×

Habari

Familia za Pande Zote Mbili Hazitaki Tuoane Wakati Tunapendana Kwa Dhati

Jina langu Lulu kutokea Mara nchini Tanzania, nakumbuka wakati tunataka kufunga ndoa, upande wa baba wa mume wangu walikuwa wanamzuia...

READ MORE

Nyumba ya Mtoto wa Mbowe Kupigwa Mnada, Mahakama Yateua Madalali

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Rais Samia Ainisha Maeneo Muhimu Kwa Wawekezaji Kutoka Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka Norway kuja kuwekeza nchini kwenye sekta...

READ MORE

Picha za Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 13, 2024 amefanya Ziara nchini Norway na amemtembelea...

READ MORE

Msanii Logos Olori wa Nigeria Aachia EP Yake ya Kwanza Chini ya Davido

STAA wa muziki nchini Nigeria, Logos Olori ametoa albamu yake fupi (EP) akiwa chini ya lebo ya mwanamuziki nyota nchini...

READ MORE

Mtoto Wa Lowassa Afichua Siri Nzito – ”Bila Rais Samia Baba Asingefika Hata Jana” – Video

MBUNGE wa Jimbo la Monduli, ambaye ni mtoto wa Edward Lowassa, Fredrick Lowassa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupigania...

READ MORE

Maneno Mazito Ya Mstaafu Kikwete, Mzee Warioba Mwili wa Lowassa Ukiagwa – Video

 Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Hayati Edward Lowassa ameacha alama katika...

READ MORE

Viongozi Wa UWT Taifa Msibani Kwa Lowassa, Karimjee Dar Es Salaam – Picha

Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda wamewasili...

READ MORE

Tamasha La NMB Pesa Day Latikisa, Weka Na Ushinde Yazinduliwa

MAELFU ya wananchi wa wilaya ya Temeke, hususani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake, wamefurika vilivyo katika Tamasha la Kuhamasisha...

READ MORE

Watoka Zanzibar Kwa Vespa Kwenda Dodoma Kumpelekea Rais Dk. Samia, Maua Yake

Dar es Salaam, 12 Feb 2024: Timu ya kuwawakilisha wananchi wa Zanzibar jana wameanza safari kutoka Zanzibar kuelekea Ikulu Dodoma...

READ MORE

Balozi Mstaafu Dk. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia

Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani Wizara ya Afrika Mashariki Dk. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia, katika hospitali ya Mzeena,...

READ MORE

Tanzania Yaweka Historia Katika Maendeleo na Ustawi wa Sekta ya Masoko ya Mitaji Kwa Mwaka 2023

Tanzania imeweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo na ustawi wa sekta ya masoko ya mitaji katika kipindi cha mwaka...

READ MORE

Lapex Properties Kuwazawadia Viwanja Washindi Wa Mbio Ya Kilimanjaro Marathon

Mkurugenzi Mtendaji wa Lapex Properties, Thom Mukondya (katikati) akizungumza na wanahabari kwenye hafla ya kutangaza udhamini huo. Kulia ni mwakilishi...

READ MORE

Jinsi Nilivyowajua Wezi Walionipora Pikipiki Yangu

Jina langu ni Moses kutokea Kigoma nchini Tanzania, katika umri wangu wa miaka 31, naweza kusema kuwa kama mwanaume, roho...

READ MORE

Mwanariadha Wa Kenya Kelvin Kiptum Afariki Katika Ajali Ya Gari

MWANARIADHA wa mbio za Marathon kutoka Kenya, Kelvin Kiptum na kocha wake raia wa Rwanda Garvais Hakizimana wamefariki katika ajali...

READ MORE

Dawa Za P2 Zazua Jambo Bungeni – Tarimba Ahoji Zifutwe – Waziri Wa Afya Atoa Ufafanuzi – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ameihoji serikali kupitia Wizara ya Afya kwamba madhara ya kutumia vidonge vya kuzuia kupata ujauzito...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Papa Francis Vatican Leo

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 12, 2024 amekutana na Papa Francis Vatican. Rais Samia pia amekutana na Katibu Mkuu...

READ MORE

Waziri wa ulinzi wa Marekani alazwa hospitali

WAZIRI wa ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin mwenye umri wa miaka 70 anaendelea na majukumu yake akiwa hospitali, msemaji wa...

READ MORE

Rais Samia Kuongoza Mazishi ya Hayati Edward Lowassa Monduli, Arusha… Ratiba Ipo Hapa -Video

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...

READ MORE

Kinana Uso Kwa Uso Na Mbowe Kwenye Msiba Wa Lowassa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulurhaman Kinana amekutana na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika...

READ MORE

Orxy Yatekeleza Maombi Ya Rais Wa Zanzibar Kwa Kupeleka Mitungi Ya Gesi 2000 Kwa Wajasiriamali Wanawake

KAMPUNI ya gesi ya Orxy imetekeleza maombi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa kupeleka mitungi...

READ MORE

Naibu Waziri Wa Afya Zanzibar Atoa Neno Patadawa Ya Tigo Pesa Ikizinduliwa

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Afya, imeitaka kampuni ya simu ya mkononi Tigo Zantel na Laina Finance Limited...

READ MORE

Makamu Wa Rais Alivyowasili Nyumbani Kwa Marehemu Edward Lowassa – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewafariji waombolezaji mbalimbali wakati alipofika nyumbani kwa...

READ MORE

Msafara wa Makonda Wapata ajali Masasi ukitokea Ruvuma

Msafara wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda umepata ajali mchana wa leo, kilometa chache kabla ya...

READ MORE

Mwili wa Edward Lowassa kuzikwa Feb 17 kijijini kwao Ngarash, Monduli Arusha

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, 2024 kijijini...

READ MORE

Makonda Asimamisha Ziara Na Kuungana Na Watanzania Katika Siku 5 Za Maombolezo Kufuatia Kifo Cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesimamisha ziara yake ya Mikoa...

READ MORE

Wadau Wahimiza Juu Ya Taarifa Kudumisha Uwekezaji Nishati Safi na Salama Majumbani

Dar es Salaam, 9 Februari 2024: Katika kudumisha jitihada za Serikali kwenye kampeni ya matumizi safi na salama ya gesi za...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Maboresho Sheria ya Fidia Kwa Wafanyakazi Yaja

  SERIKALI imewahakikishia Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inayachukulia kwa uzito mkubwa, maoni na...

READ MORE

Rais Wa Hungary Ajiuzulu Baada Ya Kumsamehe Mwanamume Aliyekutwa Na Hatia

Rais wa Hungary, Katalin Novak amejiuzulu kutokana na ghadhabu ya raia baada ya kumsamehe mwanamume aliyekutwa na hatia katika kesi...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt Philipo Mpango Azindua kituo cha afya Ketumbeine Loliondo mkoani Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Philipo Mpango leo Februari 10, 2024 amezindua kituo cha afya...

READ MORE

Mwenge Yashukiwa na Neema za Meridianbet

Ikiwa leo hii ni Jumamosi tulivu kabisa, meridianbet walifunga safari hadi maeneo za Mwenge jijini Dar es salaam kwaajili za...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo, Februari 10, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya...

READ MORE

Kazi za Kisayansi za Wanawake na Wasichana Hazipati Heshima Inayostahili

Jukumu la wanawake katika nyanja ya uvumbuzi wa kisayansi na uendelevu limekuwa la lazima katika kuchochea kusonga mbele na kutengeneza...

READ MORE

Mashemeji Siyo Watu wa Kuwaamini Hata Kidogo, Kilichonitokea Sitasahau

Jina langu ni Furaha kutokea Pwani, Tanzania, mimi na mpenzi wangu, tulidumu kwa zaidi ya miaka mitano ila hatukuwa na...

READ MORE

Waziri Mkuu Ameongoza Kikao Cha Kamati Ya Kitaifa Ya Nishati Safi Ya Kupikia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Februari 09, 2024 ameongoza kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi...

READ MORE

Gavana wa Mombasa aamuru vituo vinavyouza gesi kinyume cha sheria kufungwa

Kufuatia mkasa wa mlipuko wa gesi eneo la Embakasi, mjini Nairobi mwishoni mwa wiki, miji mengine sasa inachukua tahadhari ili...

READ MORE

TAMISEMI: Madarasa Hujengwa Kwa Kuzingatia Maoteo Na Sio Kusubiria Matokeo

SERIKALI imesema imekwisha badili utaratibu wa kujenga madarasa kwa wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza na kutoa wito kwa...

READ MORE

Viongozi mbalimbali Wahudhuria hafla ya ya kumuaga Rais wa Poland Ikulu Dar – Picha

Rais Samia Suluhu Hassan amesema timu ya wataalam imeshaelekezwa kuchukua hatua zitakazowezesha kuanza kwa safari za moja kwa moja kati...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais wa Jamhuri ya Poland Ikulu jijini Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Ikulu...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi Alivyoondoka Zanzibar Kuja Jijini Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam...

READ MORE