The House of Favourite Newspapers

Lawrence Masha Ajiondoa Chadema

ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa…

Zari Atoswa Utajiri wa Mumewe

AMETOSWA! Licha ya kupigania kwa udi na uvumba mali za aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, kwa mara nyingine ametoswa kumiliki baadhi ya mali hizo, Gazeti la IJUMAA WIKIENDA…

DNA Ya Tiffah….

Musa Mateja na Issa Mnally, Dar es Salaam: Taarifa njema kwa Giant wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanaye Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kuwa hivi karibuni walipima vinasaba vya damu (DNA) na kujihakikishia kuwa…

Zari Aibu Yake!

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Stori: Mwandishi, Wetu, Ijumaa Dar es Salaam: Aibu yake! Kitendo cha mwandani wa Mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah…

Diamond: Nina hofu kunyang’anywa Tiffah

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akmbeba mwanaye, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’. Musa Mateja Kazi ipo! ‘Kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amekumbwa na hofu ya kunyang’anywa mwanaye anayemuita…