The House of Favourite Newspapers

Tanzania Kushiriki Kombe la Dunia

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yanayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya…

BMT Wja na Tamasha la Wanawake

Na Ibrahim Mussa/CHAMPION/GPL BARAZA la Michezo la Taifa (BMT), linatarajia kufanya tamasha la michezo kwa wanawake na wasichana lililopangwa kufanyika Aprili 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar. Tamasha hilo litaanza na…

Karia Ataja Mafanikio ya TFF

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya kukuza soka vilivyopo Kigamboni jijini Dar na mkoani Tanga, ni miongoni mwa mafanikio makubwa kwao. Karia alitoa kauli…

Serikali, TFF Waijadili Ligi

IKIWA imebaki takribani wiki moja kufi kia Juni Mosi, mwaka huu siku ambayo ligi za hapa nchini zitarejea, Serikali, Bodi ya Ligi (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana Jumamosi walikutana na kujadili namna gani wataweza…

Yanga yamng’ang’ania Manji

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unatambua Yusuf Manji bado mwenyekiti wao hadi pale watakapopokea barua kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya maagizo ya kuitisha uchaguzi mkuu. BMT,…