The House of Favourite Newspapers

Makazi Mapya Waliohamishwa Ngorongoro Yanoga

Wawakilishi wa wananchi walioamua kuondoka kwa hiari kutoka kata 10 kati ya kata 11 ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwenda Msomera Wilayani Handeni mkoani Tanga jana Aprili 10 mwaka huu wamefika eneo hilo la Msomera na…

Majaliwa Atua Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo kwenye Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. "Katika mjadala wetu wa leo, mmetoa maoni nasi…

Sakata Ngorongoro Lawagawa Wabunge

MVUTANO mkali umetokea kati ya pande mbili za wabunge wanaounga mkono hatua ya kupunguza watu ndani ya Mamlaka ya Hifadhi Eneo la Ngorongoro (NCAA) na wanaopinga uamuzi huo. Aidha, wamemshauri Spika, Dk. Tulia Ackson, kuunda kamati…

Wawili Waula Safari ya Kutalii Ngorongoro

WATANZANIA wawili wameula kwa kujishindia safari ya kwenda kutembelea hifadhi ya Ngorongoro kwenye Promosheni iliyokuwa ikiendeshwa na maduka ya GSM kwa wateja waliokuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka hayo. Washindi hao…