Zungu amtoa hofu Rais Samia kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025
NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, asiwe na hofu kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, akisema wananchi wanampenda.
Zungu ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, tarehe 7 Machi…