The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

SIMON MSUVA

Msuva Aongeza Mwaka Morocco

WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida inashiriki Ligi Kuu ya Morocco ‘Botola Liague’. Msuva kwa sasa thamani yake imeporomoka kutoka euro…

Msuva: Namfuata Samatta Ulaya

NYOTA wa Difaa el Jadida ya Morocco, Mtanzania Saimon Msuva amefunguka kuwa kwa msimu ujao anaweza kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia barani Ulaya. Msuva kwa sasa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na Wamorocco hao ambao walimng’oa…

Msuva Ampa Neno Kichuya Misri

WINGA wa Klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amemwambia kiungo mpya wa ENPPI ya Misri, Shiza Kichuya kuwa anatakiwa kupambana kwelikweli na kutokubali tena kurudi kucheza soka Tanzania. Hivi karibuni Kichuya alikamilisha…

MAMA: MSUVA SIO WA MCHEZO MCHEZO

SIMON Msuva ni kiungo mshambuliaji wa Difaâ Hassani El Jadidi ya Morocco, licha ya kuwa alionekana ni mchezaji wa kawaida alipokuwa Tanzania, kwa sasa anawakilisha nchi vizuri na anaonyesha kuwa na dalili njema za ‘kutusua’ zaidi…

Samatta: Msuva Anapita tu Morocco

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amemtaja kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Simon Msuva kuwa atafika mbali katika soka la kimataifa kutokana na kufunga mabao ya kiufundi katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Botswana,…

Baba: Msuva Anakwenda Hispania

BABA wa winga wa zamani wa Yanga, Happygod Msuva ambaye ni Simon ameibuka na kuwaambia Simba kuwa kama walishindwa kumsajili mchezaji huyo akiwa hapa nchini, basi wasahau akiwa Morocco. Kauli hiyo ameitia juzi Jumatano ikiwa ni siku…

MSUVA: ASANTENI SANA YANGA

NDOTO ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ya kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi ilitimia juzi Jumatano baada ya kiungo huyo kupaa hadi nchini Morocco kwa ajili ya kumalizana na Difaâ Hassani El Jadidi kabla ya kujiunga…

Msuva: Nimetua Salama Morocco

WINGA wa Yanga, Simon Msuva amefika salama nchini Morocco na tayari kupimwa afya kisha akimaliza hapo anatarajiwa kusaini mkataba leo Ijumaa. Msuva aliondoka nchini juzi Jumatano saa tatu kamili usiku na kuelekea Morocco kwa ajili ya…

Msuva Aitajirisha Yanga SC

KIUNGO mwenye kasi wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva amekubali kuachana na Yanga na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya Tanzania kwa mara ya kwanza. Wakati anaondoka, ameifanya Yanga kuwa tajiri baada ya klabu inayomtwaa kukubali…