Aunt: Kusah na Ruby Mbona Freshi Tu, Wala Sihitaji Kiki
AUNT Ezekiel; ni mwanamama nembo ya Bongo Movies na mjasiriamali ambaye anasema kuwa, anawashangaa watu wanaojiuliza kwa nini alimchagua msanii wa kike wa Bongo Fleva, Ruby kwamba ndiye anafaa kufanya kolabo na Kusah ambaye ni baba…
