×

Habari

Putin Aomba Radhi kwa Matamshi ya Lavrov Kwamba Hitler Alikuwa Myahudi

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameomba msamaha baada ya waziri wake wa mambo ya nje kusema kuwa kiongozi wa Nazi...

READ MORE

Ujasusi wa Marekani Unaisaidia Ukraine Kuwauwa Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Urusi – NY Times

Marekani imevipatia vikosi vya Ukraine ujasusi ambao umewasaidia kuwalenga na kuwauwa majenerali wa Urusi katika Ukraine, kulingana na ripoti kutoka...

READ MORE

Makamu wa Rais Akutana na Kufanya Mazungumzo na Humphrey Polepole

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Juma Duni Haji

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Juma...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

RAIS Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland Ikulu Tunguu Zanzibar, ambapo...

READ MORE

Video: Mpwa wa Hayati Magufuli, Furaha Dominick Avunja Ukimya, Amtaja Rais Samia

 KATIKA kipindi cha ‘HOJA kwa HOJA’ leo Mei 05, 2022 tumefanya mahojiano na kijana Furaha Dominick ambaye ni mtoto...

READ MORE

Mahakama Yamkuta na Kesi ya Kujibu Mwijaku Katika Shtaka la Kusambaza Picha za Utupu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mtangazaji wa Clouds FM, Mwemba Burton maarufu kwa jina la...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Inatafuta Njia Mbadala za Kupunguza Gharama za Maisha

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda...

READ MORE

Ziro Malaria Inaanza na Mimi, Nachukua Hatua Kuitokomeza

#ZIROMALARIA: Unaambiwa mbu anayeeneza Malaria hamuogopi baunsa wala mtu yeyote! Usipofuata maelekezo ya jinsi ya kujikinga na Malaria lazima utaambukizwa....

READ MORE

Coca Cola Yalileta Kombe la Dunia Tanzania

Ikiwa ni kwa mara nyingine tena mfululizo Tanzania imefanikiwa kuwa miongoni mwa nchi tisa za Afrika ambazo kombe halisi la...

READ MORE

Live: Wabunge Wanaibana Serikali Maswali, Bunge la 12, Mkutano wa Saba, Kikao cha Kumi Na Sita…

 Bunge la 12 linaendelea leo Mei 5, 2022 ambapo linaanza na kipindi cha maswali na majibu. Wabunge wanaibana Serikali...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Askofu Charles Katale wa Kanisa la Moravian -Video

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameelezea kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha...

READ MORE

Sanlam and Allianz Join Forces to Create African Insurance Giant

    CAPE TOWN/Munich, May 04, 2022. Sanlam, the largest non-banking financial services company in Africa, and Allianz, one of...

READ MORE

Tigo Wafanya Kongamano na Vyombo vya Habari Kuelezea Mipango ya Kukuza Mawasiliano

    DAR ES SALAAM. Tarehe 5 Mei, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za  kidijitali nchini Tanzania, Tigo,...

READ MORE

Twitter Kuanza Kuwatoza Ada Wafanyabiashara na Serikali, Musk Atoa Tamko Jipya

Wafanyabiashara na Serikali wanaotumia mtandao wa Twitter huenda wakahitajika kulipa ada kidogo ili kusalia kwenye mtandao huo wa kijamii, mkuu...

READ MORE

Putin Atoa Wito kwa Mataifa ya Magharibi Kumshinikiza Zelensky Kusitisha Vita

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi za Magharibi zinaweza kusaidia kusitisha vita kwa kuweka shinikizo zaidi kwa Rais wa...

READ MORE

Tigo Owners Hold Media Forum to Outline Future Plans to Fuel Telecommunications Growth

    DAR ES SALAAM.  5th May, 2022. Tanzania’s leading digital lifestyle company, Tigo, has today held a media forum...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta, Dizeli Yaweka Historia Mpya Tsh 3,258 na Petroli Tsh 3,148

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Ushindi Mubashara Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet! Nyumba Yenye Odds Bora

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na...

READ MORE

Absa Bank Yadhamini Dar City Marathon

  BENKI ya Absa Tanzania imeungana na wadau wengine katika kudhamini mbio za pili za Dar City Marathon zinazotarajiwa kufanyika...

READ MORE

Watu 5 Wapoteza Maisha kwa Kufukiwa na Kifusi cha Udongo Songwe.

WATU 5 katika familia mbili tofauti wamepoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi cha udongo kilichoporomoka kutokana na mvua zilizonyesha usiku...

READ MORE

Papa Francis Kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin Kujadili Kuhusu Vita Nchini Ukraine

Papa Francis anasema amejitolea kusafiri hadi Moscow kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin ili kujadili kuhusu vita nchini Ukraine,...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Swala Ya Eid Katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2022 ameshiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Swala Ya Eid El Fitri Katika Msikiti Mkuu Wa Bakwata Kinondoni Dar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 3, 2022 ameshiriki  Swala ya Eid El...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Fahamu Mfumo wa Uagizaji Mafuta wa Pamoja Ulivyoepusha Bei Kupaa Zaidi

Licha ya taifa kupitia changamoto ya ongezeko la bei ya mafuta  ya petrol na dizeli inayotokana na ongezeko la bei...

READ MORE

Chuo Cha Ufundi Dodoma Kuanza Kudahili Wanafunzi 2023

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema Chuo cha Ufundi Dodoma kinachojengwa eneo la Nala Jijini...

READ MORE

Changamoto za Mashauri ya Mirathi Kupatiwa Ufumbuzi

  Uongozi wa Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia-Temeke kwa kushirikiana na Wadau wa Mahakama umeunda kikosi kazi maalum kwa...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Anuani za Makazi na Postikodi na Faida Zake

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu zoezi linaloendelea la anuani za makazi na...

READ MORE

Fisi Tena Bariadi, Mtoto Mwingine Ashambuliwa na Kujeruhiwa Vibaya

Matukio ya Fisi kushambulia watoto na kuwajeruhi vibaya maeneo ya usoni na kichwani yamezidi kushamili katika mji wa Bariadi, ambapo...

READ MORE

Vodacom Tanzania Plc Yahamasisha Wasichana Kusoma Sayansi na Tehama

Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando (kushoto), Mkurugenzi wa Rasilimali watu Vodacom Tanzania Plc,  Vivienne Penessis...

READ MORE

Panya Road Wawakata Mapanga Watu 19 Mtongani, Kunduchi Dar es Salaam

VIJANA wanaodhaniwa kuwa ni ‘Panya Road’ wamewakata mapanga watu 19 katika mtaaa wa Mtongani, Kata ya Kunduchi mkoani Dar es...

READ MORE

Vodacom Watembelea Wateja Wao Mkoani Mbeya Kuangalia Shughuli za Masoko

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Setholizwe Mdlalose (kushoto) akipokea maoni kutoka mteja wao,...

READ MORE

Jinsi Tanzania Ilivyoadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani

Aprili 28 kila mwaka ni siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani ambapo Tanzania iliungana na mataifa mengine...

READ MORE

Jenga Maisha Bora Ya Watoto Kwa Kuwakatia Bima Kupitia Nmb

 Inaweza kulipwa kwa mwezi, miezi 4, miezi 6 au 12.  Kiwango cha chini cha akiba ni Tshs 7,500...

READ MORE

Spika wa Marekani Nancy Pelosi Akutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Mjini Kyiv

Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amefanya ziara ya ghafla mjini Kyiv na kukutana na Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Awahakikishia Wafanyakazi Nyongeza ya Mishahara Ipo (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei, 2022 ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi...

READ MORE

Fahamu Mkasa wa Mwanamuziki Harmonize Kukamatwa nchini Kenya, Kisa Kipo Hapa

STAA wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Konde Gang, Harmonize usiku wa kuamkia leo Mei 1, 2022  alikamatwa...

READ MORE

Sikukuu ya Wafanyakazi: Morocco Yaongeza Mshahara kwa 16%, Kenya 12%

Serikali ya Morocco imetangaza mipango ya kuongeza kima cha chini cha mishahara ya watumishi wa umma kwa 16% na kile...

READ MORE

Mei Mosi: Tucta Yapendekeza Kima cha Chini cha Mshahara Sekta Zote Kiwe Shilingi Milioni Moja

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta) limemkumbusha Rais Samia Suluhu Hassan ahadi yake ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi na...

READ MORE