×

Championi
Chirwa Aweka Rekodi Kaitaba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa, juzi Jumamosi alifanikiwa kuan­dika rekodi katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba tangu alipojiunga na Yanga msimu uliopita….

SOMA ZAIDI

Okwi Alivyoishusha Yanga Kileleni

SAA 24 tangu Yanga ipande kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa kuifunga Kagera Sugar, juzi Jumamosi, hatimaye wapinzani wao wa jadi, Simba…

SOMA ZAIDI

Bilionea Wa Oman Amvaa Mo Simba

BILIONEA kutoka Oman ameonyesha nia ya kutaka kuwekeza Simba kwa kutaka kujitosa katika mchakato wa kununua hisa za klabu hiyo ili awe sehemu ya umiliki…

SOMA ZAIDI
Nyoni Refa Alinipa Kadi Kimaajabu

KIRAKA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Erasto Nyoni, wikiendi iliyopita alitolewa uwanjani baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye…

SOMA ZAIDI

Barcelona: Tunamrudia Coutinho

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Barcelona, Oscar Grau ametoa kauli ambayo inaweza kuwatikisa Wanaliverpool baada ya kusema kuwa wanajipanga kurejesha mchakato wa kumwania kiungo wa…

SOMA ZAIDI

Niyonzima Ambakisha Omog Simba

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Haruna Niyonzima, ametamka kuwa kati ya vitu ambavyo watavikosea katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara, basi ni kumuondoa Kocha Mkuu…

SOMA ZAIDI

NBA Mambo Yameanza Kuwa Moto

  LIGI ya NBA inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa timu zote kuonyesha umwamba wao uwanjani, huku kila timu ikitaka kuhakikisha msimu huu inatwaa ubingwa. Tayari…

SOMA ZAIDI

Mabao 54 yamtesa Mavugo Simba SC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Lau­dit Mavugo, ana kazi kubwa ya kuifikia rekodi yake ya kufunga mabao 62 ndani ya misimu miwili aliyotoka nayo katika Klabu ya…

SOMA ZAIDI

Niyonzima: Yanga Haitoki Oktoba 28

KIUNGO wa kimataifa wa Simba, Haruna Niyonzima, amesema kuwa, mahasimu wao Yanga wajipange kwa ajili ya kupokea kichapo katika mechi ya Oktoba 28 pindi timu…

SOMA ZAIDI