The House of Favourite Newspapers

Yondani Amfuata Nyosso Geita

GUMZO kubwa mjini Geita kwa sasa ni juu ya usajili wa nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye…

Ngassa, Yondani Wagoma Kuagwa

WACHEZAJI wa zamani waliocheza kwa mafanikio ndani ya Yanga, Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani wamefunguka kuwa wao kwa sasa hawana mpango wa kuagwa na klabu yao hiyo kwa kuwa bado wanaendelea kucheza soka. Ngassa na Yondani…

Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye kikosi cha wachezaji 42 alichokiita leo, kitakachoingia kambini kujiandaa kwa michezo miwili ya kirafiki dhidi…

Yondani Atua Polisi Tanzania

Aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani baada ya kukaa nje nusu msimu aamejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi sita. Yondani amesajiliwa na timu hiyo akiwa mchezji huru baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya…

Yondani Aibukia Coastal Union

SIYO Namungo FC tena, safari hii jina la beki wa kati na nahodha wa zamani wa Yanga Kelvin Yondani limeibuka kwenye usajili wa Coastal Union ya mkoani Tanga. Yondani kwenye usajili mkubwa wa msimu huu, alitajwa kuwepo…

Kaze Amtaja Yondani Yanga

KOCHA mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amemtaja aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani kuwa ni mmoja kati ya wachezaji wenye heshima kubwa kwake na alitamani kufanya naye kazi ndani ya timu hiyo. Kocha huyo aliwasili…

Yondani Atua Namungo

KELVIN Yondani beki kisiki aliyekuwa anakipiga ndani ya Yanga msimu uliopita inaelezwa kwa sasa ni mali ya Namungo FC ambayo inashiriki michuano kimataifa. Namungo inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery inaiwakilisha…

Yondani Kurejeshwa Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa upo uwezekano mkubwa wa beki mkongwe Kelvin Yondani ‘Vidic’ kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo upya na uongozi wa Yanga. Beki huyo hivi karibuni alitangazwa kuachwa kwenye sehemu ya kikosi cha…

Yondani apewa onyo Yanga

KOCHA Mkuu wa Namungo, Thiery Hitimana, amewaonya wachezaji wa Yanga akiwemo beki mkongwe, Kelvin Yondani juu ya utovu wa nidhamu. Hitimana ametoa onyo hilo ikiwa ni siku chache baada ya Yanga kumshusha kocha mpya,…

Baba Yondani Kupelekwa Polisi

PATRICK Yondani baba mzazi wa beki kisiki anayekipiga ndani ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa mtu atakayemfuata kumjaza maneno ili amwambie mwanae acheze chini ya kiwango mechi ya kesho Jumamosi kati ya Simba na Yanga atamsababishia…

Yondani Atii Amri

BEKI Mkongwe wa Klabu ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anakubali uwezo wa beki mwenzake raia wa Ghana, Lamine Moro na kwamba uelewano wao umefanya wawe na safu bora ya ulinzi kwa kipindi hiki. Moro alijiunga na Yanga wakati wa…

Lamine Ampa Kiburi Yondani

BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu huu kutokana na ubora wa safu nzuri ya ulinzi. Yondani alisema kuwa kwa kipindi kifupi…