The House of Favourite Newspapers

FA Adai Fid Q ‘Mlaini’

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amedai mkali mwenziye mwenyeji wa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amebadilika na kuwa mlaini tofauti na zamani. Akipiga stori na Risasi Vibes, mwana FA alisema kwa…

Fid Q Afungukia Kupiga Chini Gemu

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| UWAZI SHOWBIZ MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si wa kuacha muziki leo wala kesho maana muziki ni sehemu ya…

Fid Q ageukia udairekta

Farid Kubanda ‘Fid Q’, Omary Mdose, Dar ess Salaam MWANAMUZIKI wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’, ameibuka na kusema kutokana na kushiriki kwa kiasi kikubwa kuandaa video mbili za wasanii hapa Bongo, muda si mrefu watu…

Ben Pol ‘amsapraiz’ Fid Q

Benard Paul ‘Ben Pol’ Stori: Mwandishi Wetu Mwanamuziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ hivi karibuni alimfanyia ‘sapraizi’ Mwanamuziki wa Hip Hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’ baada ya kumtumia audio ya ngoma yake mpya iitwayo Moyo Mashine…

Tangu watoke, Hawajachuja

Jux. KATIKA maisha kuna kupanda na kushuka na ndivyo ambavyo binadamu tumeumbiwa, hii yote ni katika kujifunza zaidi. Hapa nchini kuna wasanii wa fani mbalimbali ambao wamekuwa wakifanya vizuri wakati wote na wanaonekana kuwa na nyota…

Mastaa wamwanika mshindi wa urais

Mwandishi Wetu UTAFITI uliofanywa na gazeti hili umeonesha mastaa wa muziki na filamu Bongo wanampa asilimia nyingi zaidi za ushindi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi, John Magufuli dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Magufuli aahidi neema kwa Wanabukoba

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba, mkoani Kagera jana. Chege na Temba wakiwaburudisha wakazi wa Bukoba wakati wa mkutano huo. Wakazi wa Bukoba wakimsikiliza kwa makini…