×

Habari

Waziri Bashe Kufunga Maonesho Wiki Ya Nishati Jadidifu Juni 7

TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA) Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati kwa...

READ MORE

Mama Samia Legal Aid Campaign Yaendelea Kusaidia Wananchi Wa Ludewa

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Wilayani Ludewa, katika Kata ya Madilu ambapo...

READ MORE

Heineken Yaendelea Kutangaza Moja Ya Shindano Maarufu Zaidi La Kandanda Ya Vilabu Ulaya-UEFA

01 Juni, 2024, Dar es Salaam.Wakati Heineken ikiendelea na ushiriki wake wa muda mrefu wa udhamini wa UEFA Champions League...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Asepa na Kijiji Arusha, Maelfu Wamiminika Kumsikiliza

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi ameweka historia katika Jiji la Arusha wakati akiingia...

READ MORE

Mwanajeshi Aangua Kilio Baada ya Mkewe Kuuza Mali Zake Zote

Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa Jeshi la Kena, KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tutaendelea Kuwashirikisha Wavuvi Na Wafugaji Kwenye Mipango Ya Maendeleo

Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo....

READ MORE

Wizara ya Ardhi Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kuvunjwa kwa nyumba Mbezi, Kinondoni

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuvunjwa kwa...

READ MORE

Makampuni 130 Afrika Yapewa Tuzo

TUZO za makampuni bora barani Afrika (ACOYA) zilizoandaliwa na The Global CEOs Institute wakishilikiana na Eastern Star Consulting Group Tanzania...

READ MORE

Rais Ramaphosa awataka wanasiasa kuwa na umoja baada ya ANC kushindwa kupata wingi wa viti bungeni

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumapili aliwataka viongozi wa vyama vya Afrika Kusini kufanya kazi pamoja kwa maslahi ya...

READ MORE

Kesi ya Walalamikaji Prof. Anna Tibaijuka na wenzake 9 Kutajwa Juni18

BARAZA la Ushindani la Taifa ( Fair Competition Commission) leo tarehe 3 Juni 2024 limehairisha usikilizaji wa kesi ya  mgogoro...

READ MORE

Wasanii Wa Tanzania Na Korea Kucheza Filamu Kwa Pamoja

Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye...

READ MORE

Compact Energies Yashinda Tuzo Ya Huduma Bora Afrika

Kampuni ya  Compact Energies Limited inayohusika na uzalishaji wa umeme Jua imeshinda tuzo ya makampuni makubwa barani Afrika katika utoaji...

READ MORE

Dkt. Nchimbi; Tuendelee Kusimamia Umoja wa Nchi Yetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mataves, katika...

READ MORE

Vodacom Yaibuka Kidedea Katika Tuzo za Tanzania Digital Awards

KAMPUNI inayoongoza kwa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini ya Vodacom, imetunukiwa tuzo na Kampuni ya Serengeti Bytes kupitia programu...

READ MORE

Waziri Mkuu: Undeni Vikundi Ili Mnufaike Na Mikopo inayotolewa na Serikali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya...

READ MORE

Rais Samia na Rais wa Jamhuri ya Korea Washudia utiaji wa saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Azindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group Monduli

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Atua Arusha Ziara ya Kikazi

            Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi,...

READ MORE

Benki ya NBC, Wachezaji wa Simba na Twiga Stars Waendesha Msimu wa Pili wa Kliniki ya Michezo kwa Watoto

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premiere League)  imeendesha  msimu...

READ MORE

Wananchi Wakosa Makazi Nyumba Zao Zikibomolewa Kibaha

Zaidi ya Nyumba 200 zilizoko eneo la Mtamba, ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mji, mkoani Pwani, zinadaiwa kubomolewa...

READ MORE

NBC Yazidua Akaunti Ya Mfugaji Mahususi Kwa Wadau Wa Sekta Ya Ufugaji

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini...

READ MORE

Waziri Mkuu Kushiriki Mazishi Ya Mama Mzazi Wa Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 01, 2024 amewasili Tarime mkoani Mara ambapo atashiriki kwenye mazishi ya Bi. Amina Nyanda Juma...

READ MORE

Katibu Mkuu Dk. Nchimbi Aongoza Mkutano wa ndani Wa Wanachama, Viongozi wa Chama na Serikali Manyara

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na...

READ MORE

BetPawa Yafanya Amshaamsha ya Mashabiki wa Mwanza Kuelekea Fainali UEFA

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya...

READ MORE

Walioshinda Shindano La Wauzaji Bora Vilainishi Vya Oryx Wakabidhiwa Tiketi Kwenda Dubai

KAMPUNI ya Oryx Services and Specialties Ltd iliyoendesha shindano la wauzaji (mawakala) bora wa vilainishi vya Oryx Energies kati ya...

READ MORE

Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswis Wamefanikiwa Kuweka Miundombinu Salama Barabarani

KATIKA jitihada za kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi jijini Tanga ,Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswis...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Kufungua Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu Dar

TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA) Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu, JUNI 6-7, 2024 Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...

READ MORE

Uchaguzi Afrika Kusini 2024: Chama Tawala ANC Kinaelekea Kupoteza Wingi wa Viti Bungeni, Serikali ya Mseto Yanukia – Live Video

 Shughuli ya kuhesabu kura nchini Afrika Kusini inaendelea, ambapo kwa mujibu wa matokeo baada ya takriban asilimia 90 ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Anzisheni Madawati Ya Sayansi, Teknolojia Na Ubunifu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini zihakikishe zinakamilisha uanzishwaji wa Madawati ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ifikapo Julai...

READ MORE

Watanzania Wapewa Mamilioni, Tv, Friji Na Zigo La Euro Cup Na HISENSE Droo Ya Kwanza

Ramadhan S. Mrutu ( Katikati ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Droo ya kwanza ) Kampeni ya ZIGO la...

READ MORE

Rais Samia Awasili Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya siku sita

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan leo Mei 30, 2024 amewasili Jamhuri ya Korea...

READ MORE

Matokeo uchaguzi Afrika Kusini 2024: ANC Kupoteza Wabunge Wengi – Live Video

CHAMA tawala nchini Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kupoteza wabunge wengi kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka...

READ MORE

Mke wa rais wa zamani wa Zambia akamatwa kwa tuhuma za ulaghai

Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu na bintiye Chiyeso Katete wamekamatwa kwa kumiliki mali zinazoshukiwa kuwa ni...

READ MORE

RC Makonda Akerwa Na Mivutano Baina Ya Watendaji Na Viongozi Wa Jiji Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekerwa na tabia ya malumbano na kuvutana kwa viongozi, Baraza la Madiwania...

READ MORE

Trump apatikana na hatia kwa mashtaka 34 ya jinai

Jopo la wajumbe wa mahakama moja mjini New York, Alhamisi limempata na hatia rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...

READ MORE

Viongozi, Wabunge wamiminika Kwenye Maonesho ya Utalii Kwenye Viwanja vya Bunge

Viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wameendelea kumiminika kwenye maonesho maalum yaliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyoanza kwenye viwanja vya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Asalimiana na Wanachama, Viongozi wa CCM Singida Baada ya Mkutano wa Ndani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya Wanachama na Viongozi wa...

READ MORE

Urus Tanzania Yawashauri Wafugaji Kutumia Mbegu za Mifugo Zilizoboreshwa

Urus Tanzania, ambayo ni kampuni tanzu ya Urus global, inayojishughulisha na usambazaji wa mbegu bora za ng’ombe wa maziwa na...

READ MORE

TADB Yashiriki Maonesho Wiki ya Unywaji Maziwa Kitaifa Mwanza

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inashiriki maonesho ya 27 ya Wiki ya Unywaji maziwa Kitaifa jijni Mwanza huku...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito Kwa Taasisi Za Kifedha Kuzitambua Hati Za Kimila

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo...

READ MORE