Wabunge SADC Wamuuunga Mkono Spika Tulia Kugombea nafasi ya Rais IPU
Jukwaa la Wabunge la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) limepitisha rasmi hoja kuhusu suala la dharura na umuhimu wa kikanda ili kumuuunga mkono mgombea wa nafasi ya Rais wa Umoja wa Wabunge (IPU), Dkt…
