×

Habari

Uwekezaji wa Urusi Wafungua Fursa Mpya za Ukuaji wa Uchumi Tanzania- Balozi Ulanga

Serikali ya Tanzania imeendelea kuimarisha diplomasia ya uchumi kwa mafanikio makubwa baada ya kuvutia wawekezaji kutoka Urusi katika sekta mbalimbali...

READ MORE

Gari la Maajabu: Fahamu 2026 Hyundai Palisade Calligraphy Hybrid AWD

Katika ulimwengu wa magari ya kisasa, 2026 Hyundai Palisade Calligraphy Hybrid AWD imejitokeza kama chaguo la kisasa kwa familia, wapenzi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 8, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Airtel Yaungana na Serikali Kupanda miti Bagamoyo na Kusafisha Fukwe Dar

Bagamoyo, Juni 5, 2026 Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imetoa wito kwa wadau wa maendeleo kuimarisha ushirikiano na serikali katika...

READ MORE

Uhifadhi Mazingira, Standard Chartered Yaongoza Upandaji Miti

Kama sehemu ya dhamira yake endelevu ya kukuza uendelevu wa mazingira na uhifadhi wa mazingira, Standard Chartered Tanzania iliongoza shughuli...

READ MORE

Global TV Online Yatangaza Nafasi ya Kazi ya Content Moderator

GLOBAL TV imetangaza nafasi ya kazi kwa vijana wenye ubunifu na shauku ya kufanya kazi kwenye sekta ya habari za...

READ MORE

Kim Kardashian na Dada Yake Waibuka Monaco Kumshangilia Lewis Hamilton

Kim Kardashian ameonekana akimpa sapoti mpenzi wake Lewis Hamilton wakati wa mazoezi ya kufuzu kuelekea Monaco Grand Prix 2026 iliyofanyika...

READ MORE

Marekani Yapanga Kutumia Mali za Iran Kufidia Uharibifu Mashariki ya Kati

Serikali ya Marekani inapanga kuangalia uwezekano wa kuelekeza mali za Iran kwenda mataifa ya Ghuba kwa ajili ya kugharamia ukarabati...

READ MORE

Familia ya Watu Wenye Ulemavu Yapewa Msaada wa Ujenzi Baada ya Nyumba Kubomoka – Video

Taasisi ya Tanzania Generation Care imetoa msaada wa mifuko ya saruji, mabati pamoja na matofali kwa ajili ya kumsaidia mlemavu...

READ MORE

Rais Samia Aweka Rekodi ya Kupokea Shahada za Heshima Nyingi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa jumla ya shahada nane za heshima (Honorary Doctorates) tangu...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje Iran Amjibu Rais wa Lebanon Kwa Maneno Makali

TEHRAN, Iran — Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa kauli kali akimjibu Rais wa Lebanon, Joseph...

READ MORE

Waziri Mkuu Aamuru Malipo ya Milioni 181 Kwa Mkazi wa Chunya

MKAZI WA CHUNYA, Bi Agnes Obeid Ole amelia machozi ya furaha mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya...

READ MORE

Fahamu Umuhimu wa Gearbox Oil na Madhara ya Kutoibadilisha

Katika matumizi ya kila siku ya gari, wengi huzingatia kubadilisha engine oil lakini husahau kabisa gearbox oil (mafuta ya gearbox)...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 7, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mwigulu Aagiza TAKUKURU Kuchunguza Fedha za Maegesho Ifunda

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukusanyaji wa mapato...

READ MORE

Fahamu Filamu 20 Bora Zaidi Zilizotikisa Mashabiki wa Cinema 2000 – 2026

Sekta ya filamu duniani imeendelea kushuhudia kazi nyingi kubwa katika karne ya 21 (2020-2026), huku baadhi ya filamu zikibadili kabisa...

READ MORE

Rais Samia Arejea Tanzania Kutoka Ziara ya Urusi, Makamu wa Rais Ampokea (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amerejea nchini leo Juni 6, 2026 akitokea jijini St....

READ MORE

Marekani Yaangusha Drones za Iran, Yapiga Vituo vya Rada Hormuz

Jeshi la Marekani limesema limeangusha ndege nne zisizo na rubani (drones) za Iran zilizokuwa zikielekea katika Mlango wa Bahari wa...

READ MORE

Trump: Marekani Haihitaji Makubaliano Kupata Uranium Iran, Aibua Hofu Mashariki ya Kati

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani haihitaji makubaliano ya kidiplomasia na Iran ili kupata uranium iliyorutubishwa kutoka nchini...

READ MORE

Mixx Yajivunia Ongezeko la Wateja Kupitia Kampeni ya ‘Kila Muamala ni Bao la Ushindi

Kampuni ya Mixx imejivunia kuendelea kuongezeka kwa idadi ya wateja wake pamoja na matumizi ya huduma zake za kifedha kidijitali...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Mazungumzo ya Kiuchumi Jijini St. Petersburg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji kati...

READ MORE

Makamu wa Rais Ahimiza Ushirikiano Katika Uhifadhi wa Mazingira (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito wa kutumia Maadhimsho ya Siku...

READ MORE

Madonna Azua Taharuki Baada ya Kuning’inia Kwenye Kingo za Jukwaa

Mwanamuziki maarufu duniani Madonna amewaacha mashabiki wengi wakiwa na hofu kubwa baada ya kning’inia kwenye kingo za jukwaa akiwa kwenye...

READ MORE

Fahamu Mabasi ya Kifahari Yanayotumiwa na Timu Kubwa Ulaya

Timu kubwa za soka barani Ulaya zimeendelea kuwekeza katika usafiri wa kisasa kwa ajili ya wachezaji na benchi la ufundi,...

READ MORE

Finland na Tanzania Waimarisha Ubia wa Sekta ya Misitu Kupitia Jukwaa la Biashara na Uwekezaji

Ubalozi wa Finland nchini Tanzania, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania kupitia Mpango wa...

READ MORE

Oryx Gas Yaongoza Usafi Soko la Feri Kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani

KATIKA kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, kampuni ya Oryx Gas imefanya usafi katika Soko la Kimataifa la Samaki Feri jijini...

READ MORE

Mboga 5 za Mizizi Zinazofanya Macho Yako Kuangalia Vizuri Kila Siku!

Vyakula vyenye antioxidants na vitamini vina mchango mkubwa katika kulinda afya ya macho. Kwa mujibu wa Dkt. Duong Minh Phuc...

READ MORE

Je, Soko la Tanzania Liko Tayari Kwa Ubunifu wa Kiwango cha Dunia?

Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

YAS Yaahidi Mawasiliano Bora Kwa Watalii Kupitia KiliFair 2026

Arusha, Juni 2026 – Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imetumia Maonesho ya Utalii ya Karibu-KiliFair 2026 yanayoendelea jijini Arusha kuonesha...

READ MORE

Polisi Zanzibar Watoa Hitimisho la Kifo cha Ashlee Robinson, Uchunguzi Wabaini Alijinyonga

Jeshi la Polisi Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai limetoa taarifa ya uchunguzi kuhusu kifo cha mwanaharakati...

READ MORE

Rais Samia Aandika Historia Atunukiwa Udaktari wa Heshima Moscow (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) na Peoples’...

READ MORE

Trump Kumteua Todd Blanche Kuwa Mwanasheria Mkuu wa Kudumu

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kumteua Todd Blanche kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kudumu (Attorney General), hatua inayotarajiwa...

READ MORE

Spika Zungu Awashukia Wabunge Waliosafiri Morocco Bila Kibali

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu amesema Wabunge waliokwenda Rabat, Morocco kushuhudia michuano ya...

READ MORE

Wabunge wa Republican Wawaunga Mkono Democrats Kumpinga Trump

Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio la kupunguza mamlaka ya Rais Donald Trump katika vita dhidi ya Iran, hatua...

READ MORE

Video: Ajali ya Kutisha Tunduru, Lori la Mafuta Lateketea, Dereva Afariki

Dereva wa lori la mafuta, Adam Abraham (46), mkazi wa Boko-Bunju jijini Dar es Salaam, amefariki Dunia baada la gari...

READ MORE

Hospitali ya Ebola Yateketezwa Baada ya Kisa cha Kijana Kufariki

Umati wenye hasira umechoma moto sehemu ya hospitali inayowahudumia wagonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...

READ MORE

Exclusive: Mchungaji Msigwa Afichua Mazito, Sababu Kurudi Chadema Tume Ya Chande -Video

Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo aliyerejea ndani ya chama hicho baada ya awali kuhamia CCM, Peter Msigwa amesema...

READ MORE

Video: Dada wa Mtanzania wa Aliyekamatwa Oman Afunguka Mazito Global TV

Dada wa Mtanzania, Ashura Abdul Salum, amezungumza na Global TV kupitia kipindi cha #Mapito na kueleza hali ya mdogo wake...

READ MORE

Trump Ataka Kukutana na Kiongozi wa Iran, Afunguka Vita Israel na Lebanon – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema angependa kukutana na kiongozi wa juu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku akibainisha kuwa huenda...

READ MORE