The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

ndege

Ndege Yanasa Kwenye Njia ya Treni

Rubani wa Ndege ndogo iliyopata ajali na kunasa kwenye njia ya Treni amenusurika kifo baada ya kuokolewa na Polisi wa Los Angeles, Marekani sekunde chache kabla ya treni ya kasi kupita na kuigonga Ndege hiyo na kuipasua vipandevipande.…

Ndege Yapotea na Rubani Ruvuma

NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba la Selous Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma imepotea kwa siku 11 ikiwa na Rubani wake Bw. Samweli Gibuyi.…

Gari Inayopaa Kuanza Kutumika

Kampuni ya Uber na Boeing ambao wamejikita katika utengenezaji wa magari yanayopaa maarufu kama eVTOL (electric vertical take-off and landing), wamepanga mpaka kufika mwaka 2040 wawe wameingiza sokoni magari 430,000 ya aina hiyo…

CAG: ATCL Haina Ndege

ACHANA na hasara ya Sh 60 bilioni iliyopata Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema ndege za shirika hilo hazitotengenezeka zikiharibika hivyo kujiweka kwenye hatari ya kutumika kwa…

ATCL Yasitisha Safari za China

SHIRIKA la Ndege nchini ( ATCL) limetangaza kusitisha safari za ndege kuelekea China kutokana na kuwapo kwa ugonjwa wa virusi vya Corona. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Ladislaus Matindi, ameyasema hayo leo jijini Dar es…

Ndege Yaanguka Barabarani

ZAIDI ya watu 100 wamenusurika kufa baada ya ndege ya abiria kuanguka katikati ya barabara katika mji wa Mahshahr nchini Iran asubuhi leo. Ndege hiyo aina ya Caspian 6936 ilikuwa na  watu 135 ikitoka Tehran na ilitarajiwa kutua…