Barua Nzito. Leo nimeona…
MASTAA wengi Bongo,kitu kikubwa wanachopenda ni kuonekana bomba kwenye vichwa vyao ambapo mara nyingi utawaona wamebadilisha mitindo mbalimbali ya nywele.
Kumekuwa na aina nyingi za nywele lakini mastaa wana sehemu zao…
DAR ES SALAAM: Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema kimewaka mbaya baada ya mazungumzo kwa njia ya video kati ya muigizaji huyo na aliyekuwa bwana wa…
POVU alilolitoa Diva anayetikisa kiwanda cha Bongo Muvi, Jacqueline Wolper kwa X- wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ni povu ‘hevi’, kiasi kwamba hata kama ni nguo chafu kiasi gani lazima zitatakata kwani amemuita ni muimba…
DIVA anayeng’ara kupitia Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, amejikuta akimtolea povu staa wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ kwa kosa la kutumia katuni ya picha yake bila ridhaa yake kwenye kideo cha ngoma yake ya Sikila aliyomshirikisha…
IMEBAINIKA! Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper akiwa hajapiga ‘tungi’ anakuwa na aibu kiasi cha kushindwa kuzungumza jambo mbele za watu.
Wolper alivujisha siri hiyo juzikati baada ya kufanya ‘interview’ akiwa hajaonja kilevi…
DIVA kutoka kiwanda cha Bongo Muvi ambaye kwa sasa amejikita zaidi kwenye biashara ya duka la nguo, Jacqueline Wolper, ametoa kichambo chenye uzito wa ‘Semi Trela’ kwa wale wote wenye tabia ya kumsakama ‘baby’ wake mpya…
STAA asiyechuja kunako tasnia ya filamu Bongo, Jacquline Wolper a.k.a Mrs Brown, ameweka wazi hisia za kuguswa na matatizo ya msanii mwenzake, Jini Kabula, ambaye anasumbuliwa na tatizo linalodhaniwa kuwa ni uchizi huku hali yake ya…
MIONGONI mwa mambo ambayo napenda kuyafanya nje ya kazi yangu ya uandishi, ni kutazama filamu. Kwenye eneo hili ninao uzalendo wa kuringia kwani nimejikita sana kuangalia sinema za hapa Bongo, ingawa zipo nyakati huwa najikuta…
KAPO mpya inayotikisa kwa sasa Bongo ni ya muigizaji Jackline Wolper na baby wake, mwanamitindo anayeitwa Brown.
Tangu kuibuka kwa kapo hiyo ambayo wote wawili wanaonekana kuzama kwenye dimbwi zito la mahaba, kumekuwa na tetesi nyingi…
Baada ya kutupiwa virago na mpenzi wake wa zamani, diva kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper, amempata ‘baby’ mwingine ambaye kuthibitisha kuwa amefika, amejichora tattoo yenye jina la staa huyo.
Mpenziwe…
KWA kuonyesha ni kumpa dongo mpenzi wake wa zamani, staa mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amesema kuwa katu hawezi kumuweka hadharani mpenzi wake mpya kwa kuogopa kuibiwa tena na wazungu.
Staa huyo alituma dongo…
STORI: MAYASA MARIWATA, IJUMAA, STAR MIX
STAA wa filamu Bongo Jacqueline Wolper amesema kuwa, japo wanaume wengi wenye nazo wamekuwa wakimsumbua kumtaka kimapenzi, haoni haja ya kuwa nao kwa kuwa anaamini ni wasumbufu tu hawana…
STORI: Ally Katalambula | UWAZI |Uwazi Showbiz
MUIGIZAJI mwenye jina Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ amefunguka kuwa kuna watu wamekuwa wakipiga pesa kwenye mitandao ya kijamiii kwa njia mbalimbali kupitia jina lake jambo ambalo…
Stori: Ally Katalambula, Amani, Habari
UTAMU wa ubuyu ukae chini na umung’unye taratiiibu! Staa wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe kwenye mapenzi, Jacqueline Wolper, amefunguka kuwa ilibaki kidogo tu aolewe na msanii wa…
STORI: IMELDA MTEMA | UWAZI | HABARI
Dar es Salaam: Staa mwenye kiwango cha juu Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, wasanii wengi waliopo kwenye tasnia ya filamu ni wanafiki na wanafuata mkumbo, hawako kiuhalisia.…