The House of Favourite Newspapers
Yearly Archives

2015

Ile Albamu ya Big Sean sasa imeiva

Pusha T RAPA na Meneja wa lebel ya G.O.O.D Music, Pusha T amethibitisha kuwa album mpya ya Big Sean inaelekea kukamilika na itatolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka 2016. Big Sean Big Sean alishika nafasi ya juu kwenye chati na albamu yake ya…

Kova kustaafu rasmi leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova. Leo ni siku ya mwisho kwa Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova, kulitumika jeshi la Polisi nchini kwa kuwa muda wake wa kulifanyia kazi jeshi hilo umeisha. Kamanda…

Shilole afanya pati ya aibu!

Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akicheza sebene. AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo, akitambulika kwenye uigizaji na…

Serikali ya Magufuli yambana Zari

Zarinah Hassan ‘Zari'. HAPA Kazi Tu! Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inazidi kuwanyoosha wakwepa kodi na sasa zamu ya utumbuaji majipu imemshukia Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tifah, kwa kutaka asiandae tamasha kama lile la Zari…

Bayo Na Imbori -31

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kabla ya Imbori kuzidiwa na kuhitaji figo, alimtaka Dickson aliyekuwa ameanzisha naye uhusiano wa mapenzi kumtafutia shule ya muziki ili akakinoe zaidi kipaji chake cha uimbaji alichokuwa nacho, jambo ambalo…

Bella kuonjesha Acha Kabisa Dar Live

Andrew Carlos KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide leo kwenye ya mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa…

Jini mweusi -59

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila changudoa anayenunuliwa na mwanaume aliyekuwa kwenye gari aina ya Volkswagen nyeusi, anauawa…

Mkuki moyoni mwangu 18

Catarina amelazwa hospitali ya Ocean Road akisumbuliwa na saratani ya damu, ugonjwa ulioibuka ghafla wakati akifuatilia afya ya Kevin, kijana waliyependana lakini hawakuwahi kuelezana ukweli wa mioyo yao. Kevin hivi sasa anaendelea…

Ray C arudi kuzimu!

Mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’. Na Musa Mateja KAMA ni kweli manenomaneno yanayozungumzwa mtaani kwamba, mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray…

Jini kabula amwanika wa ubani wake

Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. NA gladness mallya MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.…